Rais Magufuli atembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba maalumu ya Rais mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete

mkuu,muache mzee JK ale maisha tuwe na shukrani wakati mwingine,kwani akijengewa hilo jumba itapunguza nini kwenye taifa ? mbona Nyerere alijengewa hamku mind
Acha kutetea Majizi na Mafisadi. Mamilioni ya wananchi wanakosa huduma muhimu za jamii, halafu unatetea Ushetani? Kwani huyo Nyerere alivyojengewa majumba imemsaidia nini?
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba maalumu ya Rais mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete.

Ujenzi wa Nyumba hiyo inajengwa na Serikali kwa mujibu wa Sheria namba 3 ya Mwaka 1999 inayoainisha ujenzi wa Nyumba maalumu kwa ajili ya makazi ya waheshimiwa Marais mara wanapostaafu.

View attachment 1604017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli akizungumza na Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete alipotembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba ambayo Dkt. Kikwete anajengewa na Serikali eneo la Kawe Beach jijini Dar es salaam leo Jumapili Oktoba 18, 2020.

View attachment 1604019

View attachment 1604020
Serikali ilikiwa wapi kujenga nyumba hiyo mapema.wamesubiri mzew wa watu amebakiza miaka michacjhe ndiyo wanamjengea, ataaishi muda mfupi halafu itakuwa ya Ridhiwani na wadogo zake ya Mwinyi inajengwa wapi?
 
Rais Dkt John Magufuli akiwa Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete leo ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba ambayo Dkt. Kikwete anajengewa na Serikali eneo la Kawe Beach jijini Dar es salaam Oktoba 18, 2020.

ITV Tanzania

Kama mwendo ndiyo huu na Mimi ngoja sasa niite Waandishi wa Habari 'nimsifie' Mtu ili 'akinisikia' aniruhusu kuendelea na Kilimo cha Bangi Mara.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba maalumu ya Rais mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete.

Ujenzi wa Nyumba hiyo inajengwa na Serikali kwa mujibu wa Sheria namba 3 ya Mwaka 1999 inayoainisha ujenzi wa Nyumba maalumu kwa ajili ya makazi ya waheshimiwa Marais mara wanapostaafu.

View attachment 1604017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli akizungumza na Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete alipotembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba ambayo Dkt. Kikwete anajengewa na Serikali eneo la Kawe Beach jijini Dar es salaam leo Jumapili Oktoba 18, 2020.

View attachment 1604019
View attachment 1604020
Kwani hawakuwa na nyumba hapo awali?
 
Walizouziana wakati Magufuli akiwa Waziri wa Nyumba hazitoshi? Kweli Sikio la kufa halisikii dawa
 
Hapana huwezi kuwa na sheria mbili katika nchi moja, hawa wakistaafu walipwe 80% ya mshahara wa wakati huo kwa maana nyingine siku akija Rais kichaa kuongeza mshahara 300% basi nao 80% ila kwa wastaafu wengine pamoja na kufanya kazi zaidi ya miaka 30 mazingira magumu lakini wanalipwa pesa ileile hata kama maisha yamebadilika. Kama kuna mtu alistaafu 1990 sasa sijui mishahara ilikuwa kiasi gani usishangae kukuta mtu analipwa alfu 20. Hawa viongozi wamejenga nyumba nyingi tu walizipata kivipi sijui ila kwanini kuwajengea tena? Si walilipwa stahiki zao. Kwa hili hapana basi ingekuwa hata nyumba ya kiasi nyumba utasema Mall. Wewe katizame wanajeshi wakistaafu utatamani kulia.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba maalumu ya Rais mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete.

Ujenzi wa Nyumba hiyo inajengwa na Serikali kwa mujibu wa Sheria namba 3 ya Mwaka 1999 inayoainisha ujenzi wa Nyumba maalumu kwa ajili ya makazi ya waheshimiwa Marais mara wanapostaafu.

View attachment 1604017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli akizungumza na Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete alipotembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba ambayo Dkt. Kikwete anajengewa na Serikali eneo la Kawe Beach jijini Dar es salaam leo Jumapili Oktoba 18, 2020.

View attachment 1604019
View attachment 1604020
Huyu anafisadi kila uchwao,jk,ben,mwinyi wote walishapewa nyumba walipomaliza urais wao...yeye tena anawajengea nyumba zingine kama sio ufisadi n kuhalalisha uwizi
 
Nimeuliza hapo juu kama zile nyumba zao za awali, kama ya Mwinyi ya Oysterbay, wamezirudisha au wanaongeza tu nyumba walizopewa na serikali?

Mwinyi alikuwa na nyumba ya serikali Oysterbay.
Wanasema Mwinyi hajawahi kujengewa nyumba na serikali na nyumba anayoishi hapo msasani alijenga mwenyewe. Labda kupora nyumba ya umma hakukufanyi ukose haki ya kujengewa. Na swali ni je kwanini Rais wa wanyonge ndio anafanya haya? Kwanini wengine hawakujenga na kwanini asiwajengee Dodoma ama Mbagala?
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba maalumu ya Rais mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete.

Ujenzi wa Nyumba hiyo inajengwa na Serikali kwa mujibu wa Sheria namba 3 ya Mwaka 1999 inayoainisha ujenzi wa Nyumba maalumu kwa ajili ya makazi ya waheshimiwa Marais mara wanapostaafu.

View attachment 1604017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli akizungumza na Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete alipotembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba ambayo Dkt. Kikwete anajengewa na Serikali eneo la Kawe Beach jijini Dar es salaam leo Jumapili Oktoba 18, 2020.

View attachment 1604019
View attachment 1604020
Hawa watu (ma Rais) wamekuwa na mishahara, posho, pensheni na stahiki mbali mbali. Lakini eti bado na wakistaafu wazawadiwe majumba !!.

Ndiyo watafanya kila mbinu wasitoke madarakani
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba maalumu ya Rais mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete.

Ujenzi wa Nyumba hiyo inajengwa na Serikali kwa mujibu wa Sheria namba 3 ya Mwaka 1999 inayoainisha ujenzi wa Nyumba maalumu kwa ajili ya makazi ya waheshimiwa Marais mara wanapostaafu.

View attachment 1604017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli akizungumza na Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete alipotembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba ambayo Dkt. Kikwete anajengewa na Serikali eneo la Kawe Beach jijini Dar es salaam leo Jumapili Oktoba 18, 2020.

View attachment 1604019
View attachment 1604020

Basi wangerudisha zile nyumba nyingine za kupewa. Wote tayari wana nyumba za serikali
 
Ameanza kwa kuwajengea waliotangulia ili kusiwe na kelele yeye akitumia pesa za serikali kujijengea hekalu.
 
Kutoka kubuma kwa uzinduzi wa miradi mikubwa mikubwa had uzinduzi wa nyumba mzee anapenda Sana camera sijui ataishije bila camera baada ya trh 28 Kama mwanae bashite apatavyo tabu kuishi bila matamko, atabaki peke yake hakuna cha TBC, hakuna cha hiki ni kishindo cha awamu, Hakuna Cha musiba ndo atajua unafiki wa wapambe alikuwa anasujudiwa pesa zake
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba maalumu ya Rais mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete.

Ujenzi wa Nyumba hiyo inajengwa na Serikali kwa mujibu wa Sheria namba 3 ya Mwaka 1999 inayoainisha ujenzi wa Nyumba maalumu kwa ajili ya makazi ya waheshimiwa Marais mara wanapostaafu.

View attachment 1604017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli akizungumza na Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete alipotembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba ambayo Dkt. Kikwete anajengewa na Serikali eneo la Kawe Beach jijini Dar es salaam leo Jumapili Oktoba 18, 2020.

View attachment 1604019
View attachment 1604020
Tulyi bintu na bantu. Ndiyo maana mchakato wa katiba mpya aliuvuruga licha ya kutumia mabillion ya umma. Tulyi bintu na bantu.
 
Back
Top Bottom