Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Coming..the soonest...!!!Ipo haja ya katiba mpya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Coming..the soonest...!!!Ipo haja ya katiba mpya
Acha kutetea Majizi na Mafisadi. Mamilioni ya wananchi wanakosa huduma muhimu za jamii, halafu unatetea Ushetani? Kwani huyo Nyerere alivyojengewa majumba imemsaidia nini?mkuu,muache mzee JK ale maisha tuwe na shukrani wakati mwingine,kwani akijengewa hilo jumba itapunguza nini kwenye taifa ? mbona Nyerere alijengewa hamku mind
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba maalumu ya Rais mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete.
Ujenzi wa Nyumba hiyo inajengwa na Serikali kwa mujibu wa Sheria namba 3 ya Mwaka 1999 inayoainisha ujenzi wa Nyumba maalumu kwa ajili ya makazi ya waheshimiwa Marais mara wanapostaafu.
View attachment 1604017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli akizungumza na Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete alipotembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba ambayo Dkt. Kikwete anajengewa na Serikali eneo la Kawe Beach jijini Dar es salaam leo Jumapili Oktoba 18, 2020.
View attachment 1604019
Serikali ilikiwa wapi kujenga nyumba hiyo mapema.wamesubiri mzew wa watu amebakiza miaka michacjhe ndiyo wanamjengea, ataaishi muda mfupi halafu itakuwa ya Ridhiwani na wadogo zake ya Mwinyi inajengwa wapi?Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba maalumu ya Rais mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete.
Ujenzi wa Nyumba hiyo inajengwa na Serikali kwa mujibu wa Sheria namba 3 ya Mwaka 1999 inayoainisha ujenzi wa Nyumba maalumu kwa ajili ya makazi ya waheshimiwa Marais mara wanapostaafu.
View attachment 1604017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli akizungumza na Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete alipotembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba ambayo Dkt. Kikwete anajengewa na Serikali eneo la Kawe Beach jijini Dar es salaam leo Jumapili Oktoba 18, 2020.
View attachment 1604019
View attachment 1604020
Kwa hiyo jana alikuwa anakunywa konyagi Mbagala?Hilo haliwezi kumshawishi mzee JK ampigie Magu kampeni.
Kwani hawakuwa na nyumba hapo awali?Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba maalumu ya Rais mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete.
Ujenzi wa Nyumba hiyo inajengwa na Serikali kwa mujibu wa Sheria namba 3 ya Mwaka 1999 inayoainisha ujenzi wa Nyumba maalumu kwa ajili ya makazi ya waheshimiwa Marais mara wanapostaafu.
View attachment 1604017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli akizungumza na Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete alipotembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba ambayo Dkt. Kikwete anajengewa na Serikali eneo la Kawe Beach jijini Dar es salaam leo Jumapili Oktoba 18, 2020.
View attachment 1604019
View attachment 1604020
Walizouziana wakati Magufuli akiwa Waziri wa Nyumba hazitoshi? Kweli Sikio la kufa halisikii dawaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba maalumu ya Rais mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete.
Ujenzi wa Nyumba hiyo inajengwa na Serikali kwa mujibu wa Sheria namba 3 ya Mwaka 1999 inayoainisha ujenzi wa Nyumba maalumu kwa ajili ya makazi ya waheshimiwa Marais mara wanapostaafu.
View attachment 1604017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli akizungumza na Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete alipotembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba ambayo Dkt. Kikwete anajengewa na Serikali eneo la Kawe Beach jijini Dar es salaam leo Jumapili Oktoba 18, 2020.
View attachment 1604019
View attachment 1604020
Huyu anafisadi kila uchwao,jk,ben,mwinyi wote walishapewa nyumba walipomaliza urais wao...yeye tena anawajengea nyumba zingine kama sio ufisadi n kuhalalisha uwiziRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba maalumu ya Rais mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete.
Ujenzi wa Nyumba hiyo inajengwa na Serikali kwa mujibu wa Sheria namba 3 ya Mwaka 1999 inayoainisha ujenzi wa Nyumba maalumu kwa ajili ya makazi ya waheshimiwa Marais mara wanapostaafu.
View attachment 1604017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli akizungumza na Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete alipotembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba ambayo Dkt. Kikwete anajengewa na Serikali eneo la Kawe Beach jijini Dar es salaam leo Jumapili Oktoba 18, 2020.
View attachment 1604019
View attachment 1604020
Wanasema Mwinyi hajawahi kujengewa nyumba na serikali na nyumba anayoishi hapo msasani alijenga mwenyewe. Labda kupora nyumba ya umma hakukufanyi ukose haki ya kujengewa. Na swali ni je kwanini Rais wa wanyonge ndio anafanya haya? Kwanini wengine hawakujenga na kwanini asiwajengee Dodoma ama Mbagala?Nimeuliza hapo juu kama zile nyumba zao za awali, kama ya Mwinyi ya Oysterbay, wamezirudisha au wanaongeza tu nyumba walizopewa na serikali?
Mwinyi alikuwa na nyumba ya serikali Oysterbay.
LushotoYa mkapa iko wapi vile
Hawa watu (ma Rais) wamekuwa na mishahara, posho, pensheni na stahiki mbali mbali. Lakini eti bado na wakistaafu wazawadiwe majumba !!.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba maalumu ya Rais mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete.
Ujenzi wa Nyumba hiyo inajengwa na Serikali kwa mujibu wa Sheria namba 3 ya Mwaka 1999 inayoainisha ujenzi wa Nyumba maalumu kwa ajili ya makazi ya waheshimiwa Marais mara wanapostaafu.
View attachment 1604017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli akizungumza na Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete alipotembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba ambayo Dkt. Kikwete anajengewa na Serikali eneo la Kawe Beach jijini Dar es salaam leo Jumapili Oktoba 18, 2020.
View attachment 1604019
View attachment 1604020
Kodi zetu si zingejenga zahanatimkuu,muache mzee JK ale maisha tuwe na shukrani wakati mwingine,kwani akijengewa hilo jumba itapunguza nini kwenye taifa ? mbona Nyerere alijengewa hamku mind
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba maalumu ya Rais mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete.
Ujenzi wa Nyumba hiyo inajengwa na Serikali kwa mujibu wa Sheria namba 3 ya Mwaka 1999 inayoainisha ujenzi wa Nyumba maalumu kwa ajili ya makazi ya waheshimiwa Marais mara wanapostaafu.
View attachment 1604017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli akizungumza na Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete alipotembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba ambayo Dkt. Kikwete anajengewa na Serikali eneo la Kawe Beach jijini Dar es salaam leo Jumapili Oktoba 18, 2020.
View attachment 1604019
View attachment 1604020
Tulyi bintu na bantu. Ndiyo maana mchakato wa katiba mpya aliuvuruga licha ya kutumia mabillion ya umma. Tulyi bintu na bantu.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba maalumu ya Rais mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete.