Rais Magufuli atembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba maalumu ya Rais mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete

Rais Magufuli atembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba maalumu ya Rais mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete

Watu ambao hawana uwezo wa kuwa na nyumba, wafanyakazi wa chini serikalini hawasaidiwi kupata makazi.
Hata nyongeza hawapewi kwa madai kuwa anajenga reli. Kwann nyumba ya Kikwete isisubiri mpk reli ijengwe? Dhuluma na upendeleo wa wazi kabisa.
 
Yeye acha aendelee kuzurula kukagua nyumba za wastaafu huku mwenzake anapiga kazi kuchukua ofisi.
KAZI IMEANZA ANGANI SASA
IMG-20201018-WA0060.jpg
 
The two sides of Magufuli anaupande mmoja ambao unafanya mambo ya msingi sana kwa taifa kiasi kwamba we cant afford to lose him.

Halafu anaupande mwingine wa kudhani hela za serikali ni zake atakama atumii kwa maslahi binafsi but he can give charities whenever and to whoever he wishes, kufanya investment za kibiashara ambazo hana uelewa nazo na tena anabisha hadharani wakati kila kitu kiko wazi it wont work, kudhani he can place people in the government positions at his will.

Sometimes you got to weigh the economic utility of his leadership muhimu zaidi ni kile anachokifanya kwa Tanzania ya kesho na ukweli bila ya uwepo wake safari ya kukuwa kwa uchumi kwa speed ya kasi huko mbeleni ingekuwa ngumu.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba maalumu ya Rais mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete.

Ujenzi wa Nyumba hiyo inajengwa na Serikali kwa mujibu wa Sheria namba 3 ya Mwaka 1999 inayoainisha ujenzi wa Nyumba maalumu kwa ajili ya makazi ya waheshimiwa Marais mara wanapostaafu.

View attachment 1604017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli akizungumza na Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete alipotembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba ambayo Dkt. Kikwete anajengewa na Serikali eneo la Kawe Beach jijini Dar es salaam leo Jumapili Oktoba 18, 2020.

View attachment 1604019
View attachment 1604020
Na uta kuta JPM ndie alizuia hela za kumalizia huu mradi..
 
Huyu kikwete serikali walimjengea kule Msoga tena hao hao JKT na bado tena wanamjengea nyingine mwenye nacho anaongezewa
 
Ye hata haonge nyumba anga lishamkataa, alikuwa bize kupambana na Mbowe badala ya kupambana na shida zetu, huku upinzani aliodhamiria kuuwa akiuacha imara, wassira alidhikiri ataifuta chadema amefutika yeye ndivyo itakavokuwa kwa mecco,
Laana na baraka ya mtu imo ndani ya ulimi wake
 
Sheria za kibaguzi.

Watu ambao hawana uwezo wa kuwa na nyumba, wafanyakazi wa chini serikalini hawasaidiwi kupata makazi.

Watu wenye uwezo wa kuwa na nyumba hawa marais, tena wana nyumba zao tayari, ndio wanajengewa nyumba.
Usilalamike sana haki sawa Mbinguni, Duniani pambana na Hali yako!!
 
Kuleteana umaskini kwani b4 hakuwa na nyumba? Msoga atafugia hens
 
Sheria nyingine za ajabu, kweli tunatarajia mtumishi no.moja akose makazi!?
Tena wakat wanapostaafu wanalipwa kiinua mgongo zaidi ya bilions,wakati wakiwa ikulu wanalishwa na serikali na bado wana mishahara na nchi maskini hii tunawajengea na majumba ya mabilion
 
Huyu kikwete serikali walimjengea kule Msoga tena hao hao JKT na bado tena wanamjengea nyingine mwenye nacho anaongezewa
Njia ya kumuomba msamaha aokoe jahazi,wananenepesa ng'ombe mnadani,heri angemuomba jk amfunze ujasiliamali baada ya 28 aweze jiajiri.
Huwezi ukawa juu ya dunia hakuna aliyeweza
 
Muheshimiwa sana Kikwete bado anamuonekano wa upresidential material.
 
Usilalamike sana haki sawa Mbinguni, Duniani pambana na Hali yako!!
Mimi naongea falsafa hapa. Kama unafikiri ubinafsi tu bora uulize.

Hiyo mbingu unayoisema unaweza kuthibitisha ipo?

Hali yangu nilishaondokana na matatizo ya Tanzania miaka mingi iliyopita.

Usifikiri kila anayechangia hapa anachangia kwa kuwa ana shida binafsi.
 
The two sides of Magufuli anaupande mmoja ambao unafanya mambo ya msingi sana kwa taifa kiasi kwamba we cant afford to lose him.

Halafu anaupande mwingine wa kudhani hela za serikali ni zake atakama atumii kwa maslahi binafsi but he can give charities whenever and to whoever he wishes, kufanya investment za kibiashara ambazo hana uelewa nazo na tena anabisha hadharani wakati kila kitu kiko wazi it wont work, kudhani he can place people in the government places at his will.

Sometimes you got weigh the economic utility of his leadership muhimu zaidi ni kile anachokifanya kwa Tanzania ya kesho na ukweli bila ya uwepo wake safari ya kukuwa kwa uchumi kwa speed ya kasi huko mbeleni ingekuwa ngumu.
Rais baada ya Magufuli atakuta kila kitu ina place ni yeye tu kusuka ama kunyoa.

Atakuta miundombinu, vituo vya afya, ndege, reli, nishati ya umeme ipo inamsubiri.

Rais wa awamu ya sita anapaswa kuwa mtu mwenye upeo mkubwa sana wa kumanage mambo.
 
TRH 28 tusifanye makosa,kumbukeni huu ni ukoo wa panya kuanzia mjukuu mpaka Babu wote ni wezi
 
Hata nyongeza hawapewi kwa madai kuwa anajenga reli. Kwann nyumba ya Kikwete isisubiri mpk reli ijengwe? Dhuluma na upendeleo wa wazi kabisa.
Kikwete nyumba yake ya Migombani St hakai mtu, lakini imekarabatiwa kwa gharama kubwa na serikali.

Na kaisusa, kapewa mpya.

Askari Polisi wanakaa kwenye nyumba zipo kama mabanda ya kuku.
 
Kikwete nyumba yake ya Migombani St hakai mtu, lakini imekarabatiwa kwa gharama kubwa na serikali.

Na kaisusa, kapewa mpya.

Askari Polisi wanakaa kwenye nyumba zipo kama mabanda ya kuku.
Daaah! Inauma aisee
 
Rais baada ya Magufuli atakuta kila kitu ina place ni yeye tu kusuka ama kunyoa.

Atakuta miundombinu, vituo vya afya, ndege, reli, nishati ya umeme ipo inamsubiri.

Rais wa awamu ya sita anapaswa kuwa mtu mwenye upeo mkubwa sana wa kumanage mambo.
Kwakweli he is doing wonders for the future watu tu wanashindwa kumuelewa hapo.

Anachofanya kikubwa sio kwa faida yake bali long term impact kwa kutengeneza mazingira ya kukuza uchumi, sielewi kwanini watu awalioni hili. On that front Magu is a blessing.
 
Back
Top Bottom