Rais Magufuli atembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba maalumu ya Rais mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete

Sheria za kibaguzi.

Watu ambao hawana uwezo wa kuwa na nyumba, wafanyakazi wa chini serikalini hawasaidiwi kupata makazi.

Watu wenye uwezo wa kuwa na nyumba hawa marais, tena wana nyumba zao tayari, ndio wanajengewa nyumba.
Na mwingine kasha jijengea kiwanja Cha ndege
 
Ipo haja ya katiba mpya
Ni haki yake kwa mujibu wa katiba lakini kinachoendelea kwa watumishi wa umma na delta binafsi kuhusu kikokotoo kipya na fao la kujitoa, serikali yoyote itakayochukua madaraka baada ya uchaguzi mkuu, itupie jicho huko, kuna dhuluma na uonevu .
 
Mimi naongea falsafa hapa. Kama unafikiri ubinafsi tu bora uulize.

Hiyo mbingu unayoisema unaweza kuthibitisha ipo?

Hali yangu nilishaondokana na matatizo ya Tanzania miaka mingi iliyopita.

Usifikiri kila anayechangia hapa anachangia kwa kuwa ana shida binafsi.
Mfumo wa Dunia wa Sasa,ni Masikini atazidi kua Masikini,labda aokote Dodo kwenye Mpera! Na tajiri atazidi kua tajiri!! Kwa kifupi tunasema mwenye nacho ataongezewa,na yule asiye nacho hata kile kidogo alicho nacho atanyanganywa!!
 
Vipi kuhusu VPs na PMs? Kweli aliyenacho lazima ataongezewa tu
 
Fedha za WIZI za raia masikini. Kwanini hizo pesa wasipeleke kutatua shida mbalimbali za wananchi?
Umekuwa na mawazo ya kijinga sasa; hapo ulipo unatumia simu ya 500,000/= na nina hakika ndugu zako wakijua watakushangaa sana unawezaje kufanya hivyo
 
Kwakweli he is doing wonders for the future watu tu wanashindwa kumuelewa hapo.

Anachofanya kikubwa sio kwa faida yake bali long term impact kwa kutengeneza mazingira ya kukuza uchumi, sielewi kwanini watu awalioni hili. On that front Magu is a blessing.
Kwa mtu yeyote anayetazama mbali lazima aone umuhimu wa Magufuli, ametufaa sana na ameacha alama ya kudumu.

Anastahili mingine mitano.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba maalumu ya Rais mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete.

Ujenzi wa Nyumba hiyo inajengwa na Serikali kwa mujibu wa Sheria namba 3 ya Mwaka 1999 inayoainisha ujenzi wa Nyumba maalumu kwa ajili ya makazi ya waheshimiwa Marais mara wanapostaafu.

View attachment 1604017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli akizungumza na Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete alipotembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba ambayo Dkt. Kikwete anajengewa na Serikali eneo la Kawe Beach jijini Dar es salaam leo Jumapili Oktoba 18, 2020.

View attachment 1604019
View attachment 1604020
Hii nchi hawatuheshimu kabisa. Yaani jana anampigia kampeni, halafu leo inaonyeshwa anamjengea nyumba ya mabilioni. Halafu CCM bado wanaongea habari za mabeberu na kuna watu kweli wanawaamini.
 
Umewaza km mimi, hakakuwa na sababu ya kamera hapo . Kula na kipofu usimguse mkono. Wengi wetu tumejua uwepo wa huo mradi leo. Huku kampeni zinaendelea, tafsiri yake ni nini.
 
Kwa mtu yeyote anayetazama mbali lazima aone umuhimu wa Magufuli, ametufaa sana na ameacha alama ya kudumu.

Anastahili mingine mitano.
Hilo halina ubishi Magufuli pamoja na kufanya mambo makubwa na ya msingi ya baadae kuna maeneo mengi amewagusa watu leo the list is endless; afya, elimu, uboreshaji wa local amenities vituo vya mabasi, masoko, shule, you name it.

Watanzania wengi wamemuelewa na viongozi wa upinzani wanajua hilo ushindi wa Magu utakuwa fair and square; ndio maana wengi wamejikita kwenye majimbo yao mziki wa uraisi wamemuachia Lissu anaetapatapa huko njiani na supporters wake wa JF waendelee kujifurahisha na vi video vyao uchwara.
 
Kama rais amewatumikia vizuri wananchi Mimi nafikiri ni vyema kujengewa makaazi yenye hadhi yake.Ni jambo jema.
Hata Walimu, manesi na madaktari huwatumikia vyema watu lakini baada ya kustaafu hupambana na hali zao
Umekuwa na mawazo ya kijinga sasa; hapo ulipo unatumia simu ya 500,000/= na nina hakika ndugu zako wakijua watakushangaa sana unawezaje kufanya hivyo
Fikra zako zipo kiibilisi flani hivi. Huoni wala husikii maumivu wanayoyapata wananchi kutoka kwa viongozi mizigo wa ccm
 
Hata Walimu, manesi na madaktari huwatumikia vyema watu lakini baada ya kustaafu hupambana na hali zao
Fikra zako zipo kiibilisi flani hivi. Huoni wala husikii maumivu wanayoyapata wananchi kutoka kwa viongozi mizigo wa ccm
Kumbe wewe siyo CCM- pole mama huruma
 
Hilo halina ubishi Magufuli pamoja na kufanya mambo makubwa na ya msingi ya baadae kuna maeneo mengi amewagusa watu leo the list is endless; afya, elimu, uboreshaji wa local amenities vituo vya mabasi, masoko, shule, you name it.

Watanzania wengi wamemuelewa na viongozi wa upinzani wanajua hilo ushindi wa Magu utakuwa fair and square; ndio maana wengi wamejikita kwenye majimbo yao mziki wa uraisi wamemuachia Lissu anaetapatapa huko njiani na supporters wake wa JF waendelee kujifurahisha na vi video vyao uchwara.
Upinzani wanafahamu kabisa kuwa kumshinda Magufuli ni kazi ngumu sio kidogo.

Watu wameguswa sana, huko mtaani nakutana na testimonies nyingi tu, hata watu wapinzani vindaki ndaki wanakiri kuwa this administration wanasaidika Sana katika mambo yao, kunyanyasana hakuna ni haki bin haki.

Hivyo ni jambo la kusubiri tu Muda ufike mzee aendelee na kazi yake nzuri.
 
Then mtuambie kuwa wataondoka kupitia box la kura?
Thubutuu
 
Upinzani wanafahamu kabisa kuwa kumshinda Magufuli ni kazi ngumu sio kidogo.

Watu wameguswa sana, huko mtaani nakutana na testimonies nyingi tu, hata watu wapinzani vindaki ndaki wanakiri kuwa this administration wanasaidika Sana katika mambo yao, kunyanyasana hakuna ni haki bin haki.

Hivyo ni jambo la kusubiri tu Muda ufike mzee aendelee na kazi yake nzuri.
Wapo relaxed compared na 2015 alianza na nguvu baada ya kujidhihirisha na campaign za siku chache watanzania wamemwelewa ametulia.

Huu ushindi wala auna shaka week ya pili sasa yupo Dar anafanya kazi za serikali campaign zinafanywa kitaa tu na wana CCM wengine.
 
Maisha yao siku zote huwa hayana usawa na sisi wengine hivyo sioni ajabu kuzidi kujiongezea.
 
Maccm bhana
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba maalumu ya Rais mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete.

Ujenzi wa Nyumba hiyo inajengwa na Serikali kwa mujibu wa Sheria namba 3 ya Mwaka 1999 inayoainisha ujenzi wa Nyumba maalumu kwa ajili ya makazi ya waheshimiwa Marais mara wanapostaafu.

View attachment 1604017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli akizungumza na Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete alipotembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba ambayo Dkt. Kikwete anajengewa na Serikali eneo la Kawe Beach jijini Dar es salaam leo Jumapili Oktoba 18, 2020.

View attachment 1604019
View attachment 1604020
 
Fedha za WIZI za raia masikini. Kwanini hizo pesa wasipeleke kutatua shida mbalimbali za wananchi?
Rushwa Takatifu ya Kidola,hiyo ni sheria mbovu/mbaya Sana.Licha ya kujilimbikizia madaraka pia wanapora kodi zetu kujijengea magorofa?Only in Tanzania.
Kule South walimwondoa Zuma kwa kukarabati yake ila Sisi licha ya kukarabati nyumba zao waingiapo uongozini,tunawajengea tena mahekalu wakistaafu!
Ndiyo maana Sisi maendeleo tunayasikia kwenye runinga,tunakula kuona.
Je,Mh.Lissu atamjengea JPM?
 
Back
Top Bottom