simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
Ha ha ha daktari anatibu symptoms badala ya disease.Tatizo la kutibiwa cancer siyo dalili za cancer.Taifa linaugua cancer tiba pekee kupiga kisu cancerous growth -CCM.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa irene alipaswa kujenga hoja na kuzuia hili hata kama angeshindwa ila at least angejaribu...hatutaki watu wa kufuata kila wanachoambiwa bila kutumia akili zao.. pale sio jeshiniNyie watu mkoje? Hivi hili swali si lilitetewa bungeni? Yaani sijui hamna akili ama huwa mnajitoa akili. Irene kwani alikuwa anapanga mwenyewe bila ya kupitisha kwa wenye mamlaka ya kutunga kanuni?
Kikokotoo hutengenezwa na Waziri mwenye dhamana, mkurugenzi wa SSRA hausiki!
Nikimfikiria jenista alivyokuwa akijipambanua kwenye vyombo vya habari simmalizagi yule mama
Comment zenye akili ya kina chahali,wakati huo huo wanampongeza ester kwa kuliibua hili sualacomment yenye uelekeo huu nilijia haitakosa,
chakula cha
Lumumba bwana sio nyie mliokuwa mnamsifia kawapa shule bavicha alipokuwa anatetea kikokotoo kipya.Magufuli huwa hapendi ujinga na watu kufanya kazi kwa mazoea. kauli ya hapa kazi tu inaendelea kuwa wazi na lazima ieleweke Magufuli anaposema hapa kazi anamaanisha nini anasema.
Kama kazaliwa tumbo moja na maguNikimfikiria jenista alivyokuwa akijipambanua kwenye vyombo vya habari simmalizagi yule mama
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanasiasa wa Kiafrika huwa wanaendesha mambo yao kama wako jeshini!!pale sio jeshini
Jenister akitenguliwa uteuzi wake usisahau kuniita eenhHuyu Dada mi nilikua namshangaa anajichekeshachekesha pale mbele wakati masaa yake yalikua yanahesabika
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawahi kuona mwanamke mjinga kama yule.Masikini Irene isaka dah napenda yule Dada kwakweli aje nimliwaze
Sent using Jamii Forums mobile app
Mfano wako haufanani na hali halisi hata kidogo!Kama unapata shida kuona kosa lake ngoja nikupe mfano huu: Umempa mkandarasi mkataba wa kujenga nyumba. Baadae ukakabidhiwa nyumba yako na kuichukua. Baada ya siku mbili nyumba ikapasuka ufa! Je mkandarasi hatawajibika kwa sababu tu wewe ulikubali kuipokea ile nyumba?
Hivi ndugu mbona unajitoa ufahamu. Unajua kazi ya mkurugenzi? Kwa kifupi mkurugenzi anakuwa ndiyo injini ya shirika.. kwa kutumia wataalam wake anawajibika kutoa maamuzi sahihi. Haijalishi kama aliyapitisha kwa rais au nani lakini baadae yakionekana hayana manufaa YEYE ndiye mwajibikaji!
Dada huyo alikuwa akipewa maelekezo wala sio yeye !!!! Kukalilishwa kitu ni tofauti na ukielewavyo lazima ujichanganye maelezoHuyu dada alikuwa anajichanganya sana alivyokuwa anatetea asilimia 25 as if yeye hatastaafu.
Anazuiaje wakati suala limeanzia wizarani kwani SSRA iko juu ya Wizara?Kwa cheo chake angeweza kuzuia hili lakini kwa sabab wanafanya kazi kwa uoga ndio imempelekea kufika pale...na yeye ni dhaifu maana ameshindwa kujenga hoja
Ni fundisho kwa watendaji wengine wenye roho mbaya za kuwakandamiza watumishi wa umaa maana bado ktk baadhi ya taasisi za serikali kuna viongozi wanawakatisha tamaa watumishi watiifu kwa nchi yao.Mapema leo Rais Magufuli alifanya kikao cha wazi na Viongozi waTUCTA, watendaji wakuu wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (PSSSF na NSSF) na Mamlaka ya Usimamizi wa Hifadhi ya Jamii(SSRA) kujadili masuala yahusuyo Mafao ya wafanyakazi hususani KIKOKOTOO na Rais Magufuli alifikia hitimisho kwamba Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika).
Pia soma
> Rais Magufuli aamuru Kikokotoo kilichokuwa kinatumiwa awali kiendelee hadi 2023 (kulingana na mfuko husika) - JamiiForums