Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naibu katibu mkuu anatenguliwa wanaachwa katibu mkuu na waziri wakati tangazo lilikuwa la kisera
Terrrible! kucheka kuko karibu na kulia. Kwa mkulu unacheka akigeuka unalia! Wengi walicheka ghafla wakalia waliolia kisha wakacheka kwa mkulu ni wachache. Ndio maana wengi wamechagua unafiki na kujikombaAmezikumbuka sarakasi zake za kutatua tatizo baada ya kulitengeneza
Ina maana waziri hahusiki, katibu mkuu hahisiki?Mimi nilishaona kwamba huyu mama yuko hatarini tangia sera ilivyotenguliwa kwa simu mchana huu na kwenye uzi mwingine nikamshauri Dkt. Semakafu ajiuzulu kuliko kusubiri kutumbuliwa.
Halafu kwenye ilani ya CCM wanayo hiyo sera ya kufuta astashahada kwa walimu wa shule za msingi.Maamuzi mazito kama yale ni ngumu kuwa maamuzi bila Baraka toka juu, anawatumia wenzake kama mpira
Na kwenye ilani kachomekewa na kina nani? Bashiru au Polepole?Huyu Mama alikuwa mwanaharakati wa kwenye midahalo ya TVs enzi hizo Rais kasema lipuuzwe hao ni maadui zetu. Huwezi jua katumika kwa kuchomekea tu maneno twa hujuma katika tamko. Mbinu za kusabotage ziko nyingi hasa kipindi hiki amvacho wale wanao mhujumu JPM wanavyo jaribu kufurukuta.
Ipitie sera ya elimu ya 2014 ukweli upo humo,Kuanzisha stashahada, sio kufuta astashahada
Na kwenye ilani kachomekewa na kina nani? Bashiru au pole pole?
Hizi conspiracy theories hazina mashiko hii issue ni kama tu ya kikokotoo mzee, huyu mzee akishinda itarudi tu kwa utekelezaji, just wait and see, timing tu labda ndio imekua mbaya.
Denmark ya Tandale 🤣🤣🤣🤣📍🇹🇿Wanyooshe hao mzee baba
Narudia tena wanyooshe hao mzee baba
Mi nipo Hapa Denmark nakula maisha kwanza nikirudi nikute hali shwari
Kumbuka mataga nao ni watanzania.Watanzania sio Wajinga, wanajua kila kitu katika hili..
Hiyo hiyo endelea kula miguu ya kuku na utumbo wa kuku hapo bongoDenmark ya tandale [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji625][emoji1241]
Hivi kumbe tuko wengi nchi hii wenye kuona dizaini hizi za changa la macho eeh. Maana haiwezekani just naibu waziri aje na maamuzi mazito kama haya. Jamaa dizaini yake imekua ni hii hii ya kutengeneza tatizo na kuja hadharani kwa nguvu kubwa sana na kulitatua ili wale wanaoitwa "wanyonge" na watawala wajione wana mtetezi!!!!Kabisa! Huyu mama katolewa kafara. Uamuzi wa kubadili sera usingeweza kufanyika bila ridhaa ya baraza la mawaziri ambapo Rais ni mwenyekiti, wizara inatekeleza tu.
Sasa hapa eti tunaaminishwa kwamba uamuzi huo ulifanya na NAIBU katibu mkuu? Wala sio katibu mkuu au naibu waziri au waziri? Hizi hadaa nyingine hapana..
Haiwezekani Dr. Ave Maria Semakafu akurupuke na kutoa tangazo aliloliotoa ambalo limemwingiza katika matatizo. Ni wazi kwamba suala hili lilijadiliwa kwizarani na azimio hilo kufikiwa.Aliahidi ajira 13,000 za walimu. Akajikuta uwezo wa kuwalipa na kampeni hizi ni mdogo. Aliamua kutoa kisingizio cha kutoajiri walimu wa vyeti baadae akaona itamharibia kisiasa ná uchaguzi huu.
Ni kweli kabisa Dr Ave Maria amekua mbuzi wa kafara.Haiwezekani Dr. Ave Maria Semakafu akurupuke na kutoa tangazo aliloliotoa ambalo limemwingiza katika matatizo. Ni wazi kwamba suala hili lilijadiliwa kwizarani na azimio hilo kufikiwa. Alichofanya Dr. Semakafu ni kutangaza tu. Ni wazi kwamba Waziri Joyce Ndalichalo analifahamu suala hili hata katibu Mkuu wa Wizara analifahamu. Kwa nini aliyechinjwa ni mmoja tu?