Rais Magufuli atokwa na Chozi la huzuni: Mzee Mkapa alinilea kama mtoto wake, alikuwa ni shujaa wangu, alinionyesha upendo

Rais JPM kwa hisani ya Mzee Mkapa... So sad...!!
Nahisi na **** hana muda mrefu...!
 
Jamaa alimchana🤣🤣🤣
 
Walipanda kwa kutumia ungo mmoja...Leo kabakia mwenyewe.....lazima chozi litoke..

Mwinyi na Kikwete ni watu wa pwani hawa ; waungwana hawataki harufu damu kabisa!!

Kazi inaanzia hapo
Hivi Dr Slaa hakupata ulemavu wa mkono wakati wa Kikwete ?
 

Magufuli amesha yasema hayo yote tena na mkapa akiwa hai na akiwepo fatilia na kun clip ilikuwa ina trend tena iliwekwa na msigwa instagram....fatilia kijana
 
Teh teh[emoji28][emoji28] imebidi tu nicheke wallah
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji28][emoji86]

Sorry una umri gani mkuu?
 
Muuaji Anapofiwa Ulia Machozi Halisi si Bandia.. .

By Joh makin
 
Kwa mujibu wa sifa zilizotolewa katika kipindi hiki ni wazi kuwa Mkapa alipokea taifa toka kwa Mzee Mwinyi likiwa KOPO TUPU. Sasa sijui Mzee Mwinyi sifa zake zitakuwa zipi akifa.
Tanzania ndio nchii pekee wanayokutendea mema ukifa Ila ukiwepo ni vinginevyo
I hope kwa aliyofanya Magufuli hawatamsubiri afe ndio wampe hongera zake
 
Hivi bado tu jiwe ana imani kuwa atatoboa october? Kwa Shazi lile la airport lililoletwa na social media pekee SIDHANI! Hatoboi!
 
Aache unafiki na hilo chozi lake mbona kamtandika risasi 39 mtanzania mwenzake Tundu Lissu hakuona uchungu?
 
Aache unafiki na hilo chozi lake mbona kamtandika risasi 39 mtanzania mwenzake Tundu Lissu hakuona uchungu?
Hata we ukija kuwa raisi utakuja kuona jinsi ilivyokuwa ngumu kuongoza kila kashfa nzito kwenye nchi utahusishwa wewe...

Hata yeye aliwahi kunyeshwa sumu na hata akakaribia kukata tamaa ya uongozi..
 
Rais Mkata alikuwa institutional leader. He created insitutions and systems. Na kwa bahati nzuri taasisi zake alizounda zote au 99% ni functional. Hivyo ukiona kiongozi mwingine anajidai ni uongo. Mkapa created institutions, sestems anad machineries.
 
Mimi naamini kuwa hawa viongozi wetu wote walitimiza wajibu wao katika muktadha tofauti, na nyakati tofauti, tuendelee kuwaenzi viongozi wetu wote! Mwinyi ataelezewa kwa mambo mengi ambayo watu tutayakubali sana, ila Mkapa amekuwa ni shork absorber wa transision ya uchumi mgumu sana, kwa anaefuatilia kwa makini maendeleo ya Nchi yetu hutawabeza marais wetu wote,
Nimalizie kwa kusema Mkapa was more special, he made Tanzania of ours
 
Rais Mkata alikuwa institutional leader. He created insitutions and systems. Na kwa bahati nzuri taasisi zake alizounda zote au 99% ni functional. Hivyo ukiona kiongozi mwingine anajidai ni uongo. Mkapa created institutions, sestems anad machineries.
Ukifikiri Mkapa kamaliza wapo ambao watakuja na akili na kufanya mengi zaidi ya hayo...
Suala ni kwamba amefanya ya muhimu lakini haimanishi haitawahi tokea Kama yeye...

Ila kumuenzi mtu sio kuupa uwanja wake Kama alifanya mazuri wananchi wenyewe watamuenzi
 
Mkuu sijapinga watakuja wengine wa kufanya mambo mazuri zaidi. Ninachohuzunika ni pale kiongozi anayefuata anaona wa nyuma yake hawajafanya kitu. Kila mmoja anafanya alivyojaliwa hivyo wengine wanapokea kijiti kuendekeza na kuongeza vingine. Huo ndiyo uongozi na si kunanga waliopita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…