Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
Rais JPM kwa hisani ya Mzee Mkapa... So sad...!!
Nahisi na **** hana muda mrefu...!
Nahisi na **** hana muda mrefu...!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa alimchana🤣🤣🤣Hilo lipo wazi
Apewe sifa anazostahili
Ila tusivuke mipaka
Tukajenga image that serikali iliyopita kabla yake haikufanya chochote.
Hata Magufuli aliwahi kuzikebehi serikali zilizopita ikafikia hatua mzee mkapa akasema, serikali ya sasa isijisifu sana kiasi cha kutaka kuonekana waliopita wote walikuwa useless.
Hivi Dr Slaa hakupata ulemavu wa mkono wakati wa Kikwete ?Walipanda kwa kutumia ungo mmoja...Leo kabakia mwenyewe.....lazima chozi litoke..
Mwinyi na Kikwete ni watu wa pwani hawa ; waungwana hawataki harufu damu kabisa!!
Kazi inaanzia hapo
Alikula rushwa ya nani ?Kwahiyo unataka nimsifie muuaji acha kuishi kinafiki. Alafu alikuwa mla rushwa mkubwa sana
Wote si wanafananaJamaa alimchana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haya maneno alitakiwa ayaingee wakati Mkapa yuko hai. Maana mzee Mkapa angeona fahari kwamba kuna kuna fadhila ana rudishiwa.
Lakini kumsifu marehemu haileti faida zaidi ya kuongea.
Tulizowea kusikia Mh JPM akituambia watangulizi wake hawakufanya kitu. Na nchi imeliwa sana. Kumbe sio kweli? Leo ana tuambia Mzee Mkapa ndie royal model wake. Ndie mwanzilishi wa karibu vitu vyote anavyo endeleza. Tushike lipi? /RIP BABA Mkapa.
Waliokufa aliwafufua?Alikula rushwa ya nani ?
Mzee mkapa alikiri na kutubu madhambi yake.
Teh teh[emoji28][emoji28] imebidi tu nicheke wallahWakuu naomba niwaulize kitu.
Wakati nasikiliza hiki kipande machozi yamenitoka. Ni kila mmoja wetu yamemtokaaa au ni mimi tu na watu wachache. Nikimaanisha kweli kunaambae ataangalia hiki kipande asitokwe na machozi kabisa?
Je yule ambaye hayajatoka machozi kwamba yuko stronger than sisi tuliotokwa machozi??!!
Hem naombeni michango yenu ktk hili maana dah basi binadam tutakua tunatofautiana sana tena.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787]mwenzako kalia sababu marehemu ndio alimfikisha hapo alipo. wewe umelia sababu gani?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji28][emoji86]Hii nilisikitika sana. Na mpk leo nalaani hicho kitendo na waliokifanya lazima wasakwe wa letwe kwa justice.
Ila ktk hili la mheshimiwa the way alikua akielezea. Maraisi wastaaf walikua wako 3 kila meeting km tatu nne wamekua wote leo hii mkapa hatokuwepo nilijikuta machozi.
Ni declare interest mimi ni mwana mapadiliko. Nachukia chama kimoja kutawala milele. Lkn huwa sivutiwi sana na uongeaji wa watu km kina lipumba na hata Ndugu Lissu. The way hawa wanaongea iko km kijazba jazba flan. Hasa lipumba mfano.
Magu akitulia kuongea unapata hisia. Sio ktk hili tu hata mengine ya kitaifa. Ila bhana eeee aongee lipumba. Yaani iko kufoka zaidi. Lissu nae sio kiviiile labda kwa darasani anafaa sana.
Tanzania ndio nchii pekee wanayokutendea mema ukifa Ila ukiwepo ni vinginevyoKwa mujibu wa sifa zilizotolewa katika kipindi hiki ni wazi kuwa Mkapa alipokea taifa toka kwa Mzee Mwinyi likiwa KOPO TUPU. Sasa sijui Mzee Mwinyi sifa zake zitakuwa zipi akifa.
Hata we ukija kuwa raisi utakuja kuona jinsi ilivyokuwa ngumu kuongoza kila kashfa nzito kwenye nchi utahusishwa wewe...Aache unafiki na hilo chozi lake mbona kamtandika risasi 39 mtanzania mwenzake Tundu Lissu hakuona uchungu?
Rais Mkata alikuwa institutional leader. He created insitutions and systems. Na kwa bahati nzuri taasisi zake alizounda zote au 99% ni functional. Hivyo ukiona kiongozi mwingine anajidai ni uongo. Mkapa created institutions, sestems anad machineries.Haya maneno alitakiwa ayaingee wakati Mkapa yuko hai. Maana mzee Mkapa angeona fahari kwamba kuna kuna fadhila ana rudishiwa.
Lakini kumsifu marehemu haileti faida zaidi ya kuongea.
Tulizowea kusikia Mh JPM akituambia watangulizi wake hawakufanya kitu. Na nchi imeliwa sana. Kumbe sio kweli? Leo ana tuambia Mzee Mkapa ndie royal model wake. Ndie mwanzilishi wa karibu vitu vyote anavyo endeleza. Tushike lipi? /RIP BABA Mkapa.
Ukifikiri Mkapa kamaliza wapo ambao watakuja na akili na kufanya mengi zaidi ya hayo...Rais Mkata alikuwa institutional leader. He created insitutions and systems. Na kwa bahati nzuri taasisi zake alizounda zote au 99% ni functional. Hivyo ukiona kiongozi mwingine anajidai ni uongo. Mkapa created institutions, sestems anad machineries.
Mkuu sijapinga watakuja wengine wa kufanya mambo mazuri zaidi. Ninachohuzunika ni pale kiongozi anayefuata anaona wa nyuma yake hawajafanya kitu. Kila mmoja anafanya alivyojaliwa hivyo wengine wanapokea kijiti kuendekeza na kuongeza vingine. Huo ndiyo uongozi na si kunanga waliopita.Ukifikiri Mkapa kamaliza wapo ambao watakuja na akili na kufanya mengi zaidi ya hayo...
Suala ni kwamba amefanya ya muhimu lakini haimanishi haitawahi tokea Kama yeye...
Ila kumuenzi mtu sio kuupa uwanja wake Kama alifanya mazuri wananchi wenyewe watamuenzi