Rais Magufuli awaambia Waandishi wa Habari wawe makini, hawako huru kihivyo...

Na Mwakyembe alivyoshikiwa akili utashangaa atakayoyafanya.. Ila nina imani sana Majaji wetu wengi sasa.. Atadhibitiwa huyu kama anavyotibiwa mwenzao Marekani huko..
 
Daaah ni shidaa
 
Alieshiliki kubana uhuru wa vyombo vya habari leo ni shujaa twende tu hivyo hivyo
 
Utaelewa tu kwanini jogoo wa shamba hawiki mjini
 
Mengi alikuwa anajipendekeza haya sasa kuripoti maandamano ya wakulima kunakutokea puani.....Lissuuuuuuu
 
Hahahaah hatuna kiongozi... eti kama mnadhami mna uhuru wa namna hiyo not to that extent... ina maana kuna limitationa katika kuandika habari..?? Je si kweli kwamba CID yule wa jana hakutumwa na serikali?? Tuna Rais wa Ajabu sana...
 
2020.......POMBE uishie huko huko usije kunielekeza mtu wa kumpigia kura maana nilijiandikisha mwenyewe, kalamu ni yangu mwenyewe na kura nitapiga mwenyewe, Mimi huwa siingiliwi mambo yangu maana najua ni nani awe Rais na nani asiwe ......, ukinipangia ndo utakuwa umejiaribia kabisa.
[HASHTAG]#Tukutane2020[/HASHTAG]
 
TBC live ikulu, ila bunge live hamtaki ngoja tuone mwakyembe kama atalirudisha.
 
Tunataka kauli ya waziri mwakyembe kuhusu kuvamiwa kwa cloud,

kwakuwa ndo waziri husika aanze na hili
 
Kwa mara ya kwanza namuona raisi wetu mpendwa(ingawa sikumpigia kura)ameanza kuingiwa na hofu"duniani tuko temporary"na ujasiri unaanza kumtoka....kama amri jeshi mkuu hupaswi kuongea kinyonge...Nchi kubwa hii alisema Che Mkapa
 
duh! umeandaa milion 7?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…