Edson J Madohyo
Member
- Sep 28, 2020
- 10
- 13
Fuatilia vizuri post zangu, kuna mahali nimemwambia kuwa alikuwa mjenga hoja mzuri zamani maana alikuwa neutral, sio sasa hivi akiwa kwenye ulaji, tena kwa serikali hii iliyoingia madarakani kwa kumwaga damu na wizi wa kura wa wazi hivyo.
Ukuu wa kwenye department yangu unanitosha.Kwani yeye anateua wa vyeo vya kisiasa tu? Wakuu wa taasisi zote za kimamlaka ni wanasiasa?
Rais huyu hahitaji wataalamu ndo alianza nao kuwatumbua muhula wa kwanza alipoingia tu madarakani baada ya kumaliza ndo akaanza tenguatengua za wa kwake aliowateua. Tumbuatumbua, teuateua/tenguatengua ndo success story!Safi sana, ndo wadau wa maendeleo waone demokrasia yetu ilibyopevuka. Yaani katibu mwenezi anakuwa mbunge wa kuteuliwa nafasi maalum za Rais zinazohtaji wataalamu.
Umeumia Sana ehHongera waziri ajae. Unafki unalipa.
Naomba unifundishe hizo mbinu na mimi nipewe teuzi...Mimi naipenda kazi yangu. Ningetaka uteuzi,ningeshateuliwa long time. Maana i know the rules of this game.
Bora wampe Pascal Mayalla.bashiru hawezi kumshauri magu nafasi ya uenezi apewe makonda
Nenda Lumumba anza kutafuta connection kwanza. Umesoma lakini?Kuwa hata volunteer kitengo office ya katibu mkuu,mdogo mdogo habari zako zitafika kwa mwenyekiti. Anzia hapo kwanza. Then sasa julikana kwa public in a positive way in regarding of the country and how Magufuli is the best. Sambaza sumu kwamba Magufuli is the best. Elimu unayo lakini ?Naomba unifundishe hizo mbinu na mimi nipewe teuzi...
natanguliza shukrani
Not at all.Umeumia Sana eh
On the contrary. Iam Happy for him.Umeumia Sana eh
Hope nafasi ya mwakiPolepole atakuwa waziri
Hope nafasi ya mwakiPolepole atakuwa waziri
Kwamba akijenga hoja sawa na unavowaza wewe hana tatizo, ila akitofautiana na wewe anakua ame-disqualify?
Angekuwa Polepole yule wa Katiba Mpya ningesema kapatia lakin polepole huyu wa CCM acha niseme ni sawa tu pia
Polepole waziri ajae. Tanzania kufanikiwa kisiasa ni rahisi sana. Yaani uwe mnafiki,uwe CCM ,umsifie Magufuli at any cost. Utetee CCM at any cost.
Yaani ufanye propaganda zote kuwa Magufuli kafanya maajabu ya kuipaisha Tanzania ndani ya miaka mitano.Hongera Polepole.
GoodNot at all.
On the contrary. Iam Happy for him.