Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa Tanzania unafiki unalipa Sana, kwa wenzetu unafiki ni aibu na Ni chanzo cha mauti
Sihitaji ajenge hoja zinazonifurahisha Mimi, bali ukweli wa hoja anayoijenga. Ngoja nikupe mfano mrahisi, Mimi ni mshabiki wa timu ya Manchester united, na sifurahi kabisa matokeo ya Bayern Munich, lakini siwezi kuukata ukweli kuwa Bayern Munich ni timu mahiri, na bora kimchezo kuliko Manchester united. Unakwama wapi kwenye hoja yangu...
Ujinga kwako. Kwangu ukweli.Hata ndoa yako mkashfu bwanako au sponsor. Au chama Pendwa mtukane mbowe. Dada unaandika kama chekechea. Kuna mahali duniani Bosi unayemtukana atakupa cheo wapi huko. Ukiwa mjinga usipende kuandika andika. Hiyo Ni a very Common experience. Sijaongelea hata Ukweli au uongo wa ujinga wako ulioandika.
Naanza na mfano wako wa pili, ninakunukuu (Lakini siwezi kupinga ukweli kuwa ni mchapakazi kwa asili, bila kujali matokeo ya uchapa kazi wake) Kigezo hicho peke yake ndio kimesababisha kukataliwa kwa wagombea wengine kwa nafasi za Urais, Ubunge/Uwakilishi na Udiwani, sio ushabiki wa wananchi kwa JPM...
Technically atateuliwa na Rais ajaye - afu kwa maslahi mbunge na KM vinalingana au kupishana kidogoNilitegemea bashiru nae atakuwepo, labda bashiru mwenyewe hataki ila nae kafanya kazi kubwa sana mwaka huu
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Mkuu bila kupunguza nguvu ya maelezo yako, inaonekana una kumbukumbu ndogo, ni kweli nilimkubali Polepole wakati wa rasimu ya Warioba, lakini hata wakati ule alikuwa ni mwana ccm labda hujui hili. Na sijawahi kuikubali ccm kwa umri wangu huu niliona nao wa karibu miaka 40. Hivyo kukubali au kukataa uwezo wa ujengaji hoja wa Polepole, hauhisiani na taasisi yake kwani hajawahi kuhama.
Tabiri zimekuwa nyiiingi sana mwengine Ni jafo,mwengine Ni makonda ,mwingine huseni mwingine eti polepoleWewe kiasi fulani tunashabihiana kimawazo, Mimi nikimuona ndugu Polepole naona mbali sana, mbali mno, watu wasimchukulie Poa ndugu Polepole....
We nani kwanNimekutapeli nini ?Mimi nikitaka kitu huwa sishindwi. Ningetaka uteuzi kutoka kwa Magufuli ningeshaupa tokea 2015.
Hilo la yeye kutokuwa mwanaccm naona unalilazimisha ili hoja zako ziwe na mashiko.Una uhakika gani Polepole alikua CCM hata kabla? Kwamba alipohojiwa na yeye kusema hajawai kutokua mwana CCM basi ukaamini? Usiutumie umri wako kama kigezo Comrade!
Itoshe tu kusema Polepole ni katika wajengaji hoja Mahiri kupata kutokea katika aridhi hii ya bara la Africa.
Hayo ni maoni yangu tu comrade kulingana na katiba ya JMT kila raia ana haki ya kutoa maoni au kujieleza.