Rais Magufuli awateua Humphrey Polepole na Bi. Riziki Said Lulida kuwa wabunge wa Tanzania

Rais Magufuli awateua Humphrey Polepole na Bi. Riziki Said Lulida kuwa wabunge wa Tanzania

Huenda ikawa anapumzishwa huko bungeni kama bulembo.
Maana pamoja na kumpa ushindi JPM amemwingiza katika aibu ya kiwango cha lami kwa mbinu zake zisizo akili hata kidogo.
 
Kwa Tanzania unafiki unalipa Sana, kwa wenzetu unafiki ni aibu na Ni chanzo cha mauti

We mbona mnafiki namba moja. Nchi gani unafiki haulipi. Na una mana gani unapotumia neno unafiki . So Polepole angekuwa anasema Jamani SGR mbaya. Kwako ndo angekuwa sio mnafiki. MNAFIKI numero Uno Ni wewe na watu wa aina yako. Watu wanaoteseka wakiona barabara na mazingira yanaboreshwa.

Nimekuja Bongo baada ya 6 years. Mambo mazuri. Sitegemei nifike Airport nipewe hela na Rais. Bali mazingira mazuri. We mnafiki nummer eins Unazungumzia vitu vya Common Sense kabisa. Mkeo ukijua anakuzunguka utampenda. Is that too much of a reasoning for you. Huwa mmezaliwa na kusoma wapi
 
Strategic move...tumezoea awamu ya mwisho ya Rais aliye madarakani ni awamu ya wabunge wengi kuanza michakato ya chini kwa chini kutaka kumrithi aliye madrakani. Hii michakato inafanya serikali pamoja na chama kuyumba yumba maana wengi wanafanya ili kutafuta uhalali wao. Polepole anaenda kuwa jicho la chama kwa wabunge wote wateule.
 
Sihitaji ajenge hoja zinazonifurahisha Mimi, bali ukweli wa hoja anayoijenga. Ngoja nikupe mfano mrahisi, Mimi ni mshabiki wa timu ya Manchester united, na sifurahi kabisa matokeo ya Bayern Munich, lakini siwezi kuukata ukweli kuwa Bayern Munich ni timu mahiri, na bora kimchezo kuliko Manchester united. Unakwama wapi kwenye hoja yangu...

Naanza na mfano wako wa pili, ninakunukuu (Lakini siwezi kupinga ukweli kuwa ni mchapakazi kwa asili, bila kujali matokeo ya uchapa kazi wake) Kigezo hicho peke yake ndio kimesababisha kukataliwa kwa wagombea wengine kwa nafasi za Urais, Ubunge/Uwakilishi na Udiwani, sio ushabiki wa wananchi kwa JPM,

maana yake ni kwamba hata kama mimi sio shabiki wa JPM kama wewe usivyo sbabiki wake, lakini kwa vigezo ulivovitaja tu nashawishika kumpigia kura.

Narudi kwenye hoja, Polepole ulimuunga mkono kwenye katiba ya warioba kwa sababu alizungumzia ulichokiunga mkono, leo Polepole ni yuleyule tofauti ni kwamba taasisi aliyonayo wewe huiungi mkono.
 
Hata ndoa yako mkashfu bwanako au sponsor. Au chama Pendwa mtukane mbowe. Dada unaandika kama chekechea. Kuna mahali duniani Bosi unayemtukana atakupa cheo wapi huko. Ukiwa mjinga usipende kuandika andika. Hiyo Ni a very Common experience. Sijaongelea hata Ukweli au uongo wa ujinga wako ulioandika.
Ujinga kwako. Kwangu ukweli.
 
Naanza na mfano wako wa pili, ninakunukuu (Lakini siwezi kupinga ukweli kuwa ni mchapakazi kwa asili, bila kujali matokeo ya uchapa kazi wake) Kigezo hicho peke yake ndio kimesababisha kukataliwa kwa wagombea wengine kwa nafasi za Urais, Ubunge/Uwakilishi na Udiwani, sio ushabiki wa wananchi kwa JPM...

Mkuu bila kupunguza nguvu ya maelezo yako, inaonekana una kumbukumbu ndogo, ni kweli nilimkubali Polepole wakati wa rasimu ya Warioba, lakini hata wakati ule alikuwa ni mwana ccm labda hujui hili.

Na sijawahi kuikubali ccm kwa umri wangu huu niliona nao wa karibu miaka 40. Hivyo kukubali au kukataa uwezo wa ujengaji hoja wa Polepole, hauhisiani na taasisi yake kwani hajawahi kuhama.
 
Mkuu bila kupunguza nguvu ya maelezo yako, inaonekana una kumbukumbu ndogo, ni kweli nilimkubali Polepole wakati wa rasimu ya Warioba, lakini hata wakati ule alikuwa ni mwana ccm labda hujui hili. Na sijawahi kuikubali ccm kwa umri wangu huu niliona nao wa karibu miaka 40. Hivyo kukubali au kukataa uwezo wa ujengaji hoja wa Polepole, hauhisiani na taasisi yake kwani hajawahi kuhama.

Una uhakika gani Polepole alikua CCM hata kabla? Kwamba alipohojiwa na yeye kusema hajawai kutokua mwana CCM basi ukaamini? Usiutumie umri wako kama kigezo Comrade!

Itoshe tu kusema Polepole ni katika wajengaji hoja Mahiri kupata kutokea katika aridhi hii ya bara la Africa.

Hayo ni maoni yangu tu comrade kulingana na katiba ya JMT kila raia ana haki ya kutoa maoni au kujieleza.
 
Wacha Apewe tu uwo Ubunge na hata Uwaziri, maan jamaa amejua kugawanya matumizi ya Billion zetu ndani ya Lumumba .
 
Wewe kiasi fulani tunashabihiana kimawazo, Mimi nikimuona ndugu Polepole naona mbali sana, mbali mno, watu wasimchukulie Poa ndugu Polepole....
Tabiri zimekuwa nyiiingi sana mwengine Ni jafo,mwengine Ni makonda ,mwingine huseni mwingine eti polepole

Illusion hizi[emoji1787]

Manabii makanjanja wakuwe wengi Sana
 
Ndo faida ya kuwa chawa wa bosi hakutupi, alifanya kazi kubwa sana ya kumtetea bosi wake ni halali kwake

Kuna wenye nchi na wananchi wake
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli amemteua Ndg. Humphrey Polepole kuwa Mbunge Katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Polepole ni Katibu wa Halmashauri kuu ya CCM - NEC, itikadi na uenezi.

Nini kimelegwa hapa?
IMG-20201129-WA0025.jpg


Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
 
Una uhakika gani Polepole alikua CCM hata kabla? Kwamba alipohojiwa na yeye kusema hajawai kutokua mwana CCM basi ukaamini? Usiutumie umri wako kama kigezo Comrade!

Itoshe tu kusema Polepole ni katika wajengaji hoja Mahiri kupata kutokea katika aridhi hii ya bara la Africa.

Hayo ni maoni yangu tu comrade kulingana na katiba ya JMT kila raia ana haki ya kutoa maoni au kujieleza.
Hilo la yeye kutokuwa mwanaccm naona unalilazimisha ili hoja zako ziwe na mashiko.
 
Back
Top Bottom