Rais Magufuli awatumbua Kitila Mkumbo, Ole Sendeka na Katambi, awateua Jumanne Fhika, Dr. Aloyce Nzuki, Allan Kijazi, Josephat Paulo, Kemikimba

Rais Magufuli awatumbua Kitila Mkumbo, Ole Sendeka na Katambi, awateua Jumanne Fhika, Dr. Aloyce Nzuki, Allan Kijazi, Josephat Paulo, Kemikimba

Enyi wateuliwa acheni kumsumbua JPM ridhikeni na vyeo vyenu ingawaje ni ngumu maana hata mimi siyo ajabu sijaridhika bado
 
Amemuwinda Prof Adolf Mkenda muda mrefu akamkosa! Hata alipofuatilia ufisadi alikuta ni mwanae kigwangala ndiye kibaka na mwizi wa fedha za TANAPA. Adolf alikuwa anawabana wasikwibe sasa anatolewa ili wapige hiyo TANAPA hadi itapike damu fedha za uchaguzi october 2020! Magu ni jambazi mwenye silaha anashirikiana na wezi.
Katolewa au kaamua kujitoa mwenyewe kwa kwenda kutia nia ya Ubunge?
 
kiongozi wa serikali hatakiwi kujihusisha na siasa hujui hilo? Akishajitosa siasa anapoteza uhalali wa kuwa ofisi ya serikali .Chukulia hao wangekuwa ni Chadema au CUF wameenda kutia nia CHadema au CUF wakiwa wafanyakazi wa serikali si watu wangepiga kelele kuwa waondoke kwenye nafasi zao

Nchi hii ajira hamna sasa mtu aridhike na alipo au aachie wengine sio huku anataka na huku alikotaka anataka huo ni ulafi
Mambo ya kuridhishana na ya kitandani tu,kwny maisha hakuna kuridhika.
 
Na mwenyekiti wao alivyo na moyo wa jiwe, majina yao hayarudi. Labda waingie ACT ama CHADEMA. Tuliwambia ni dikteta wakakataa. Tuliwaambia akimaliza huku atakuja huko hawakuelewa.
Hizi Ni dharau kwa mwenyekiti wao, kwamba pamoja na angalizo alilolitoa bado wanamuona si lolote si chochote.

Ngoja tuone Kama Mwenyekiti wao atawalamba miguu kwa kuruhusu uteuzi wao, maana alishawapiga ban wasithubutu
 
Kati ya mtu naona anaenda kuchemka ni Katambi na Olesendeka
Katambi hana base yoyoye Shinyanga mjini na hajulikani maana 2015 alibebwa tu na nguvu ya Chadema.
Pale mjini GAKI, Fresho na Kwilasa ndio wanaamua mbunge awe nani
 
Magufuli aache watu wawe huru kufanya watakalo muhimu wasimuharibie kazi, huwezi kumfungia mtu ndani kama mbuzi, sio siku zote mtu afanye unalotaka wewe tu, huu nao ni udikteta.

Kwa muendelezo huu ataendelea kuteua wapya kila siku, vyema ajifunze kuheshimu taratibu alizozikuta, asitake kubadilisha kila kitu.
Hapo wanajuana
 
yaani wewe sijui hata povu linakutoka la nini maana kama ni ruhusa alishatoa kila mtu aende kama anataka kwenda hajamzuia mtu ila alichowaonya ni kuwa wasiwe na tamaa basi utakuwaga siyo muelewa humuelewi rais utakuwa wa ufipa wewe maana hao ndiyo hawajuagi kujadiri hoja wao ni kupinga kila kitu
 
Na mwenyekiti wao alivyo na moyo wa jiwe, majina yao hayarudi. Labda waingie ACT ama CHADEMA. Tuliwambia ni dikteta wakakataa. Tuliwaambia akimaliza huku atakuja huko hawakuelewa.
Magufuli aache watu wawe huru kufanya watakalo muhimu wasimuharibie kazi, huwezi kumfungia mtu ndani kama mbuzi, sio siku zote mtu afanye unalotaka wewe tu, huu nao ni udikteta.

Kwa muendelezo huu ataendelea kuteua wapya kila siku, vyema ajifunze kuheshimu taratibu alizozikuta, asitake kubadilisha kila kitu.
 
Ni matumizi tu mabaya ya kodi zetu. Badala ya kuteua Wataalamu, unawateua Wanasiasa wenzako! Unategemea nini muda wa kufanya hiyo siasa utakapofika/utakapowadia? Ni lazima tu wakukimbie ili wakatafute malisho ya uhakika.

Na tutamshangaa sana Rais iwapo atawateua tena watu wa aina hii iwapo watashindwa kwenye mchakato wa kura za maoni ndani ya chama au hata kushindwa kabisa kwenye huo uchaguzi mkuu ujao.
Ndio maana kipindi cha kikwete alikuwa anajaribu sana kuchagua watu ambao siyo wanasiasa moja kwa moja, na hata mwanasiasa akichaguliwa wananchi tulikuwa tunaliga kelele.

Ila huyu bwana yeye ameona kuwachagua waccm wenzake ndio kutuonesha yeye haogopi chochote kile wananchi, sasa muache ya mkute ya kumkuta.

Kila taratibu alizokuta anataka kuzibunja.
 
Hapana. Anapata mshahara mmoja Wa Tanapa ila wizarani atapewa stahili za nafasi yake ambazo hazipati Tanapa ambapo kimsingi hakuna stahiki ambazo zipo wizarani kisha hazipo Tanapa. Atatengenezewa posho za kufanyakazi kwenye mazingira magumu
Mzee ebu nielekeze vizuri 🤪🤦
 
Mshike mshike ndege tunduni, wale wajanja wanakimbia!
Mshike mshike ndege tunduni, waliobaki wataumia!

Yule mwingine mwenye nyoya ndogo alitaka kutoka akabanwa na mlango, KHABHAAAA!!!
 
Back
Top Bottom