Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Raha sana hii familia inafaidi keki ya taifa haswaaVyote viwili ni vyake kwa mpigo mkuu.
Kua na Godfather ni raha sana aisee.
Katolewa au kaamua kujitoa mwenyewe kwa kwenda kutia nia ya Ubunge?Amemuwinda Prof Adolf Mkenda muda mrefu akamkosa! Hata alipofuatilia ufisadi alikuta ni mwanae kigwangala ndiye kibaka na mwizi wa fedha za TANAPA. Adolf alikuwa anawabana wasikwibe sasa anatolewa ili wapige hiyo TANAPA hadi itapike damu fedha za uchaguzi october 2020! Magu ni jambazi mwenye silaha anashirikiana na wezi.
Mambo ya kuridhishana na ya kitandani tu,kwny maisha hakuna kuridhika.kiongozi wa serikali hatakiwi kujihusisha na siasa hujui hilo? Akishajitosa siasa anapoteza uhalali wa kuwa ofisi ya serikali .Chukulia hao wangekuwa ni Chadema au CUF wameenda kutia nia CHadema au CUF wakiwa wafanyakazi wa serikali si watu wangepiga kelele kuwa waondoke kwenye nafasi zao
Nchi hii ajira hamna sasa mtu aridhike na alipo au aachie wengine sio huku anataka na huku alikotaka anataka huo ni ulafi
Hizi Ni dharau kwa mwenyekiti wao, kwamba pamoja na angalizo alilolitoa bado wanamuona si lolote si chochote.
Ngoja tuone Kama Mwenyekiti wao atawalamba miguu kwa kuruhusu uteuzi wao, maana alishawapiga ban wasithubutu
Hao sasa ndio wakisema nchi imeingia uchumi wa kati unasema ni kweli kabisaaa.Raha sana hii familia inafaidi keki ya taifa haswaa
Hahahaha, hii alipata hadi dada Shyrose bhanjiHahah kama alikosa ule wa Afrika Mashariki ambapo watoto wa vigogo walipata akiwemo yule wa mwinyi(mdogo wake na rais wa zenji mtarajiwa,mtoto wa Prof. Maghembe walipata basi hio ndio imeisha hio mzee baba.
Katambi hana base yoyoye Shinyanga mjini na hajulikani maana 2015 alibebwa tu na nguvu ya Chadema.Kati ya mtu naona anaenda kuchemka ni Katambi na Olesendeka
Hapo wanajuanaMagufuli aache watu wawe huru kufanya watakalo muhimu wasimuharibie kazi, huwezi kumfungia mtu ndani kama mbuzi, sio siku zote mtu afanye unalotaka wewe tu, huu nao ni udikteta.
Kwa muendelezo huu ataendelea kuteua wapya kila siku, vyema ajifunze kuheshimu taratibu alizozikuta, asitake kubadilisha kila kitu.
yaani wewe sijui hata povu linakutoka la nini maana kama ni ruhusa alishatoa kila mtu aende kama anataka kwenda hajamzuia mtu ila alichowaonya ni kuwa wasiwe na tamaa basi utakuwaga siyo muelewa humuelewi rais utakuwa wa ufipa wewe maana hao ndiyo hawajuagi kujadiri hoja wao ni kupinga kila kituMagufuli aache watu wawe huru kufanya watakalo muhimu wasimuharibie kazi, huwezi kumfungia mtu ndani kama mbuzi, sio siku zote mtu afanye unalotaka wewe tu, huu nao ni udikteta.
Kwa muendelezo huu ataendelea kuteua wapya kila siku, vyema ajifunze kuheshimu taratibu alizozikuta, asitake kubadilisha kila kitu.
Magufuli aache watu wawe huru kufanya watakalo muhimu wasimuharibie kazi, huwezi kumfungia mtu ndani kama mbuzi, sio siku zote mtu afanye unalotaka wewe tu, huu nao ni udikteta.
Kwa muendelezo huu ataendelea kuteua wapya kila siku, vyema ajifunze kuheshimu taratibu alizozikuta, asitake kubadilisha kila kitu.
Huu ni uonevu nadhani kuanzia ngazi fulani,mbona kuna baadhi ya mawaziri kabisa tena ngazi za juu wao hatengii uwaziri wao sasa kama ni hivyo
Ndio maana kipindi cha kikwete alikuwa anajaribu sana kuchagua watu ambao siyo wanasiasa moja kwa moja, na hata mwanasiasa akichaguliwa wananchi tulikuwa tunaliga kelele.Ni matumizi tu mabaya ya kodi zetu. Badala ya kuteua Wataalamu, unawateua Wanasiasa wenzako! Unategemea nini muda wa kufanya hiyo siasa utakapofika/utakapowadia? Ni lazima tu wakukimbie ili wakatafute malisho ya uhakika.
Na tutamshangaa sana Rais iwapo atawateua tena watu wa aina hii iwapo watashindwa kwenye mchakato wa kura za maoni ndani ya chama au hata kushindwa kabisa kwenye huo uchaguzi mkuu ujao.
Mzee ebu nielekeze vizuri 🤪🤦Hapana. Anapata mshahara mmoja Wa Tanapa ila wizarani atapewa stahili za nafasi yake ambazo hazipati Tanapa ambapo kimsingi hakuna stahiki ambazo zipo wizarani kisha hazipo Tanapa. Atatengenezewa posho za kufanyakazi kwenye mazingira magumu
NDIO HAOBWA 1982 tamaa mbele sanaKatambi kapata Ubosi kiulaini kabisa.
Anatafuta nini tena ?
Au ndio hao waliozaliwa mwaka 1982 ?