Mkogoti
TAPELI Mkubwa
- May 3, 2020
- 2,415
- 3,924
Apo nimekupata sawa sawa Shukrani sana 🤝serikalini hata ukiwa unafanyakazi ofisi kumi huwa unalipwa mshahara mmoja tu. Mfano, waziri huwa ni mbunge, angeweza kulipwa mshahara Wa ubunge na Wa uwaziri Ila ukishakuwa waziri unaondolewa kwenye payroll ya bunge, unabaki kulipwa wizarani tu. Bungeni atakuwa analipwa posho za vikao tu. Kwa ishu ya kijazi itaangaliwa kati ya wizarani na Tanapa wapi analipwa mshahara mkubwa, kama ni Tanapa ataendelea na mshahara Wa huko, kama Wa wizara ni mkubwa atalipwa Wa wizara.