data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,858
- 23,768
Jifunzeni kuridhika.Magufuli aache watu wawe huru kufanya watakalo muhimu wasimuharibie kazi, huwezi kumfungia mtu ndani kama mbuzi, sio siku zote mtu afanye unalotaka wewe tu, huu nao ni udikteta.
Kwa muendelezo huu ataendelea kuteua wapya kila siku, vyema ajifunze kuheshimu taratibu alizozikuta, asitake kubadilisha kila kitu.