Kadhi Mkuu 1 wa kanisa la ufufuo na uzima unateseka kuji-camauflage kwenye Uislam wakati wewe ni alwatan mla kitimoto mzuri tu tunakujua. Waislam wa wapi uliona wanalalamika kutaka makao makuu ya Bakwata?Sasa tuache kulalamika mara tunaonewa mara mfumo kristo kumbe ndo matajiri nchini.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Bavicha hao bwashee!Usiposali unamkomoa nani ? Unasali kwa faida ya nani ? Pole sana kwa kutokupambanua dini na siasa.
5.Kutoa lugha iso staha, kejeli/matusiMungu hapendi binadamu afanye yafuatayo;
1. kupiga au kuagiza wenzako wapigwe risasi
2. Kuteka na kupoteza wenzako
3. Visasi
4.Kubagua watu kwa sababu ya itikadi ya vyama
Haya ni makubwa kuliko ibada
Sawa Sheikh! Nimekupata. Ila kuna jambo unatakiwa pia kuwashukuru hao Wakatoliki. Wamewachangia mzigo wa kutosha tu na ahadi kedekede kupitia ile harambee kwa ajili ya ujenzi wa msikiti wenu kule Chamwino.
Siku ukitembelea maeneo hayo na kuswali kwenye huo msikiti, basi usije ukasahau na Waumini wa Kikatoliki nao walishiriki kuchangia chochote ili ndugu zao Waislamu nao wapate sehemu nzuri ya ibada.
Watanzania siku zote ni wamoja. Ni hawa wanasiasa tu uchwara ndiyo wanajitahidi kutufarakanisha. Ingawa nina imani hawatafanikiwa kamwe.
NB: Usiseme tena 'kwani tuliwaomba' si kiherehere chenu tu na huyo mkatoliki mwenzenu!
JakNani kakuambia Rais atakuwa mUislam 2025?
AyaAcha upumbavu wako
Limeshakuwa kanisa la kipumbavuKosa sio la rais kosa ni kwamba kanisa limetoa nafasi kuchezewa, wacha pichezewe!
Hivi kwanini Magufuli huwa anamuogopa kumtaja au kumuongelea Tundu Lisu kwa jina lake?Akimwangalia Lissu mpaka sasa haelewi anapambana na binadamu au mzimu inabidi awe anashinda kwenye kazi za kanisa na misikiti. Itamtesa sana hii katika maisha yake hapa duniani.
Umenena vema mkuu!Ni undugu wa damu umeonyeshwa na kanisa.wakristo na waisilamu wote ni ndugu.Adam ndo baba yetu.
Lisu hana hadhi ya kutajwa jina na Rais!Hivi kwanini Magufuli huwa anamuogopa kumtaja au kumuongelea Tundu Lisu kwa jina lake?
Mara nyingi huwa anajiuma uma tu
Anaweweseka.akimuona mtu yeyote anaechechemea anapita huwa anashtuka sanaHivi kwanini Magufuli huwa anamuogopa kumtaja au kumuongelea Tundu Lisu kwa jina lake?
Mara nyingi huwa anajiuma uma tu
Mwana Sacco's yeyote Ni mzao wa LuciferMungu hawezi kumbariki shetani
Teh teh teh 🤣 🤣🤣 🤣 naona Gwajima amewakera sana baada ya kujiunga na Ccm na kupitisha kugombea ubunge.Kadhi Mkuu 1 wa kanisa la ufufuo na uzima unateseka kuji-camauflage kwenye Uislam wakati wewe ni alwatan mla kitimoto mzuri tu tunakujua. Waislam wa wapi uliona wanalalamika kutaka makao makuu ya Bakwata?
Mcheza picha za ngono atamkera nani? We cheza picha ya ngono kama gwajima urushie humu JF uone kama utamkera mtu.Teh teh teh 🤣 🤣🤣 🤣 naona Gwajima amewakera sana baada ya kujiunga na Ccm na kupitisha kugombea ubunge.
Inategemea na kazi yà mchangajiPesa zinazochangishwa kanisani kwa makafiri sio haramu?
Total failure. Labda akina Musa Salum wa bakwata daslamTactic ya ku win waislamu!
Mungu hadhihakiwi,Kwahiyo mhe rais asisali?. Magufuli ni mchamungu sana na anazipenda dini zote.