Rais Magufuli azindua Kanisa la Parokia ya Bikira Maria Emmakulata Chamwino, Dodoma. Achangisha fedha kanisani kuchangia ujenzi wa Msikiti

Rais Magufuli azindua Kanisa la Parokia ya Bikira Maria Emmakulata Chamwino, Dodoma. Achangisha fedha kanisani kuchangia ujenzi wa Msikiti

Akimwangalia Lissu mpaka sasa haelewi anapambana na binadamu au mzimu inabidi awe anashinda kwenye kazi za kanisa. Itamtesa sana hii katika maisha yake hapa duniani.
Ila viongozi wa dini wakati mwingine wana wafanya waumini wawadharau. Huyu Baba la baba kuna kipindi aliwakemea sana na kuwatishia hata kuyafunga makanisa.

Sasa wana jipendekeza kwake tena kipindi cha uchaguzi. Kwamba hawajui simba hafugwi? Wamuangalie mtu ambae Mungu amemchagua sio kujipendekeza.
 
Mungu hapendi binadamu afanye yafuatayo;
1. kupiga au kuagiza wenzako wapigwe risasi
2. Kuteka na kupoteza wenzako
3. Visasi
4.Kubagua watu kwa sababu ya itikadi ya vyama

Haya ni makubwa kuliko ibada
Wasaliti hiyo ndio stahiki yao
 
Mungu hapendi binadamu afanye yafuatayo;
1. kupiga au kuagiza wenzako wapigwe risasi
2. Kuteka na kupoteza wenzako
3. Visasi
4.Kubagua watu kwa sababu ya itikadi ya vyama

Haya ni makubwa kuliko ibada
Ila kanisa katoliki Tz ndio linawapenda watu wenye matendo hayo.
 
Makonda amewajengea Makao Makuu ya Kisasa ya Baraza lenu la Waislamu Tanzania (Bakwata) bwashee! Una maoni gani katika hili?
Tilimwomba? Waislam ndiyo matajiri nchi hii hawashindwi kujenga makao makuu ya Bakwata hata makubwa kuliko PSPF Twin Tower
 
Mungu hapendi binadamu afanye yafuatayo;
1. kupiga au kuagiza wenzako wapigwe risasi
2. Kuteka na kupoteza wenzako
3. Visasi
4.Kubagua watu kwa sababu ya itikadi ya vyama

Haya ni makubwa kuliko ibada
Hivi kuna mahali kwenye vitabuvya di i risasi zimesemwa? Maana sijui kama enzi hizo risasi zilikuwa zimeisha vumbuliwa.!
 
Ila viongozi wa dini wakati mwingine wana wafanya waumini wawadharau. Huyu Baba la baba kuna kipindi aliwakemea sana na kuwatishia hata kuyafunga makanisa.. Sasa wana jipendekeza kwake tena kipindi cha uchaguzi. Kwamba hawajui simba hafugwi?
Wamuangalie mtu ambae Mungu amemchagua sio kujipendekeza.
Morali yangu ya kusali katoliki imeshuka sn, kiss unafiki wao.
 
Rais Magufuli amehudhuria misa takatifu ya uzinduzi wa Kanisa la parokia ya Bikira Maria Emmakulata Chamwino jijini Dodoma.

Misa hii inarushwa mubashara TBC na Channel ten....
Mungu wa "israeli" hachangamani na "miungu baali"

Hayo ni maigizo ya kisiasa, kuwin both sides lakini hiyo ni ibada ya kipagani.

Mtawajua kwa matendo yao, huwezi mjengea baali madhabahu na wakati huo huo ukamwamini YESU, pande hizo mbili hazichangamani, never!
 
Umekunywa chai?
Angalizo:
Kuanzia 2025 rais atakapokuwa Muislam akianza kuzindua misikiti kila mtaa na TBC kumuonesha akiwa msikitini anaswali tusione manaswara mkinyanyua midomo yenu mirefu.
 
Back
Top Bottom