Rais Magufuli azindua Kanisa la Parokia ya Bikira Maria Emmakulata Chamwino, Dodoma. Achangisha fedha kanisani kuchangia ujenzi wa Msikiti

Rais Magufuli azindua Kanisa la Parokia ya Bikira Maria Emmakulata Chamwino, Dodoma. Achangisha fedha kanisani kuchangia ujenzi wa Msikiti

KWELI LEO KANISA KATOLIKI LA MITUME LINAJENGA MSIKITI?
Naanza kuamini maneno yaliandikwa Ufunuo 13.
Uchaguzi 2020 tutaona na kuisikia mengi.ila muhimu watanzania wekeni uelewa mbele Hali ya mwananchi mmoja mmoja ni mbaya kupita kupindukia. Kwa miaka hii mitano Rais amechukua madaraka makubwa mnoooo na haswa alipoichukua tamisemi ikawa ofisini kwake.
 
Akimwangalia Lissu mpaka sasa haelewi anapambana na binadamu au mzimu inabidi awe anashinda kwenye kazi za kanisa. Itamtesa sana hii katika maisha yake hapa duniani.
Huyu lisu wenu ambehajielewii ndo awe mzimu wa magufuli? Huyu ambaye hatahajui kuongea lisu wenu ndo ampe wasiwasi jemadari magufuli. Hivi ukisikia maneno ya lisu anafanana hatakuwa na sifa ya kugombea ubarozi wa nyumba kumii?? Kwa huyu lisu wenu mumechemsha saaanaa. Bora mungempa kidooogo mbowe au nyaranduuu agombee uraisi sio huyooo jamaa yenuuu.
 
Akimwangalia Lissu mpaka sasa haelewi anapambana na binadamu au mzimu inabidi awe anashinda kwenye kazi za kanisa. Itamtesa sana hii katika maisha yake hapa duniani.
[emoji1787][emoji1787]
 
“Kwenye michango tuliyochangisha hapa Kanisani kwa ajili ya ujenzi wa Msikiti Chamwino, Dodoma tumepata jumla ya Tsh.Million 48 na Elfu 21,mifuko 48 ya cement na Lori 5 za mchanga, Rostam amechanga Mil. 20, Boss wa CRDB Nsekela Milioni 10, pia CAG Kichere, Antony Mavunde, RC Dodoma ni miongoni mwa waliochangia, nawashukuru wote waliochangia”-JPM baada ya kuchangisha pesa za ujenzi wa Msikiti akiwa Kanisani Dodoma

#MillardAyoUPDATES

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
 
Huyu lisu wenu ambehajielewii ndo awe mzimu wa magufuli? Huyu ambaye hatahajui kuongea lisu wenu ndo ampe wasiwasi jemadari magufuli. Hivi ukisikia maneno ya lisu anafanana hatakuwa na sifa ya kugombea ubarozi wa nyumba kumii?? Kwa huyu lisu wenu mumechemsha saaanaa. Bora mungempa kidooogo mbowe au nyaranduuu agombee uraisi sio huyooo jamaa yenuuu.
Mtu yeyote ukitaka kumuua halafu Bahati mbaya ukamkosakosa kila ukimuona lazima uweweseke.
 
Dr Magufuli ni muumini wa Kanisa Katoliki siyo mwanasiasa bwashee!
Hiyo harambee aliyofanya hapo kanisani ya kuchangia msikiti kwa nini asiende hukohuko msikitini?Kama sio kampeni ni nini?
 
Hivi mbona makanisa mengine na misikiti hatusikii uzinduzi wake ukirushwa live na televisheni ya taifa?

Watanzania wa sasa werevu sana.
Nadhani tu bado hajafanya organisation vzr sababu kea Mungu siasa tunaziacha kidogo pembeni sababu yy no Alfa na Omega
 
Tilimwomba? Waislam ndiyo matajiri nchi hii hawashindwi kujenga makao makuu ya Bakwata hata makubwa kuliko PSPF Twin Tower

Sawa Sheikh! Nimekupata. Ila kuna jambo unatakiwa pia kuwashukuru hao Wakatoliki. Wamewachangia mzigo wa kutosha tu na ahadi kedekede kupitia ile harambee kwa ajili ya ujenzi wa msikiti wenu kule Chamwino.

Siku ukitembelea maeneo hayo na kuswali kwenye huo msikiti, basi usije ukasahau na Waumini wa Kikatoliki nao walishiriki kuchangia chochote ili ndugu zao Waislamu nao wapate sehemu nzuri ya ibada.

Watanzania siku zote ni wamoja. Ni hawa wanasiasa tu uchwara ndiyo wanajitahidi kutufarakanisha. Ingawa nina imani hawatafanikiwa kamwe.

NB: Usiseme tena 'kwani tuliwaomba' si kiherehere chenu tu na huyo mkatoliki mwenzenu!
 
Back
Top Bottom