Rais Magufuli azindua Kanisa la Parokia ya Bikira Maria Emmakulata Chamwino, Dodoma. Achangisha fedha kanisani kuchangia ujenzi wa Msikiti

Zamani , marehemu Mzee Moi kila siku ya ibada ndiyo ilikuwa habari kuu kwa jirani zetu. Leo yametukuta.

Nakumbuka Moi alikuwa mtawala wa mkono wa chuma. Hii ya kwetu sijui ni ya mkono shaba. Mungu awasaidie WaTz kuvuka ktk kipindi hiki cha kusifu na kuabudu
 
Rais Dkt.John Magufuli amechangisha mchango kwaajili ya ujenzi wa Msikiti wakati aliposhiriki Ibada katika Kanisa la Parokia ya Bikira Maria Imakulata, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma Agosti 23, 2020.

ITV Tanzania

Huku mkiendelea 'Kunichukia' GENTAMYCINE nawashaurini sana 'Wanasisa' acheni Kucheza na Imani za Watu na Kuwachokoza kiasi hiki ni hatari.
 

Wataufuta uzi huu muda si mrefu
 

Kosa sio la rais kosa ni kwamba kanisa limetoa nafasi kuchezewa, wacha pichezewe!
 
Hayo yamesemwa na Katibu mkuu wa TEC Padre Charles Kitima.


Huku akitabanaisha ni kwa namna gani kwa upande wa kupambana na rushwa Kiongozi huyo wa TEC amezipongeza juhudi za wazi na zinazoonekana bayana.

"Popote unapopita wengi wanataka waongozwe na Rais Magufuli" amesema Padre Kitima!


Baraza hilo pia limemtakia kila lililo la kheri ndugu Magufuli katika uchaguzi mkuu ujao ikizingatiwa pia naye anatarajiwa kuitetea nafasi yake.
 
kwan nini mbaya kuchangia imani za wengine madhabahuni

au ulikuwa unajiandikia
 
Tunapiga kura this 28 October... He's no longer in our hearts
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…