Rais Magufuli azindua Kanisa la Parokia ya Bikira Maria Emmakulata Chamwino, Dodoma. Achangisha fedha kanisani kuchangia ujenzi wa Msikiti

Uyu Rais anampenda sana Mungu ila tatizo tu moja wapinzani wake anawaona ma Lucifer na dini inasema mpende adui yako.
 
Mzeee jiwe ana wasaidizi wengi kinoma karibu nusu ya waliohudhuria kanisani walikuwa wasaidizi wake na ndio waliyokuwa wanachangia achia mbali wasaidizi ambao wameficha vyeo vyao
 
Hakuna katazo lolote kufanya hivyo kwa upande wa dini ya kiislamu.

Labda iwe kwa mujibu wa dini yao wawe wanakatazwa kuchangia msikiti.

Ukafiri maana yake ni kinyume na uislamu.
 
Kununua kujificha nyuma ya mamluki wa dini ndio alichobakiza.

Safari hii tunaye masihi wa Singida
 
Mzeee jiwe ana wasaidizi wengi kinoma karibu nusu ya waliohudhuria kanisani walikuwa wasaidizi wake na ndio waliyokuwa wanachangia achia mbali wasaidizi ambao wameficha vyeo vyao
Hapo kajipanga kama unajua zile shughuli za uswahilini. Yaani hapo kagawa kila mtu milioni tatu nne akatoe kwenye harambee ili ifaane.🤣🤣🤣
 
Pesa zinazochangishwa kanisani kwa makafiri sio haramu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…