Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna katazo lolote kufanya hivyo kwa upande wa dini ya kiislamu.Siyo mbaya kwa wenzetu Wakristo kutuchangia, lakini kwa uwelewa wangu finyu nadhani hii haiko sawa. Hawa tunaowaita makafiri watajengaje nyumba yetu ya ibada?
Mh.Rais Magufuli amechangisha fedha za kujenga msikiti huko chamwino Dodoma akiwa katika ibada ya Jumapili leo tarehe 23/8/2020.
Ana mpenda mungu( sio Mungu) wapi kama sio unafiki tu.Uyu Rais anampenda sana Mungu ila tatizo tu moja wapinzani wake anawaona ma Lucifer na dini inasema mpende adui yako.
Hapo kajipanga kama unajua zile shughuli za uswahilini. Yaani hapo kagawa kila mtu milioni tatu nne akatoe kwenye harambee ili ifaane.🤣🤣🤣Mzeee jiwe ana wasaidizi wengi kinoma karibu nusu ya waliohudhuria kanisani walikuwa wasaidizi wake na ndio waliyokuwa wanachangia achia mbali wasaidizi ambao wameficha vyeo vyao
Na hapo ndio anajimaliza. Sijui nani anamshauriKununua kujificha nyuma ya mamluki wa dini ndio alichobakiza.
Safari hii tunaye masihi wa Singida
Your heart not our hearts bwashee!Tunapiga kura this 28 October... He's no longer in our hearts
Unajisikiaje pale uliyetaka kumuua yupo hai anachoma kama [emoji382][emoji382][emoji382] .unaweza kukimbia uvunjike miguu.hivi sasa kajisalimisha kanisani maana hajui anapambana na nani.
Magu hadi namuonea huruma anavyotapatapa.huu msikiti ni wa kanisa, pesa imetolewa kanisani.
Amaizing..[emoji3][emoji3]Itabdi msikiti huitwe MASIJID AL KAFFIRI KATORIQ
Bora yeye ana kilema cha kusababishwa na wanaadamu wenye husuda. Na wale wenye vilema rohoni na akilini Je ?!
acha uchokozi mkuu[emoji38]Itabdi msikiti huitwe MASIJID AL KAFFIRI KATORIQ
Johthebaptist unaona rais wako anayotatapa kila mahali.Your heart not our hearts bwashee!
WAKATI WA UJANA TUKIENDAA KUPIGA KINYWAJI UNAMPA MSHIKAJI WAKO HERA ALAFU UNAMWAMBIA WE NDO UTAKUWA UNACLEAR BILL OKEYHapo kajipanga kama unajua zile shughuli za uswahilini. Yaani hapo kagawa kila mtu milioni tatu nne akatoe kwenye harambee ili ifaane.🤣🤣🤣