Uchaguzi 2020 Rais Magufuli azungumzia wapinzani wanaohamia CCM na kupewa kipaumbele cha uongozi na kugombea

Jana mwenyekiti wao kawapa za ukweli hao hao kwamba ikiwa ndani wanwafanyia figisu wanahama wakienda huko wanawashinda,wakirudi tena wananuna.Kawaambia anatamani wawashinde ikiwezekana waingie na NEC nikamuona jamaa kawa mpole yule wa Songwe.Ni unafiki tuu ndio unawasumbua mwanacham mpya na wazamani wote wana haki sawa
 
Hiyo ndiyo sumu ya mataga

Lowasa yupi huyo? Au unamsema Lowasa mliyekuwa mnamtukana matusi ya ajabu kisa kahamia cdm?

Leo hii yupo ccm kwenu mnamramba viatu maana hamna cha kumfanya kwani mwenye chama chake kaamua kuwakomoeni na kuwalazimisha mle matapishi yenu.

Wape salaam kina Msukuma, pole pole na wewe na kikundi chako cha kuwatukana watu na kuwakashifu kisa itikadi za kisiasa.
Hivi nyie CHADEMA hamjawahi kumtukana Lowassa na kumuita FISADI?
 
Je kwa mtazamo wako wewe huyo kijana alifanya kosa gani kikatiba?

Je hiyo ndiyo demokrasia wanayo ihibiri wana ccm kuwa ipo ya kutosha ndani ya chama chao kuliko pahala pengine?
Swali la msingi zaidi ni kwa nini CCM pamoja na wingi wa wanachama wao walio nao bado wanategemea mtu atoke upinzani kwa wachache ndio wawe na imani naye kwenye uchaguzi na uongozi zaidi ya wao wenye chama chao?
 
Umeeleweka sana kiongozi, sijui kama kuna mwana ccm anaweza kuja kulijibu hili swali pamoja na umuhimu wake.
Swali la msingi zaidi ni kwa nini CCM pamoja na wingi wa wanachama wao walio nao bado wanategemea mtu atoke upinzani kwa wachache ndio wawe na imani naye kwenye uchaguzi na uongozi zaidi ya wao wenye chama chao?
 
hata yule jamaa aliyeibuwa hii hoja anatishwa kinoma mpaka sasa.

Sio kutishiwa tu, atajikuta katika wakati mgumu sana, maana maamuzi ya kuwachukua wapinzani na kuwapa vyeo, ni maagizo ya Magufuli mwenyewe.
 
Swali la msingi zaidi ni kwa nini CCM pamoja na wingi wa wanachama wao walio nao bado wanategemea mtu atoke upinzani kwa wachache ndio wawe na imani naye kwenye uchaguzi na uongozi zaidi ya wao wenye chama chao?
Waliojaa kule akili zao ziliishaondoka, wote kuanzia asiesoma mpaka maprofesa kwenye kufikiri wamebaki kumtegemea Chakubanga.
 
CCM wakinunua wapinzani wanashangilia usoni ila moyoni wana vidonda vya kupokonywa nafasi zao na ng'ombe aliyekatwa mkia 🤣
 
Majibu haya ni sahihi na hii ipo hadi kwenye biblia, habari ya mwana mpotevu aliporejea nyumbani..wazazi walifurahi na kufanya karamu lkn kaka mtu alinuna.
Usipende kulinganisha maneno matakatifu na vitu vya ujinga wa makijani.
 
Lowasa yupi huyo? Au unamsema Lowasa mliyekuwa mnamtukana matusi ya ajabu kisa kahamia cdm?

Leo hii yupo ccm kwenu mnamramba viatu maana hamna cha kumfanya kwani mwenye chama chake kaamua kuwakomoeni na kuwalazimisha mle matapishi yenu.

Wape salaam kina Msukuma, pole pole na wewe na kikundi chako cha kuwatukana watu na kuwakashifu kisa itikadi za kisiasa.
Walisema Lowassa alijinye. lakini alivyorudishwa na yule mhindi wote wakaufyata.
 
Hao mataga wa lumumba hawajitambui hata kidogo, ikitokea mhindi wao akawataka wawatoe wake zao wapo tayari
Walisema Lowassa alijinye. lakini alivyorudishwa na yule mhindi wote wakaufyata.
 
Yule Kijana alieuliza lile swali kaisha.

Ccm Mkoa wa Songwe wamekana kumtuma kuuliza hilo swali na atawajibika kwa kuwalisha maneno.

U NEC atauskia kwny kipindi cha Majira kuanzia 2022
Wapige vinanda na vinubi pia wakati waliorejea wakila mezani na Farao
Noma sana! Wanaweza zaidi kuimba pambio kuliko kuwa viongozi
 
Back
Top Bottom