Uchaguzi 2020 Rais Magufuli azungumzia wapinzani wanaohamia CCM na kupewa kipaumbele cha uongozi na kugombea

Mbunge au Diwani wa Upinzani akiunga juhudi TUNAMSHANGILIA, Akiteuliwa au kupewa Cheo ROHO ZINATUUMA hii imekaaje wanachama wenzangu?
Hahaha nyie si vilaza, hamjui kuongoza [emoji23][emoji23][emoji23]
Acha wapinzani wapete tuu.
 
Kwa kweli majuto ni mjukuu, wapinzani weengi wamehamia kwetu na kugombea nafasi mbalimbali,wanatupa changamoto kwa kweli

Sisi wakati tunabana vyama vya siasa,tulijua wanasiasa wa upinzani watafia hukohuko, ila sasa wamegeuka, wamekuja CCM,wameleta upinzani wao ndani ya CCM. Yaani jimbo moja mpaka wagombea 80! Ama kweli ukimfungia paka chumbani ukaanza kumpiga, lazima ajihami na atakurarua.

Tuwashauri wakuu wetu wawape breathing space hawa wapinzani
 
Kwani kuwa mwana CCM mpaka uwe mbunge au diwani? Sio kila mtu lazima agombee.
 
Kwa kweli majuto ni mjukuu, wapinzani weengi wamehamia kwetu na kugombea nafasi mbalimbali,wanatupa changamoto kwa kweli

Sisi wakati tunabana vyama vya siasa,tulijua wanasiasa wa upinzani watafia hukohuko, ila sasa wamegeuka, wamekuja CCM,wameleta upinzani wao ndani ya CCM. Yaani jimbo moja mpaka wagombea 80! Ama kweli ukimfungia paka chumbani ukaanza kumpiga, lazima ajihami na atakurarua.

Tuwashauri wakuu wetu wawape breathing space hawa wapinzani
Kwani kuwa Mwana Ccm lazima ugombee ubunge au udiwani? Acha kuleta hoja za kipuuzi
 
Halafu wapinzani kichwa alahamnduliliah kuliko ccm ambao wengi wamegushi nyaraka za taalumu hivyo kunacuwezekano pia wa kupata uwaziri
 
WAUNGA JUHUDI WALIDANGANYWANA JIWE KWAMBA ATAUWA UPINZANI WAKAWHI SITI ZA MBELE,WALIDHANI UCHAGUZI MKUU NI SAWA NA UCHAGUZI MKUU KUMBE JIWE ALITAKA KUWAHARIBIA LEO WANAJUTA WANATAMANI KURUDI WALIPOTUKANIA MAMBA
MTAJI WA UHAKIKA KWA MWANASIASIA NI WATU NA SIO DOLA AU KUBEBWA NA MTAWALA.UKISIMAMA NA WTU WATASIMAMA NAWE KWENYE KURA
 
Jana mwenyekiti wao kawapa za ukweli hao hao kwamba ikiwa ndani wanwafanyia figisu wanahama wakienda huko wanawashinda,wakirudi tena wananuna.Kawaambia anatamani wawashinde ikiwezekana waingie na NEC nikamuona jamaa kawa mpole yule wa Songwe.Ni unafiki tuu ndio unawasumbua mwanacham mpya na wazamani wote wana haki sawa
BUT KUMBE WANACHAMA AWAONGEI LUGHA MOJA NA MWENYEKITI
 
WAUNGA JUHUDI WALIDANGANYWANA JIWE KWAMBA ATAUWA UPINZANI WAKAWHI SITI ZA MBELE,WALIDHANI UCHAGUZI MKUU NI SAWA NA UCHAGUZI MKUU KUMBE JIWE ALITAKA KUWAHARIBIA LEO WANAJUTA WANATAMANI KURUDI WALIPOTUKANIA MAMBA
MTAJI WA UHAKIKA KWA MWANASIASIA NI WATU NA SIO DOLA AU KUBEBWA NA MTAWALA.UKISIMAMA NA WTU WATASIMAMA NAWE KWENYE KURA
Wameingizwa kingi [emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
 
Malipo ya tamaa na ubinafsi hayo, wahamaji wengi hawana nia ya dhati ya kuisaidia nchi ila kujisaidia wenyewe
Namwona membe anavyopotea kwenye ramani
 
Back
Top Bottom