Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Majibu haya ni sahihi na hii ipo hadi kwenye biblia, habari ya mwana mpotevu aliporejea nyumbani..wazazi walifurahi na kufanya karamu lkn kaka mtu alinuna.Hata Lowasa alipopewa nafasi ya kugombea Urais kuna mabavicha walisusa kabisa, Dr. Slaa mwenyewe akajiuzulu sasa ni Balozi huko. Binadamu wana mioyo ya nyama hivyo inaeleweka katika kundi la watu sio wote wataofurahia maamuzi flani , ingawa nayo inataka moyo kuweka wazi baadhi ya mambo. Na kuelezana fikra ni utamaduni mzuri kuliko kuishi huku mtu akiwa na kinyongo.