Uchaguzi 2020 Rais Magufuli azungumzia wapinzani wanaohamia CCM na kupewa kipaumbele cha uongozi na kugombea

Uchaguzi 2020 Rais Magufuli azungumzia wapinzani wanaohamia CCM na kupewa kipaumbele cha uongozi na kugombea

Wenyeji watahamia upinzani kwa maana ya "Mwaga mboga mie namwaga ugali"
2010 kilikua na mkutano sehemu wa Ccm mbunge akinadiwa, wakina mama/wabibi wakawa wamevaa Kanga na viremba vya Ccm wanatoka mkutanoni wakawa wanazomewa na wananchi balaa wakina mama wale kila mmojawao akatoa Elfu 10 kwny pochi/pindo za kanga/kwny nyonyo then wakawaonyesha waliokua wanawazomea wakawaambia kule tumefata hizi(hizo elfu 10) lkn kwny kura tunawapigia hapa wakawa wanaweka alama ya vidole viwili(Chadema) nilistaajabu sana.

Naona kinaenda kutokea hicho kitu mwaka huu.
 
Et mke wako akikuomba msamaha hao akina silinde lijuakali and co n wanawake...mfano wa usio wa lazima.
'Siyo ajabu akaja na mapenzi mazuri mazuri kuliko ya zamani amejifunza huko mbinu nyingi na mbadala'

Mbinu mbadala hapo sijui zinakua ni za aje kwny mapenzi.

Controversial.
 
Ngazi za chini za CCM zitawatosa wasio na sifa zinazoendana na chama maana kuna hazina kubwa ya wagombea wenye nguvu. CCM haisubiri waliotemwa na vyama vingine labda wale tu waliohamia kwa hiari na wana sifa.
hata ngazi za chini zikiwatosa, bado ngaz za juu watawaweka, akina Silinde wanajitapa kwamba hata ngaz za chini wasipompitisha, d ngazi za juu zitampitisha, hapo ndio kiini cha mgogoro
 
'Siyo ajabu akaja na mapenzi mazuri mazuri kuliko ya zamani amejifunza huko mbinu nyingi na mbadala'

Mbinu mbadala hapo sijui zinakua ni za aje kwny mapenzi.

Controversial.
Sisi ambao huwa hatutaki kurudiana ex tunamsemo tumpime kwanza je akirudi na magonjwa....na zaidi ex Is just like a toilet paper you can't using twice..
Kama mwanachama mpya ana nia ya chama chetu kwa nini asikae kama mwanachama mwingine ina maana bila madaraka asinge join.
 
Ana point, kama jimbo alikuwa ccm kwa miaka 10, na huyu mtu Kahawa na anakubalika kwa nini wasimpe?
 
'Siyo ajabu akaja na mapenzi mazuri mazuri kuliko ya zamani amejifunza huko mbinu nyingi na mbadala'

Mbinu mbadala hapo sijui zinakua ni za aje kwny mapenzi.

Controversial.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] magufuri ameshakuwa mtu wa pwani..lkn inasikitisha sana
 
Ndugu Sajo Chama hiki kinapiganiwa na Wengi ...wengine wakiwa ndani ya mfumo rasmi wa chama,wengine wakiwa nje ya mfumo rasmi wa chama.Wengine utawajua na wengine hutakaa uwajue ....Nadhani Utakuwa umenielewa.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] magufuri ameshakuwa mtu wa pwani..lkn inasikitisha sana
Hahah nimetafakari kidogo ile kauli then ikataka kunifanya niwaze kidogo ila nikakemea sana mkuu.,hahah.
 
hata ngazi za chini zikiwatosa, bado ngaz za juu watawaweka, akina Silinde wanajitapa kwamba hata ngaz za chini wasipompitisha, d ngazi za juu zitampitisha, hapo ndio kiini cha mgogoro
CCM ina wenyewe ambao ndio hao wa ngazi ya juu,kwani ulipoambiwa ITATEGEMEA NIMEAMKAJE ulidhani kauli hio imetolewa na mtu wa ngazi ya kata sio?

CCM MPYA.
 
Kashasema atamkata mtia nia yeyote kwa kuangalia jinsi alivyoamka siku hiyo.

Yani si kuangalia katiba, si miongozo, si taratibu, si tamaduni, bali kuangalia anavyojisikia alivyoamka siku hiyo.
Ukimsikiliza Magufuli hadharani ,unapata shida sana ajayoyafanya kifichoni na yaliyojazwa kwenye nafsi yake

Huyu jamaa vocabraries kama democracy ,rule of law,separation of power ,human rights,political tolerance in his head don't exist

Masikitiko yangu hadi watu wake wa karibu ni nyumbu
 
Kwny mihimili 3 pale alishasema kuna mhimili 1 umejichimbia zaidi kuliko mwenzake,since then nilimuelewa 'vzr' na nikajua muelekeo wa serikali yake utakuaje.
 
Hahaha subirni msimu ujao viongozi wote wakuu ndani ya Ccm watakuwa ni wakutoka upinzani[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom