Uchaguzi 2020 Rais Magufuli azungumzia wapinzani wanaohamia CCM na kupewa kipaumbele cha uongozi na kugombea

Uchaguzi 2020 Rais Magufuli azungumzia wapinzani wanaohamia CCM na kupewa kipaumbele cha uongozi na kugombea

Kuna kila uwezekano kuwa hali ndani ya CCM so shwari. Kama swali liliulizwa ivo na mwenyekiti akajibu hivyo basi kuna uwezekano mwenyekiti akipitisha watu wake hao watu wake kufanyiwa hujuma za wazi majimboni na wanachama wa CCM.

Hii ni kete Nzuri pia kwa upinzani kuwa kuna uwezekano mkubwa wakachukua si tu uraisi Bali majimbo mengi ya ubunge. Kikubwa ni kuhamasisha nguvu ya umma katika kupiga kura, kuhesabu na kulinda kura na mwisho utangazaji wa matokeo ya kura
 
"Wananchi wasipoona matarajio yao na mabadiliko ndani ya CCM ya Zamani wataondoka (CCM Mpya) na kuyatafuta pengine " - Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

 
5 Julai 2020
Mbeya, Tanzania

CCM NYANDA ZA JUU KUSINI : Walalama na kusema tumechoka kuongozwa na upinzani.



Sasa CCM lazima tuchukue hatua dhidi ya wasaliti walio ndani ya chama maana subira ya kungojea imekuwa ndefu na lazima tufanye hima tusikose kupata kura nyingi za wananchi 2020 hapa mkoani Mbeya.

Source : MbeyaYetuOnlineTV
 
Huyo MNEC ametoa tahadhari nzuri, wasipoifanyia kazi watakuja kukutana na CCM watermelons, nje wa kijani ndani wekundu
 
10 Julai 2020
Dodoma, Tanzania

Nyufa ndani ya CCM, Makundi yaibuka

Tayari wana CCM ya Zamani wakiwakilishwa na MNEC toka Momba Songwe amefikisha ujumbe juu ya kutoridhika na CCM Mpya kuwasahau waliokipigania chama 2010 - 2015

 
Kwani mwanamke au mme wako akikosea, siku nyingine akaja kukuomba msamaha kwani utakataa? Siyo ajabu akaja na mapenzi mazuri mazuri kuliko ya zamani amejifunza huko mbinu nyingi na mbadala, Sasa unakataa uhondo huuo? Rais amemaliza kwa kusema CCM oyeee
 
Back
Top Bottom