Duh, kisu kimegonga mfupa pole sana kamanda.
Jana mwenyekiti wao kawapa za ukweli hao hao kwamba ikiwa ndani wanwafanyia figisu wanahama wakienda huko wanawashinda,wakirudi tena wananuna.Kawaambia anatamani wawashinde ikiwezekana waingie na NEC nikamuona jamaa kawa mpole yule wa Songwe.Ni unafiki tuu ndio unawasumbua mwanacham mpya na wazamani wote wana haki sawa
Hivi nyie CHADEMA hamjawahi kumtukana Lowassa na kumuita FISADI?Lowasa yupi huyo? Au unamsema Lowasa mliyekuwa mnamtukana matusi ya ajabu kisa kahamia cdm?
Leo hii yupo ccm kwenu mnamramba viatu maana hamna cha kumfanya kwani mwenye chama chake kaamua kuwakomoeni na kuwalazimisha mle matapishi yenu.
Wape salaam kina Msukuma, pole pole na wewe na kikundi chako cha kuwatukana watu na kuwakashifu kisa itikadi za kisiasa.
Swali la msingi zaidi ni kwa nini CCM pamoja na wingi wa wanachama wao walio nao bado wanategemea mtu atoke upinzani kwa wachache ndio wawe na imani naye kwenye uchaguzi na uongozi zaidi ya wao wenye chama chao?Je kwa mtazamo wako wewe huyo kijana alifanya kosa gani kikatiba?
Je hiyo ndiyo demokrasia wanayo ihibiri wana ccm kuwa ipo ya kutosha ndani ya chama chao kuliko pahala pengine?
Udikteta ndani ya CCM mali binafsi ya MwenyekitiYule Kijana alieuliza lile swali kaisha.
Ccm Mkoa wa Songwe wamekana kumtuma kuuliza hilo swali na atawajibika kwa kuwalisha maneno.
U NEC atauskia kwny kipindi cha Majira kuanzia 2022
Swali la msingi zaidi ni kwa nini CCM pamoja na wingi wa wanachama wao walio nao bado wanategemea mtu atoke upinzani kwa wachache ndio wawe na imani naye kwenye uchaguzi na uongozi zaidi ya wao wenye chama chao?
Hivi nyie CHADEMA hamjawahi kumtukana Lowassa na kumuita FISADI?
Leo hii yupo chama gani?
Hawana majibuKawe Alumni, jingalao, Magonjwa Mtambuka, Bia yetu, mr chopa, nk. Hebu mfanye kuja huku haraka kumjibu huyu kada mwenzenu. Ameuliza swali zuri la Mwenyekiti wenu wa Chama.
Lin amewahi kutokuwa ccmLeo yupo CCM, ila hamjawahi kumtukana? Jibu swali
hata yule jamaa aliyeibuwa hii hoja anatishwa kinoma mpaka sasa.
Waliojaa kule akili zao ziliishaondoka, wote kuanzia asiesoma mpaka maprofesa kwenye kufikiri wamebaki kumtegemea Chakubanga.Swali la msingi zaidi ni kwa nini CCM pamoja na wingi wa wanachama wao walio nao bado wanategemea mtu atoke upinzani kwa wachache ndio wawe na imani naye kwenye uchaguzi na uongozi zaidi ya wao wenye chama chao?
Lin amewahi kutokuwa ccm
Usipende kulinganisha maneno matakatifu na vitu vya ujinga wa makijani.Majibu haya ni sahihi na hii ipo hadi kwenye biblia, habari ya mwana mpotevu aliporejea nyumbani..wazazi walifurahi na kufanya karamu lkn kaka mtu alinuna.
Walisema Lowassa alijinye. lakini alivyorudishwa na yule mhindi wote wakaufyata.Lowasa yupi huyo? Au unamsema Lowasa mliyekuwa mnamtukana matusi ya ajabu kisa kahamia cdm?
Leo hii yupo ccm kwenu mnamramba viatu maana hamna cha kumfanya kwani mwenye chama chake kaamua kuwakomoeni na kuwalazimisha mle matapishi yenu.
Wape salaam kina Msukuma, pole pole na wewe na kikundi chako cha kuwatukana watu na kuwakashifu kisa itikadi za kisiasa.
Walisema Lowassa alijinye. lakini alivyorudishwa na yule mhindi wote wakaufyata.
Yule Kijana alieuliza lile swali kaisha.
Ccm Mkoa wa Songwe wamekana kumtuma kuuliza hilo swali na atawajibika kwa kuwalisha maneno.
U NEC atauskia kwny kipindi cha Majira kuanzia 2022
Noma sana! Wanaweza zaidi kuimba pambio kuliko kuwa viongoziWapige vinanda na vinubi pia wakati waliorejea wakila mezani na Farao