Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,604
- 5,583
wanajitoa akili na ufahamu kana kwamba hawalijui hilo!!Kashasema atamkata mtia nia yeyote kwa kuangalia jinsi alivyoamka siku hiyo.
Yani si kuangalia katiba, si miongozo, si taratibu, si tamaduni, bali kuangalia anavyojisikia alivyoamka siku hiyo.
Mleta mada kafafanua kaongezea nyama na kaeleweka na nimemwelewa wewe kaa na wehu wakoSindano ya moto imeingia panapohusika naona...
Acha matusi.Mleta mada kafafafanua kaongezea nyama na kaeleweka na nimemwelewa wewe kaa na wehu wako
View attachment 1502731
Nashauri Pole Pole azungumze Ni kwa Sheria gani, vinginevyo awajibike
Kwa majibu yako haya nani anaonekana kuweweseka?Mleta mada kafafafanua kaongezea nyama na kaeleweka na nimemwelewa wewe kaa na wehu wako
Msamehe bure ashapagawaAcha matusi.
Hekima za mwenyekiti JPM ni kubwa sana kwa jinsi alivyojibu hilo swali ukizingatia kuwa ni swali la papo kwa papo. Maana ya jibu hili ni hivi:
- Amewakana wale wapinzani wahamiaji ambao wamekuwa wakijitapa kuwa wamehamia CCM kwa maelekezo kutoka juu au wametumwa na viongozi wa ngazi za juu. Maana yake ni kuwa kamati za huko wilayani na mkoani ndizo zenye maamuzi kuzingatia kanuni za chama...
Usishangae mkuu ndo mbinu ya mwisho iliyobaki kuiua chademaHii taarifa ni fake, haiitaji akili kubwa kutambua.
Magufuli hajajibu swali. Amekwepa swali.Hekima za mwenyekiti JPM ni kubwa sana kwa jinsi alivyojibu hilo swali ukizingatia kuwa ni swali la papo kwa papo. Maana ya jibu hili ni hivi:
- Amewakana wale wapinzani wahamiaji ambao wamekuwa wakijitapa kuwa wamehamia CCM kwa maelekezo kutoka juu au wametumwa na viongozi wa ngazi za juu. Maana yake ni kuwa kamati za huko wilayani na mkoani ndizo zenye maamuzi kuzingatia kanuni za chama
- Ametahadharisha kuwa kutokea upinzani sio dhambi, kama mhamiaji amekubaliana na itikadi ya CCM na akawa tayari kuwatumikia watanzania, hakuna ubaya maana hivi vyama ni njia tu lakini lengo ni kuwatumikia watanzania.
Hongera Mwenyekiti
Kwa ajili ya Idd Azan na Mtemvu nasikia wameanza kampeni chinichini..hao madogo waliotoka upinzani hawatakiwi ndani ya CCMKama ni kweli basi hii ni taarifa njema kwa Wapinzani wao. Mara nyingi Ccm imekuwa ikipoteza Majimbo mengi hasa yale ya Mjini kutokana na aina hii ya migawanyiko baina yao.