Uchaguzi 2020 Rais Magufuli azungumzia wapinzani wanaohamia CCM na kupewa kipaumbele cha uongozi na kugombea

Uchaguzi 2020 Rais Magufuli azungumzia wapinzani wanaohamia CCM na kupewa kipaumbele cha uongozi na kugombea

Kwahiyo wakina Waitara,Mtolea,Mwembe,Lijuakali n.k wanaserereka kama mlima kitonga.
 
Inamaana hiyo ni hatua ya awali, kitakachofuata ni kuhakikisha mpinzani hapiti.

Ingekua sio hivyo wangewaacha hao wagombea wapambane na wenzao kwa uwezo wao.
Nami naona hivyo. Hii ni dalili mbaya kwa wapinzani na wanademokrasia. Wapinzani hawatapita.
 
Magufuli hajajibu swali. Amekwepa swali.

Kwa sababu, hakutakiwa kulisukuma hilo swali vikao vya chini wakati hata yeye kapokea wapinzani na kuwapa vyeo vikubwa vya ukatibu muu na unaibu waziri wizarani.

Hakujibu swali.

Kalikwepa tu.
Kuwapa vyeo wapinzania liko ndani ya uwezo wake kimamlaka na kikatiba. Ila kumpitisha mgombea ubunge na udiwani ngazi ya wilaya na mkoa liko nje ya mamlaka yake kwa hizo ngazi.

Na muuliza swali kuna mahali amefanya insurbodination kwa bahati mbaya nadhani maana aliuliza swali kwa Rais/Mwenyekiti wa Chama na akachanganya uteuzi unaofanywa na Rais na ule upitishaji wagombea unaosimamiwa na mwenyekiti wa chama
 
Back
Top Bottom