Uchaguzi 2020 Rais Magufuli azungumzia wapinzani wanaohamia CCM na kupewa kipaumbele cha uongozi na kugombea

Hata kama nikiwa ccm damudamu siwezi mchagua mtu aliyehamia kwetu kwa kuliingiza taifa hasara na kurudia uchaguzi
 
Magufuli anavyofanya si sawa, Silinde hakuchaguliwa na wananchi kwa sababu anapendwa, bali alichaguliwa kwa sababu alikuwa CHADEMA. inatakiwa apambane kupata nafasi ya kugombea sio kupitishwa kihuni huni
Naona mnaanza kupata akili taratibu. Taratibu tutaelewana
 
Chama ni mali binafsi ya Mwenyekiti hakuna namna

Kimsingi JPM anaheshimu wafuasi wake binafsi na sio wafuasi wa chama ...ndio maana hataki wafuasi wake waliomfuata toka upinzani wabugudhiwe ....mwisho wa siku chama kitakua mtandao wake utakaokuwa na nguvu kuliko waliokuwa na chama miaka yote .....
Leo hii kuanzia sekretariat wenye nguvu ni wageni .....muuliza swali kashushuliwa kwa kuwa hakuujuwa huo ukweli ..na pengine watamshughulikia ndio maana Katibu Mkuu Bashiru alichukua microphone akasema ...." ndugu wajumbe mkutano uko live hivyo mtafakari cha kuongea ..."
 
Kwa hiyo waliopo chamani wazuiwe kugombea au kutia nia kwa sababu aliyekuwa mpinzani alikuwa anashikilia jimbo hilo.

Sio kwamba wanatakiwa waweke uwanja sawa.
Hakuna alowazuia.Kama aliehamia CCM akishinda kura za maoni kuna ubaya gani hapo?Kama kashinda inamaanisha yeye kaonwa anafaa kuliko wengine haijalishi kaja CCM jana au juzi.
 
Chama Cha Mafedhuli -CCM. Yaani kupitia kifupi CCM unapita maana nyingi hasi. Chama cha Matapeli, Chama cha Majambazi, Chama cha Mateso, & the list is endless.
 
Yes! Hii ndio ccm mpya ya kuwanunua wagombea kutoka upinzani then kuwapachika ubunge
 
Hahahah ccm mmepata mwenyekiti sie tusio na vyama huku tunacheeeekaaaaa
 
Wameiga utaratibu wa Chadema 2015,yaani wanaona Chadema walifaidi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…