The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 5,082
- 20,806
Mkuu ni kichekesho. Hata taasisi zisizofanya biashara nazo zinatoa gawio alafu baadae wanaomba pesa kwa ajili ya miradi yao.Kichekesho ni pale hata taasisi zisizotengeneza faida kama Chuo Cha Usimamizi wa Fedha(IFM) nazo zinatoa gawio. Unaweza kwenda kwenye hizo taasisi ukakuta hata vyoo havina maji.
Hizi siasa.