barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,404
- 29,811
Kibiashara kuanza kutoa gawio maana yake Total Revenue ni kubwa kuliko Total Cost.
Au kwa sasa running cost zote ziko covered na bado pesa inabakia.
Kuna vitu ni vya ajabu kidogo, hizi SU Shirika la Umma zinazotoa gawio maana yake zimesimama na zimejitosheleza kabisa.
Chuo kama IFM maana yake hakihitaji pesa kutoka serikalini kulipa mishahara Wahadhiri.
Au ndo mambo ya TTCL wanatoa gawio hapo hapo wanaomba pesa tena zaidi.
Kitakachoangamiza hii nchi ni maigizo.
Unauliza swali alafu mwisho unahitimisha mwenyewe kuwa ni maigizo na hauna uhakika.