If it is the fact prove it?
Wanazo investment kwenye real estate na infrastructure kama ile ya daraja la Kigamboni. Vilevile wamewekeza kwenye mabenki kama Azania BankCorp halafu ndiyo wateja wakubwa wa kununua Treasury bonds zinazouzwa kwenye mnada wa BOT.Nssf fedha ni za wafanyakazi, serikali haina hisa,TRA wanakusanya hawafanyi biashara
TANAPA wanakula hela na matumizi yao ni makubwa mbayaKwenye hizi zinazo itwa Gawio nakuta kwamba TANAPA gawil lao linazidiwa na TCRA, je TCRA wanafanya biashara gani kubwa kuliko wanauo ifanya TANAPA?
Tanapa ni Billion 44 Gawio.
TCRA ni Billion 85 point kadhaa bilion.
Wanazo investment kwenye real estate na infrastructure kama ile ya daraja la Kigamboni. Vilevile wamewekeza kwenye mabenki kama Azania BankCorp halafu ndiyo wateja wakubwa wa kununua Treasury bonds zinazouzwa kwenye mnada wa BOT.
Sahihi TANAPA inaweza kuwa inaingiza pesa nyingi kuliko TCRA kumbuka nature ya utendaji kazi wa TANAPA unatumia pesa Sana kwa hiyo faida inayobakia ni ndogo pia ufahamu kwamba TANAPA Ina wafanyakazi wengi tofauti na TCRA. Operations za TCRA hazitumii fedha, mfumo utendaji kazi wa TCRA hauhitaji watumishi wengi. Kwa hiyo si ajabu kwa TCRA kuwasilisha gawio kubwa kuliko TANAPA.Kwenye hizi zinazo itwa Gawio nakuta kwamba TANAPA gawil lao linazidiwa na TCRA, je TCRA wanafanya biashara gani kubwa kuliko wanauo ifanya TANAPA?
Tanapa ni Billion 44 Gawio.
TCRA ni Billion 85 point kadhaa bilion.
Kuwa makini utanyimwa hata mboga.Naona hapo mwamba kidogo apitilize aseme "mke atakunyima papa" na akarudia kwa msisitizo kwenye hicho ambacho mke anaweza kukunyima... the[emoji28][emoji28]
Halafu kwenye kazi ni zero. Ile website yao kupata number hadi makalio yanaota sugu.Aisee NIDA wamepeleka 2.2 Bilioni kwani wanauza vitambulisho?
Si zenyewe zinapokea pesa kutoka serikalini ? Badala ya kununua magari hizo chengi si warudishe Kwa Treasury ? Mbona bunge lilitoa "gawiwo "kwani Bunge ni taasisi ?Hizo sio Taasisi
Mkuu wew umesoma biashara. Hivi unajua objective kubwa ya board na CEO ni ku maximize shareholders needs. Yaani kibiashara shareholder lazima apate gawio hata kwa wafanya kazi kulipwa mshahara mdogo. Ukilijua hilo huwezi sema hivyo. Shareholder anakosa gawio kwenye situation 2 tu. Kama kuna hasara au more investment is require (hapa shareholders lazima wawe involved)Kichekesho ni pale hata taasisi zisizotengeneza faida kama Chuo Cha Usimamizi wa Fedha(IFM) nazo zinatoa gawio. Unaweza kwenda kwenye hizo taasisi ukakuta hata vyoo havina maji.
Kwani huwezi toa dividend alafu baadae ukaenda DSE kuomba capital?Kiukweli mashirika ya umma yenye uwezo wa kiukweli wa kutoa gawio hayazidi 5. Nayo ni kama TPA, NSSF,TRA, nk.
Hayo mengine itakuwa ni maigizo tu. Yatatoa kwa mkono wa kushoto na kurudisha kwa mkono wa kulia.
Imagine shirika kama TTCL linapata wapi ziada na kwa biashara gani? Kwenye biashara ya simu 95% iko dominated na Vodacom, Tigo, Airtel na Halotel. Hiyo 5% ndipo TTCL na Smile, Benson wana share. Sasa TTCL watapata wapi mabilioni ya kurejesha kama gawio?
Mwezi Mei TTCL walikuwa wanaiomba Serikali itoe dhamana wakakope Tsh 1.7 Trilioni ili waboreshe miundombinu yao. Wakati huo huo wakaipa Serikali gawio la Tsh 2.1 Bilion.
Gawio kwa kiingereza ni dividend na inatafasiriwa ifuatavyo;
A dividend is a payment made by a corporation to its shareholders, usually as a distribution of profits. When a corporation earns a profit or surplus, the corporation is able to re-invest the profit in the business (called retained earnings) and pay a proportion of the profit as a dividend to shareholders.
Shurti upate ziada inayotokana na biashara, utoe kiasi cha uwekezaji ndiyo upate cha kugawana na wanahisa.
Hii magawio ya Mashirika ya Tanzania ni usanii mtupu.
Hujawahi fanya hizi biashara bora ukae kimya. Tatizo mnachukulia serikali ya haya makampuni tofauti. Chukulieni kama biashara ya kawaida. Chikulieni serikali kama individual investorMkuu ni kichekesho. Hata taasisi zisizofanya biashara nazo zinatoa gawio alafu baadae wanaomba pesa kwa ajili ya miradi yao.
Hizi siasa.
OSHA wanasambaza pia vifaa vya usalama viwandani kama helment, Ada za ukaguzi,Faini mbalimbali n.kKwa anaejuwa OSHA na NIDA wanafanya biashara gani hadi watowe gawio kubwa kiasi hicho?