jaap
JF-Expert Member
- Dec 25, 2018
- 5,344
- 7,118
Chadema wanatakiwa na wao watoe gawio kwenye wilaya kata zakichana na kikandaChadema ni shirika la serikali?
Chadema wameibia serikali lini?
Chenge yuko wapi?
Chadema wanatakiwa na wao watoe gawio kwenye wilaya kata zakichana na kikandaChadema ni shirika la serikali?
Chadema wameibia serikali lini?
Chenge yuko wapi?
Lol, nenda kasome sheria ya Msajili wa Hazina
Chadema wanatakiwa na wao watoe gawio kwenye wilaya kata zakichana na kikanda
Kama uteuzi utafanyika kwa kujuana na siyo on meritocracy unategemea nini? Lazima productivity iwe chini! Mwanamke mpumbavu huvunja nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe. Ndivyo walivyo wenye nyumba zao kama hao CEOs mambumbu.Baada ya hali hiyo ya kutofanya vizuri mashirika na Taasisi za serikali kubainishwa na Mh. Rais John Pombe Joseph Magufuli, sisi kama wanaJamiiForums tuanze kudadisi aina ya viongozi wanaoteuliwa kama wana vigezo tosha na pia mazingira ya kufanya kazi kibiashara ikiwa yanakidhi mashirika hayo kuweza kupata faida. Taasisi na mashirika kama AIR TANZANIA corporation na TBA (Tanzania Buildings Agency) Home | Tanzania Buildings Agency tuziangazie kwa kurunzi ya karibu.
NaniMpuuzi
Ni jamii forum mkuu!Ni mashirika gani ambayo hayajapeleka gawio..?
Mwambieni aache kulalamika mbona sisi tumenyoshwa kama moja tumetulia?November 24, 2019
Atoa siku 60 gawio la serikali
Hali ya kibiashara na pia kiuongozi ya mashirika ya umma ni mbaya sana Tanzania. Hayo yamedhihiri wakati wa hotuba ya Mh. Rais John Pombe Joseph Magufuli. Amuagiza waziri wa Fedha na Mipango Philip Mpango kuhakikisha viongozi hao wateule wa Rais wanatimiza agizo lake. Jumla ya Trilioni 59 shilingi za kiTanzania zimewekezwa ktk mashirika ya umma 259 amebainisha Mh. Rais John Pombe Joseph Magufuli.
Mh. Rais amesisitiza viongozi aliowateua kama wenyeviti wa bodi za mashirika ya umma na ma- CEO wake watakaoshindwa kuwakilisha gawio stahiki la serikali kutokana na mtaji uliowekezwa na serikali wajiuzulu wenyewe wakishindwa kuwasilisha gawio hilo ndani ya siku sitini (60).
Mh. Rais ameongeza mashirika hayo ya umma zaidi ya 100 wengi wa ma-CEO wao mshahara wao kwa mwezi ni Tshs. 15,000,000 na wanajilipa kwa wakati lakini gawio stahiki la serikali kila mwaka hawaliwakilishi HAZINA wizara ya Fedha.
Mh. Rais ashangazwa kuona mashirika hayo yanayopata hasara yanaweza kununua magari ya kifahari na samani ghali kushindwa kulipa gawio na kushauri ni bora ma-CEO hao wangeachana na matumizi hayo ya kifahari ili kubana matumizi na kuelekeza fedha hizo ktk core-business-activities Strategic, Core and Non-Core Activities: What to outsource for best results? | Intetics itakayosaidia wapate faida na kuwakilisha gawio kwa serikali.
Ni mashirika gani ambayo hayajapeleka gawio..?
Alisomesha watu namba kuwakomoa akagundua kumbe amekausha mito iletayo maji ziwani hadi ziwa hatarini kukauka.It is ridicule kuona naye analalamika!