Rais Magufuli: Baada ya siku 60 Bodi za Mashirika yasiyotoa gawio zijivunje zenyewe

Rais Magufuli: Baada ya siku 60 Bodi za Mashirika yasiyotoa gawio zijivunje zenyewe

NEMC 500M
TBA 543M
TAO 1BILION
TEMESA 1.13B
TPRI 1.73B
SBT 1.197B
MBOLEA 1.2B
DAWASA 1.395B
TIRA 1.958B
IFM 2B
NIDA 2.2B
TIA 2.5B
FCC 3.5B
BRELA 3.55B
VIPIMO 4.44B
OSHA 5.3B
NATRA 6.405B
UWURA 7.212B
TCAA 9.9B
TASAC 10.159B
TMDA 12.475B
TBS 13.225B
NCAA 23.538B
TFC 24.891B
TANAPA 44B
TPDC 66.4B
TCRA 85.855B
GBT 95B
TPA 169B
NARCO 300MILION
AICC 450M
TANALEC 555M
UTT 550M
TCC 558M
NHC 750M
CADDCO 1 B
TPB 1.12B
SUMA JKT
KILOMBERO 1.52B
NBC 1.257B
NMB 10.487B
TIPA 2.5B
PUMA 11B
TPC 14.502B
CRDB 7B
TPDC 2.5B
TAN TRADE 746M
STAMICO 1B
TANESCO 1.436B
ALAP 1B
 
We kweli unaitendea haki kazi yako. Yawezekana malipo yako ni tofauti na wenzako, maana hoja ikitolewa huna hata muda wa kutafakari bali kudandia na kuanza kusifu.
Ila kama umeoa lazima unapigiwa, ndivyo walivyo watu wa aina yako! Sio mimi nisemaye bali tafiti

Wewe je??!! Na wewe watu wa aina yako wakoje???!!! Jitathimini kwanza wewe...na siyo kuwasema wenzako tu!!! Hizo tafiti zimefanywa na nani???!! Labda wale wa mtaa fulani pale Kinondoni...
 
Kiukweli mashirika ya umma yenye uwezo wa kiukweli wa kutoa gawio hayazidi 5. Nayo ni kama TPA, NSSF,TRA, nk.

Hayo mengine itakuwa ni maigizo tu. Yatatoa kwa mkono wa kushoto na kurudisha kwa mkono wa kulia.

Imagine shirika kama TTCL linapata wapi ziada na kwa biashara gani? Kwenye biashara ya simu 95% iko dominated na Vodacom, Tigo, Airtel na Halotel. Hiyo 5% ndipo TTCL na Smile, Benson wana share. Sasa TTCL watapata wapi mabilioni ya kurejesha kama gawio?

Mwezi Mei TTCL walikuwa wanaiomba Serikali itoe dhamana wakakope Tsh 1.7 Trilioni ili waboreshe miundombinu yao. Wakati huo huo wakaipa Serikali gawio la Tsh 2.1 Bilion.

Gawio kwa kiingereza ni dividend na inatafasiriwa ifuatavyo;
A dividend is a payment made by a corporation to its shareholders, usually as a distribution of profits. When a corporation earns a profit or surplus, the corporation is able to re-invest the profit in the business (called retained earnings) and pay a proportion of the profit as a dividend to shareholders.

Shurti upate ziada inayotokana na biashara, utoe kiasi cha uwekezaji ndiyo upate cha kugawana na wanahisa.

Hii magawio ya Mashirika ya Tanzania ni usanii mtupu.
NSSF, TRA sio profit making organisation, wanapataje faida na kutoa gawio?
 
Hizo pesa si ndo wanajiendeshea?,kwani Ada za Wanafunzi vyuoni si ndo zinaenda kuendesha Vyuo na bado kwanza hazitoshi na wanapewa nyingine.
Kuna account tatu kubwa kwenye taasisi nazo ni makusanyo,matumizi na akauntu ya tatu ni ya mambo mengine wenyewe wamaita oc

Kwa sasa taasisi nyingi pesa unaenda hazina moja kwa moja kupitia control number au kupitia akauntu ya makusanyo sio kutumia,kutumia kuna akauntu yake ya matumizi anapata mgao baada ya bajeti ya bunge kupita,

Au km kuna Sheria nyingine ya bunge ambayo inamruhusu kutumia sehemu ya makusanyo kiasilimia mfano 30 ya makusanyo yake iende oc.nk.

Suala pesa haitoshi ni suala la bajeti Yao inayopitishwa na bunge haitoshi kukidhi mahitaji.
 
Back
Top Bottom