Rais Magufuli: Baada ya siku 60 Bodi za Mashirika yasiyotoa gawio zijivunje zenyewe

Etwege,
Hiki chama kinachomiliki fremu ya maduka na stadiums nchi nzima mbona hatusikii ikitoa gawio yatokanayo na makusanyo ya mwaka? Stadiums zimejengwa kwa jasho la watanzania wote, ni lazima makusanyo hayo yawanufaishe watanzania wote. Understand?
 
Lol, nenda kasome sheria ya Msajili wa Hazina

Halafu ni upunguani kuwaambia watu watoe gowio siku 60 zijazo je wakikugawia mtaji walokuwa nao na mwisho wakafilia mbali utakuwa umetumia akili toka kichwani au masaburini.

Hili li inchi lina mapunguani mengi linatakiwa liwe na hospitali nyingi sana za vichaa
 
Baada ya hali hiyo ya kutofanya vizuri mashirika na Taasisi za serikali kubainishwa na Mh. Rais John Pombe Joseph Magufuli, sisi kama wanaJamiiForums tuanze kudadisi aina ya viongozi wanaoteuliwa kama wana vigezo tosha na pia mazingira ya kufanya kazi kibiashara ikiwa yanakidhi mashirika hayo kuweza kupata faida. Taasisi na mashirika 187 aliyotaja Mh. Rais inawezekana kabisa yakawamo kama ya AIR TANZANIA corporation na TBA (Tanzania Buildings Agency) Home | Tanzania Buildings Agency n.k, tuziangazie kwa kurunzi ya karibu.

 
Ka
Kama uteuzi utafanyika kwa kujuana na siyo on meritocracy unategemea nini? Lazima productivity iwe chini! Mwanamke mpumbavu huvunja nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe. Ndivyo walivyo wenye nyumba zao kama hao CEOs mambumbu.
 
Mwambieni aache kulalamika mbona sisi tumenyoshwa kama moja tumetulia?
 
It is ridicule kuona naye analalamika!
Alisomesha watu namba kuwakomoa akagundua kumbe amekausha mito iletayo maji ziwani hadi ziwa hatarini kukauka.
Ukisomesha watu namba ni kupunguza idadi ya walipa kodi at the end ziwa ndo ukauka.
 
2 October 2018
Mikataba ya utendaji kazi kati ya Msajili na makampuni, taasisi na mashirika ya umma, Msajili alisisitiza mwaka 2018 kuwa makampuni, taasisi na mashirika ya umma yajikite zaidi ktk core business activities zake na kuachana na miradi isiyoendana na madhumuni-msingi ya shughuli zao:

Hiyo ilikuwa mwaka October 2018 lakini December 2019 Mh. Rais bado hajaona matunda na kuamua kutoa siku 60
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…