Rais Magufuli, Bashiru wagonga mwamba, walazimisha maamuzi yao kupita bila pingamizi, NEC wagoma kuburuzwa

Hao wajumbe Wa NEC wawe makini, mwenyekiti anaweza agiza wasiojulikana...wawashughulikie
 

Muda bado wewe unaleta mambo ya uchaguzi, subili mda ufike kisha ulete hizo porojo zako, sasa hao wa NEC ndo nani unafikili nani anaweza kumpinga jpm Kati ya hao? Acha rongorongo, sasa hivi ni korona tunahangaika nayo, usituchoshe.
 
Mbona napiga simu anapokea dume?
Huyo ni kawaida yake mkuu, kila post anakuja na jina tofauti, na anafahamika hapa jamvini kama mtetezi wa mmoja wa hao waliotajwa katika uzi wake, kifupi anawakilisha mawazo ya bwana yule aliyeondolewa kundini. hapa tunapata ujumbe kuwa jamaa bado anahamu ya kurudi kundini, siasa nje ya kundi haziwezi.
 
Vipi kuhusu kumpa sumu Mangula? Jee ndio utekelezaji wa ilani ya chama?
Maana kama kamanda Mamboleo kagonga ukuta basi lazima muhusika in MTU mzito sana kuliko hata aliyenyweshwa sumu.
Jee ni nani huyo? Na jee wenye chama asilia watakubali watu from no where kuja kuwalisha sumu kila wakiwa na mawazo tofauti?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fafanua hao "wenye chama" na " watu from no where" ni kina nani??
 
Tofautisha kupendwa na kuwafanyia wananchi ukandamizaji kwa kutumia vyombo vya dola, taasisi za kimamlaka kama TRA, mahakama na kundi la watu wasiojulikana, ili wajisalimishe na kujifanya wanakupenda.
Huna hoja yani sasa hivi naona hata Kazi yako umeshindwa Fanya .Ufipa boy tulia tu.
 
Chadema na uzushi

Ccm ni Maji marefu usipoheshimu viongozi lazima utapotea tu

Nakukumbusha CCM ipo na itaendelea kuwepo kwa miaka mingi ijayo

Kwasababu bado hakuna vyama makini vya kuvaa viatu vya CCM

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuapia CCM bila Policcm na Tume hii ya Uchaguzi ya kipuuzi ni nyepesi kama karatasi.
 
Wasipokomboa chama chao kipindi hiki awatawoweza tena watanyweshwa sumu wote,huwa awaelewi shetani ajawahi kuwa na rafiki nje ya maslai yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…