mfate42
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 4,034
- 4,792
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ni mzushi bwashee!
Kama condom iliyotumika
Ndoto za kujifariji zitakusaidia upate kunenepa.CCM ya leo ni kama imezaliwa upya inapendwa kila kona ya Tanzania.
October Magufuli ushindi ni 98%
Sent using Jamii Forums mobile app
Kikao cha NEC kikiendelea kusubiriwa kwa hamu sana, ili kujipanga kwa ajili ya Uchaguzi mkuu ujao pia kwa ajili ya kupokea Maazimio ya Central Committee juu ya Kinana, Membe na Makamba.
Tayari wanaCCM nchini kote wamewashangaa Magufuli na Bashiru kwa kukiuka kanuni za ccm na kutoa maazimio yao mfukoni na kuyakataa yale ya kamati ya Maadili chini ya Mzee Mangula.
Tayari MAGUFULI na Bashiru wametumia kipindi hiki cha corona kushawishi WaNEC wakubaliane na Maamuzi yao ya Mfukoni, wanasahau kuwa Mzee Mangula anaumwa.
Mnec mmoja kutoka kanda ya kati alisikika akisema " Tumechoshwa na uhuni unaofanywa na Mwenyekiti na Katibu, wamekuja kutuharibia ccm yetu,".
WaNEC wanasema wao ndio walioituma kamati ya Mangula iwahoji akina Kinana, kwa hiyo wanasubiri ripot kutoka kamati ya maadili ili watoe maamuz rasmi ya chama.
WaNEC wengi wanasikitika kitendo alichofanyiwa Mzee Mangula, cha kugombezwa kama mtoto mbele ya wajumne pale alipotaka kuisoma ripot ya kamat yake.
Corona inaua, tuchukue taadhali na tufuate maelekezo ya wataalamu wa afya.
Mungu ibariki Tanzania.
Ni mimi Mwajuma Mwasapili
Kutoka Ileje- Mbeya
0754297651
Huyo ni kawaida yake mkuu, kila post anakuja na jina tofauti, na anafahamika hapa jamvini kama mtetezi wa mmoja wa hao waliotajwa katika uzi wake, kifupi anawakilisha mawazo ya bwana yule aliyeondolewa kundini. hapa tunapata ujumbe kuwa jamaa bado anahamu ya kurudi kundini, siasa nje ya kundi haziwezi.Mbona napiga simu anapokea dume?
Vipi kuhusu kumpa sumu Mangula? Jee ndio utekelezaji wa ilani ya chama?Huyo ni kawaida yake mkuu, kila post anakuja na jina tofauti, na anafahamika hapa jamvini kama mtetezi wa mmoja wa hao waliotajwa katika uzi wake, kifupi anawakilisha mawazo ya bwana yule aliyeondolewa kundini. hapa tunapata ujumbe kuwa jamaa bado anahamu ya kurudi kundini, siasa nje ya kundi haziwezi.
Fafanua hao "wenye chama" na " watu from no where" ni kina nani??Vipi kuhusu kumpa sumu Mangula? Jee ndio utekelezaji wa ilani ya chama?
Maana kama kamanda Mamboleo kagonga ukuta basi lazima muhusika in MTU mzito sana kuliko hata aliyenyweshwa sumu.
Jee ni nani huyo? Na jee wenye chama asilia watakubali watu from no where kuja kuwalisha sumu kila wakiwa na mawazo tofauti?
Sent using Jamii Forums mobile app
Suala la membe limekwisha hilo,imebaki kelele za mitandao tuNi mimi Mwajuma Mwasapili
Kutoka Ileje- Mbeya
0754297651
Wewe unajua ratiba ya Rais wetu?Kwanini ajifiche chato?
Huna hoja yani sasa hivi naona hata Kazi yako umeshindwa Fanya .Ufipa boy tulia tu.Tofautisha kupendwa na kuwafanyia wananchi ukandamizaji kwa kutumia vyombo vya dola, taasisi za kimamlaka kama TRA, mahakama na kundi la watu wasiojulikana, ili wajisalimishe na kujifanya wanakupenda.
Nakuapia CCM bila Policcm na Tume hii ya Uchaguzi ya kipuuzi ni nyepesi kama karatasi.Chadema na uzushi
Ccm ni Maji marefu usipoheshimu viongozi lazima utapotea tu
Nakukumbusha CCM ipo na itaendelea kuwepo kwa miaka mingi ijayo
Kwasababu bado hakuna vyama makini vya kuvaa viatu vya CCM
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kukurupuka, kuna sehemu pametajwa Rais?Wewe unajua ratiba ya Rais wetu?
We Jamaaa una undungu na KAWE ALUMINUM 😂, maana naona kapotea yeye umekuja wewe!!!Chadema wanatia huruma kwa kweli, naikumbuka Chadema ya Dr slaa machozi yananitoka
Sent using Jamii Forums mobile app
Wasipokomboa chama chao kipindi hiki awatawoweza tena watanyweshwa sumu wote,huwa awaelewi shetani ajawahi kuwa na rafiki nje ya maslai yakeVipi kuhusu kumpa sumu Mangula? Jee ndio utekelezaji wa ilani ya chama?
Maana kama kamanda Mamboleo kagonga ukuta basi lazima muhusika in MTU mzito sana kuliko hata aliyenyweshwa sumu.
Jee ni nani huyo? Na jee wenye chama asilia watakubali watu from no where kuja kuwalisha sumu kila wakiwa na mawazo tofauti?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huna hoja yani sasa hivi naona hata Kazi yako umeshindwa Fanya .Ufipa boy tulia tu.
Mimi nipo na nitaendelea kutetea hoja za kizushi za vijana wa Ufipa ukiwemo wewe.Naona ulienda kwenye course ya kujifunza kuandika, japo bado tatizo lipo.