Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Kisu cha Zitto kimegonga mfupa kweli-kweliWameshamjibu na tayari kwa mara nyingine mnamjadili tena, hivyo kashinda, hakuna kitu mtoto anataka zaidi ya attention!
Tangu juzi, nilisema humu Zitto ni wa kupuuzwa tu [emoji3]Nakubaliana kwa 100% kwamba watu aina ya Zitto na wale wanaofanana nao ni wa kupuuzwa na hawastahili kujibiwa.
Zitto anafahamika kwa kutafuta kiki akitumia njia ya uzushi na kuparamia mambo asiyoyaelewa vizuri. Kujibishana na watu wa aina hii ni kuwapa promo ya bure ya kujulikana kuwa bado wapo.
Nakubaliana na Rais Magufuli kwa 100% kwamba hawa wazushi ni wa kupuuzwa ili tuweze kusonga mbele.
Maendeleo hayana vyama!
Wew poyoyo kuna kitu ambacho hukubaliani naye wakat wew ni vuvuzeraNakubaliana kwa 100% kwamba watu aina ya Zitto na wale wanaofanana nao ni wa kupuuzwa na hawastahili kujibiwa.
Zitto anafahamika kwa kutafuta kiki akitumia njia ya uzushi na kuparamia mambo asiyoyaelewa vizuri. Kujibishana na watu wa aina hii ni kuwapa promo ya bure ya kujulikana kuwa bado wapo.
Nakubaliana na Rais Magufuli kwa 100% kwamba hawa wazushi ni wa kupuuzwa ili tuweze kusonga mbele.
Maendeleo hayana vyama!
Mbona unaandika kama umewekewa kijinga cha moto makalioni?Nakubaliana kwa 100% kwamba watu aina ya Zitto na wale wanaofanana nao ni wa kupuuzwa na hawastahili kujibiwa.
Zitto anafahamika kwa kutafuta kiki akitumia njia ya uzushi na kuparamia mambo asiyoyaelewa vizuri. Kujibishana na watu wa aina hii ni kuwapa promo ya bure ya kujulikana kuwa bado wapo.
Nakubaliana na Rais Magufuli kwa 100% kwamba hawa wazushi ni wa kupuuzwa ili tuweze kusonga mbele.
Maendeleo hayana vyama!
Tunakupuuza!Wew poyoyo kuna kitu ambacho hukubaliani naye wakat wew ni vuvuzera
Hahahaaaa........ Unasalimiwa na mama upepo wa pesa!
sawa poyoyoTunakupuuza!
Ni kama tunavyopuuza vihoja vyako unavyoviandika......upuuzi hupuuzwa tuNakubaliana kwa 100% kwamba watu aina ya Zitto na wale wanaofanana nao ni wa kupuuzwa na hawastahili kujibiwa.
Zitto anafahamika kwa kutafuta kiki akitumia njia ya uzushi na kuparamia mambo asiyoyaelewa vizuri. Kujibishana na watu wa aina hii ni kuwapa promo ya bure ya kujulikana kuwa bado wapo.
Nakubaliana na Rais Magufuli kwa 100% kwamba hawa wazushi ni wa kupuuzwa ili tuweze kusonga mbele.
Maendeleo hayana vyama!
Hahahaaaa...... Sisi na WB tumewapuuza wapinzani!Ni kama tunavyopuuza vihoja vyako unavyoviandika......upuuzi hupuuzwa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
YAANI INABIDI ZITTO ASHIKILIE HAPO HAPO... MPAKA MAGUFURI AMETOA MATAMKO JUA DAWA IMEWAINGIA KISAWASAWA.
Kubali mashariti, jiwe lazima aliomba alitengua kauli na kuomba msamahaMimi nashangaa sana waandamizi serikalini kwa kurumbana na wanaharakati wakati wanachotakiwa ni kufanya mawasiliano ya karibu na watoa pesa ambao ni Benki ya Dunia!
Kazi ya msingi ya waandamizi serikalini ni kuhakikisha wanafanya linalowezekana ili maombi ya mkopo yakubaliwe. Kukubaliwa kwa maombi yao ya mkopo itakuwa ni jibu lao kwa wanaharakati na sio kupigizana kelele!
Please, focus on the World Bank and the rest will take care of itself!
| Country / Date of Membership Afghanistan, Jul 14, 1995 Albania, Oct 15, 1991 Algeria, Sep 26, 1963 Angola, Sep 19, 1989 Antigua and Barbuda, Sep 22, 1983 Argentina, Sep 20, 1956 Armenia, Sep 16, 1992 Australia, Aug 5, 1947 Austria, Aug 27, 1948 Azerbaijan, Sep 18, 1992 Bahamas, The Aug 21, 1973 Bahrain, Sep 15, 1972 Bangladesh, Aug 17, 1972 Barbados, Sep 12, 1974 Belarus, Jul 10, 1992 Belgium, Dec 27, 1945 Belize, Mar 19, 1982 Benin, Jul 10, 1963 Bhutan, Sep 28, 1981 Bolivia, Dec 27, 1945 Bosnia and Herzegovina, Feb 25, 1993 Botswana, Jul 24, 1968 Brazil, Jan 14, 1946 Brunei Darussalam, Oct 10, 1995 Bulgaria, Sep 25, 1990 Burkina Faso, May 2, 1963 Burundi, Sep 28, 1963 Cabo Verde, Nov 20, 1978 Cambodia, Jul 22, 1970 Cameroon, Jul 10, 1963 Canada, Dec 27, 1945 Central African Republic, Jul 10, 1963 Chad, Jul 10, 1963 Chile, Dec 31, 1945 China, Dec 27, 1945 Colombia, Dec 24, 1946 Comoros, Oct 28, 1976 Congo, Democratic Republic of, Sep 28, 1963 Congo, Republic of, Jul 10, 1963 Costa Rica, Jan 8, 1946 Cote d'Ivoire, Mar 11, 1963 Croatia, Feb 25, 1993 Cyprus, Dec 21, 1961 Czech Republic, Jan 1, 1993 Denmark, Mar 30, 1946 Djibouti, Oct 1, 1980 Dominica, Sep 29, 1980 Dominican Republic, Sep 18, 1961 Ecuador, Dec 28, 1945 Egypt, Arab Republic of, Dec 27, 1945 El Salvador, Mar 14, 1946 Equatorial Guinea, Jul 1, 1970 Eritrea, Jul 6, 1994 Estonia, Jun 23, 1992 Eswatini, Sep 22, 1969 Ethiopia, Dec 27, 1945 Fiji, May 28, 1971 Finland, Jan 14, 1948 France, Dec 27, 1945 Gabon, Sep 10, 1963 Gambia, The, Oct 18, 1967 Georgia, Aug 7, 1992 Germany, Aug 14, 1952 Ghana, Sep 20, 1957 Greece, Dec 27, 1945 Grenada, Aug 27, 1975 Guatemala, Dec 28, 1945 Guinea, Sep 28, 1963 Guinea-Bissau, Mar 24, 1977 Guyana, Sep 26, 1966 Haiti, Sep 8, 1953 Honduras, Dec 27, 1945 Hungary, Jul 7, 1982 Iceland, Dec 27, 1945 India, Dec 27, 1945 Indonesia, Apr 13, 1967 Iran, Islamic Republic of, Dec 29, 1945 Iraq, Dec 27, 1945 Ireland, Aug 8, 1957 Israel, Jul 12, 1954 Italy, Mar 27, 1947 Jamaica, Feb 21, 1963 Japan, Aug 13, 1952 Jordan, Aug 29, 1952 Kazakhstan, Jul 23, 1992 Kenya, Feb 3, 1964 Kiribati, Sep 29, 1986 Korea, Republic of, Aug 26, 1955 Kosovo, Jun 29, 2009 Kuwait, Sep 13, 1962 Kyrgyz Republic, Sep 18, 1992 Lao People's Democratic Republic, Jul 5, 1961 Latvia, Aug 11, 1992 Lebanon, Apr 14, 1947 Lesotho, Jul 25, 1968 | Country / Date of Membership Liberia, Mar 28, 1962 Libya, Sep 17, 1958 Lithuania, Jul 6, 1992 Luxembourg, Dec 27, 1945 Madagascar, Sep 25, 1963 Malawi, Jul 19, 1965 Malaysia, Mar 7, 1958 Maldives, Jan 13, 1978 Mali, Sep 27, 1963 Malta, Sep 26, 1983 Marshall Islands, May 21, 1992 Mauritania, Sep 10, 1963 Mauritius, Sep 23, 1968 Mexico, Dec 31, 1945 Micronesia, Federated States of, Jun 24, 1993 Moldova, Aug 12, 1992 Mongolia, Feb 14, 1991 Montenegro, Jan 18, 2007 Morocco, Apr 25, 1958 Mozambique, Sep 24, 1984 Myanmar, Jan 3, 1952 Namibia, Sep 25, 1990 Nauru, Apr 12, 2016 Nepal, Sep 6, 1961 Netherlands, Dec 27, 1945 New Zealand, Aug 31, 1961 Nicaragua, Mar 14, 1946 Niger, Apr 24, 1963 Nigeria, Mar 30, 1961 North Macedonia, Feb 25, 1993 Norway, Dec 27, 1945 Oman, Dec 23, 1971 Pakistan, Jul 11, 1950 Palau, Dec 16, 1997 Panama, Mar 14, 1946 Papua New Guinea, Oct 9, 1975 Paraguay, Dec 28, 1945 Peru, Dec 31, 1945 Philippines, Dec 27, 1945 Poland, Jun 27, 1986 Portugal, Mar 29, 1961 Qatar, Sep 25, 1972 Romania, Dec 15, 1972 Russian Federation, Jun 16, 1992 Rwanda, Sep 30, 1963 Samoa, Jun 28, 1974 San Marino, Sep 21, 2000 Sao Tome and Principe, Sep 30, 1977 Saudi Arabia, Aug 26, 1957 Senegal, Aug 31, 1962 Serbia, Feb 25, 1993 Seychelles, Sep 29, 1980 Sierra Leone, Sep 10, 1962 Singapore, Aug 3, 1966 Slovak Republic, Jan 1, 1993 Slovenia, Feb 25, 1993 Solomon Islands, Sep 22, 1978 Somalia, Aug 31, 1962 South Africa, Dec 27, 1945 South Sudan, Apr 18, 2012 Spain, Sep 15, 1958 Sri Lanka, Aug 29, 1950 St. Kitts and Nevis, Aug 15, 1984 St. Lucia, Jun 27, 1980 St. Vincent and the Grenadines, Aug 31, 1982 Sudan, Sep 5, 1957 Suriname, Jun 27, 1978 Sweden, Aug 31, 1951 Switzerland, May 29, 1992 Syrian Arab Republic, Apr 10, 1947 Tajikistan, Jun 4, 1993 Tanzania, Sep 10, 1962 Thailand, May 3, 1949 Timor-Leste, Jul 23, 2002 Togo, Aug 1, 1962 Tonga, Sep 13, 1985 Trinidad and Tobago, Sep 16, 1963 Tunisia, Apr 14, 1958 Turkey, Mar 11, 1947 Turkmenistan, Sep 22, 1992 Tuvalu, Jun 24, 2010 Uganda, Sep 27, 1963 Ukraine, Sep 3, 1992 United Arab Emirates, Sep 22, 1972 United Kingdom, Dec 27, 1945 United States, Dec 27, 1945 Uruguay, Mar 11, 1946 Uzbekistan, Sep 21, 1992 Vanuatu, Sep 28, 1981 Venezuela, Republica Bolivariana de, Dec 30, 1946 Vietnam, Sep 21, 1956 Yemen, Republic of, Oct 3, 1969 Zambia, Sep 23, 1965 Zimbabwe, Sep 29, 19 |
TENA MNAFIKI MKUBWA SANAHuyu ni mnafiki
NI MUONGO ASIYE NA KUMBUKUMBU. ALICHOSEMA 4 YEARS AGO AMESAHAU. SASA ANAROPOKA TURais anatuchanganya tu. Mara atuambie sisi ni matajiri. Tunajenga miradi kwa kodi za watanzania. Inakuwaje tena anasema kuhusu benki ya dunia tena ?
Akili za kuambiwa changanya na zako.
Nakubaliana kwa 100% kwamba watu aina ya Zitto na wale wanaofanana nao ni wa kupuuzwa na hawastahili kujibiwa.
Zitto anafahamika kwa kutafuta kiki akitumia njia ya uzushi na kuparamia mambo asiyoyaelewa vizuri. Kujibishana na watu wa aina hii ni kuwapa promo ya bure ya kujulikana kuwa bado wapo.
Nakubaliana na Rais Magufuli kwa 100% kwamba hawa wazushi ni wa kupuuzwa ili tuweze kusonga mbele.
Maendeleo hayana vyama!