Rais Magufuli: Benki ya Dunia wanatoa pesa wakijua Tanzania tuna msimamo gani na tunafanya nini, wapiga kelele wapuuzwe

Rais Magufuli: Benki ya Dunia wanatoa pesa wakijua Tanzania tuna msimamo gani na tunafanya nini, wapiga kelele wapuuzwe

Nakubaliana kwa 100% kwamba watu aina ya Zitto na wale wanaofanana nao ni wa kupuuzwa na hawastahili kujibiwa.

Zitto anafahamika kwa kutafuta kiki akitumia njia ya uzushi na kuparamia mambo asiyoyaelewa vizuri. Kujibishana na watu wa aina hii ni kuwapa promo ya bure ya kujulikana kuwa bado wapo.

Nakubaliana na Rais Magufuli kwa 100% kwamba hawa wazushi ni wa kupuuzwa ili tuweze kusonga mbele.

Maendeleo hayana vyama!
Tangu juzi, nilisema humu Zitto ni wa kupuuzwa tu [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakubaliana kwa 100% kwamba watu aina ya Zitto na wale wanaofanana nao ni wa kupuuzwa na hawastahili kujibiwa.

Zitto anafahamika kwa kutafuta kiki akitumia njia ya uzushi na kuparamia mambo asiyoyaelewa vizuri. Kujibishana na watu wa aina hii ni kuwapa promo ya bure ya kujulikana kuwa bado wapo.

Nakubaliana na Rais Magufuli kwa 100% kwamba hawa wazushi ni wa kupuuzwa ili tuweze kusonga mbele.

Maendeleo hayana vyama!
Wew poyoyo kuna kitu ambacho hukubaliani naye wakat wew ni vuvuzera
 
Nakubaliana kwa 100% kwamba watu aina ya Zitto na wale wanaofanana nao ni wa kupuuzwa na hawastahili kujibiwa.

Zitto anafahamika kwa kutafuta kiki akitumia njia ya uzushi na kuparamia mambo asiyoyaelewa vizuri. Kujibishana na watu wa aina hii ni kuwapa promo ya bure ya kujulikana kuwa bado wapo.

Nakubaliana na Rais Magufuli kwa 100% kwamba hawa wazushi ni wa kupuuzwa ili tuweze kusonga mbele.

Maendeleo hayana vyama!
Mbona unaandika kama umewekewa kijinga cha moto makalioni?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakubaliana kwa 100% kwamba watu aina ya Zitto na wale wanaofanana nao ni wa kupuuzwa na hawastahili kujibiwa.

Zitto anafahamika kwa kutafuta kiki akitumia njia ya uzushi na kuparamia mambo asiyoyaelewa vizuri. Kujibishana na watu wa aina hii ni kuwapa promo ya bure ya kujulikana kuwa bado wapo.

Nakubaliana na Rais Magufuli kwa 100% kwamba hawa wazushi ni wa kupuuzwa ili tuweze kusonga mbele.

Maendeleo hayana vyama!
Ni kama tunavyopuuza vihoja vyako unavyoviandika......upuuzi hupuuzwa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama Yesu ambaye ndio Mungu kwa nafsi ya 3 tu alipata upinzani hapa duniani hakukubaliwa na kila mtu Je sisi Binadamu tunaotokana na Manii ya Mwanamke na Mwanaume ni nani hadi tukubaliwe na kila nafsi.

huwezi kubalika na kila mtu-zitto yupo kwenye kundi hilo tena bora yeye Mungu amempa ujasiri anaongea na kusema katika utawala huu wengine wote Milioni 50 tunaogopa! pongezi kwake kwa kweli
 
Mimi nashangaa sana waandamizi serikalini kwa kurumbana na wanaharakati wakati wanachotakiwa ni kufanya mawasiliano ya karibu na watoa pesa ambao ni Benki ya Dunia!

Kazi ya msingi ya waandamizi serikalini ni kuhakikisha wanafanya linalowezekana ili maombi ya mkopo yakubaliwe. Kukubaliwa kwa maombi yao ya mkopo itakuwa ni jibu lao kwa wanaharakati na sio kupigizana kelele!

Please, focus on the World Bank and the rest will take care of itself!
Kubali mashariti, jiwe lazima aliomba alitengua kauli na kuomba msamaha
 
Zito akitoa data fulani hivi basi ccm kuanzia katibu mkuu, slowslow na wengine hutamani kuhama nchi
 
The organizations that make up the World Bank Group are owned by the governments of member nations, which have the ultimate decision-making power within the organizations on all matters, including policy, financial or membership issues.

Country / Date of Membership

Afghanistan,
Jul 14, 1995
Albania, Oct 15, 1991
Algeria, Sep 26, 1963
Angola, Sep 19, 1989
Antigua and Barbuda, Sep 22, 1983
Argentina, Sep 20, 1956
Armenia, Sep 16, 1992
Australia, Aug 5, 1947
Austria, Aug 27, 1948
Azerbaijan, Sep 18, 1992
Bahamas, The Aug 21, 1973
Bahrain, Sep 15, 1972
Bangladesh, Aug 17, 1972
Barbados, Sep 12, 1974
Belarus, Jul 10, 1992
Belgium, Dec 27, 1945
Belize, Mar 19, 1982
Benin, Jul 10, 1963
Bhutan, Sep 28, 1981
Bolivia, Dec 27, 1945
Bosnia and Herzegovina, Feb 25, 1993
Botswana, Jul 24, 1968
Brazil, Jan 14, 1946
Brunei Darussalam, Oct 10, 1995
Bulgaria, Sep 25, 1990
Burkina Faso, May 2, 1963
Burundi, Sep 28, 1963
Cabo Verde, Nov 20, 1978
Cambodia, Jul 22, 1970
Cameroon, Jul 10, 1963
Canada, Dec 27, 1945
Central African Republic, Jul 10, 1963
Chad, Jul 10, 1963
Chile, Dec 31, 1945
China, Dec 27, 1945
Colombia, Dec 24, 1946
Comoros, Oct 28, 1976
Congo, Democratic Republic of, Sep 28, 1963
Congo, Republic of, Jul 10, 1963
Costa Rica, Jan 8, 1946
Cote d'Ivoire, Mar 11, 1963
Croatia, Feb 25, 1993
Cyprus, Dec 21, 1961
Czech Republic, Jan 1, 1993
Denmark, Mar 30, 1946
Djibouti, Oct 1, 1980
Dominica, Sep 29, 1980
Dominican Republic, Sep 18, 1961
Ecuador, Dec 28, 1945
Egypt, Arab Republic of, Dec 27, 1945
El Salvador, Mar 14, 1946
Equatorial Guinea, Jul 1, 1970
Eritrea, Jul 6, 1994
Estonia, Jun 23, 1992
Eswatini, Sep 22, 1969
Ethiopia, Dec 27, 1945
Fiji, May 28, 1971
Finland, Jan 14, 1948
France, Dec 27, 1945
Gabon, Sep 10, 1963
Gambia, The, Oct 18, 1967
Georgia, Aug 7, 1992
Germany, Aug 14, 1952
Ghana, Sep 20, 1957
Greece, Dec 27, 1945
Grenada, Aug 27, 1975
Guatemala, Dec 28, 1945
Guinea, Sep 28, 1963
Guinea-Bissau, Mar 24, 1977
Guyana, Sep 26, 1966
Haiti, Sep 8, 1953
Honduras, Dec 27, 1945
Hungary, Jul 7, 1982
Iceland, Dec 27, 1945
India, Dec 27, 1945
Indonesia, Apr 13, 1967
Iran, Islamic Republic of, Dec 29, 1945
Iraq, Dec 27, 1945
Ireland, Aug 8, 1957
Israel, Jul 12, 1954
Italy, Mar 27, 1947
Jamaica, Feb 21, 1963
Japan, Aug 13, 1952
Jordan, Aug 29, 1952
Kazakhstan, Jul 23, 1992
Kenya, Feb 3, 1964
Kiribati, Sep 29, 1986
Korea, Republic of, Aug 26, 1955
Kosovo, Jun 29, 2009
Kuwait, Sep 13, 1962
Kyrgyz Republic, Sep 18, 1992
Lao People's Democratic Republic, Jul 5, 1961
Latvia, Aug 11, 1992
Lebanon, Apr 14, 1947
Lesotho, Jul 25, 1968
Country / Date of Membership

Liberia,
Mar 28, 1962
Libya, Sep 17, 1958
Lithuania, Jul 6, 1992
Luxembourg, Dec 27, 1945
Madagascar, Sep 25, 1963
Malawi, Jul 19, 1965
Malaysia, Mar 7, 1958
Maldives, Jan 13, 1978
Mali, Sep 27, 1963
Malta, Sep 26, 1983
Marshall Islands, May 21, 1992
Mauritania, Sep 10, 1963
Mauritius, Sep 23, 1968
Mexico, Dec 31, 1945
Micronesia, Federated States of, Jun 24, 1993
Moldova, Aug 12, 1992
Mongolia, Feb 14, 1991
Montenegro, Jan 18, 2007
Morocco, Apr 25, 1958
Mozambique, Sep 24, 1984
Myanmar, Jan 3, 1952
Namibia, Sep 25, 1990
Nauru, Apr 12, 2016
Nepal, Sep 6, 1961
Netherlands, Dec 27, 1945
New Zealand, Aug 31, 1961
Nicaragua, Mar 14, 1946
Niger, Apr 24, 1963
Nigeria, Mar 30, 1961
North Macedonia, Feb 25, 1993
Norway, Dec 27, 1945
Oman, Dec 23, 1971
Pakistan, Jul 11, 1950
Palau, Dec 16, 1997
Panama, Mar 14, 1946
Papua New Guinea, Oct 9, 1975
Paraguay, Dec 28, 1945
Peru, Dec 31, 1945
Philippines, Dec 27, 1945
Poland, Jun 27, 1986
Portugal, Mar 29, 1961
Qatar, Sep 25, 1972
Romania, Dec 15, 1972
Russian Federation, Jun 16, 1992
Rwanda, Sep 30, 1963
Samoa, Jun 28, 1974
San Marino, Sep 21, 2000
Sao Tome and Principe, Sep 30, 1977
Saudi Arabia, Aug 26, 1957
Senegal, Aug 31, 1962
Serbia, Feb 25, 1993
Seychelles, Sep 29, 1980
Sierra Leone, Sep 10, 1962
Singapore, Aug 3, 1966
Slovak Republic, Jan 1, 1993
Slovenia, Feb 25, 1993
Solomon Islands, Sep 22, 1978
Somalia, Aug 31, 1962
South Africa, Dec 27, 1945
South Sudan, Apr 18, 2012
Spain, Sep 15, 1958
Sri Lanka, Aug 29, 1950
St. Kitts and Nevis, Aug 15, 1984
St. Lucia, Jun 27, 1980
St. Vincent and the Grenadines, Aug 31, 1982
Sudan, Sep 5, 1957
Suriname, Jun 27, 1978
Sweden, Aug 31, 1951
Switzerland, May 29, 1992
Syrian Arab Republic, Apr 10, 1947
Tajikistan, Jun 4, 1993
Tanzania, Sep 10, 1962
Thailand, May 3, 1949
Timor-Leste, Jul 23, 2002
Togo, Aug 1, 1962
Tonga, Sep 13, 1985
Trinidad and Tobago, Sep 16, 1963
Tunisia, Apr 14, 1958
Turkey, Mar 11, 1947
Turkmenistan, Sep 22, 1992
Tuvalu, Jun 24, 2010
Uganda, Sep 27, 1963
Ukraine, Sep 3, 1992
United Arab Emirates, Sep 22, 1972
United Kingdom, Dec 27, 1945
United States, Dec 27, 1945
Uruguay, Mar 11, 1946
Uzbekistan, Sep 21, 1992
Vanuatu, Sep 28, 1981
Venezuela, Republica Bolivariana de, Dec 30, 1946
Vietnam, Sep 21, 1956
Yemen, Republic of, Oct 3, 1969
Zambia, Sep 23, 1965
Zimbabwe, Sep 29, 19
 
Rais anatuchanganya tu. Mara atuambie sisi ni matajiri. Tunajenga miradi kwa kodi za watanzania. Inakuwaje tena anasema kuhusu benki ya dunia tena ?
Akili za kuambiwa changanya na zako.
NI MUONGO ASIYE NA KUMBUKUMBU. ALICHOSEMA 4 YEARS AGO AMESAHAU. SASA ANAROPOKA TU
 
MLETA UZI UNAWEZA UKAPATA UTEUZI WA UKUU WA WILAYA . OMBA SANA WAKIUSOMA UZI WAKO WAMPELEKEE JIWE BASI UMEULA
 
Ulisoma shule gani wewe? Ukaishia level gani ya elimu . Mwenzio katoa data . Wewe Nadal ya kutoa za kwako kuonesha amepotosha VIP huyo zzk unaishia kuunga na kukubaliana kwa 100%! Kweli ccm inaungwa mkono na wajinga

Back
Top Bottom