Mimi nashangaa sana waandamizi serikalini kwa kurumbana na wanaharakati wakati wanachotakiwa ni kufanya mawasiliano ya karibu na watoa pesa ambao ni Benki ya Dunia!
Kazi ya msingi ya waandamizi serikalini ni kuhakikisha wanafanya linalowezekana ili maombi ya mkopo yakubaliwe. Kukubaliwa kwa maombi yao ya mkopo itakuwa ni jibu lao kwa wanaharakati na sio kupigizana kelele!
Please, focus on the World Bank and the rest will take care of itself!
Hakuna tajili Duniani asiye na mkopo. Lkn pia elewa hata nchi zinazotukopesha nazo zinakopa. Kwa maana nyingine hata USA ina madeni.Hivi Tanzania sio tajiri tena? Nilitegemea Mh Rais aseme hatutegemei misaada kwa sababu sisi ni matajiri.
Wewe nae. unataka kila analoongelea likupendeze wewe? Mengine jifunze tu afu fanya yako.Nimeisikiliza hotuba yake yote .... 90 % ya aliyoyaongea wala hakutakiwa kuyaongelea hadharani unless kama anafanya hivyo kwa ajili ya show off!!
Wewe una akili ndogo ndiyo maana unatafsili aliyoyasema kihivyo! Ungekuwa na akili za kutosha ungejiongeza ukajua Rais alisema hivyo kuwa "Tanzania ni tajiri" kwa maana gani, wapi aliposemea hivyo na sababu iliyo msukuma kusema hivyo! Rais hakuyatamka maneno hayo tu bila kufafanua.Hivi Tanzania sio tajiri tena? Nilitegemea Mh Rais aseme hatutegemei misaada kwa sababu sisi ni matajiri.
Ukikopa kwa ajili ya elimu unapata riba ndogo sana na ukikopa kwa ajili ya kununua ndege unapata riba ya kibiashara!..lakini kununua ndege cash halafu kwenda kukopa kwa ajili ya elimu siyo busara hata kidogo.
Deni siyo msaada. Hukopeshwi kama huwezi kulipa.mbona alisema sisi ni matajiri hatuhitaji misaada na tunaweza kuwa donor country
Mkuu;Wewe una akili ndogo ndiyo maana unatafsili aliyoyasema kihivyo! Ungekuwa na akili za kutosha ungejiongeza ukajua Rais alisema hivyo kuwa "Tanzania ni tajiri" kwa maana gani, wapi aliposemea hivyo na sababu iliyo msukuma kusema hivyo! Rais hakuyatamka maneno hayo tu bila kufafanua.
Kudhihaki na kusema usitegemee misaada au usikope haitamaanisha vingine. Nchi zote tajiri zinakopa pia. Zinapata hela kutoka WB.
Kama elimu yako haikuwezeshi kufuatilia watu wanasema nini, basi nenda shule. Uongeze maarifa.
Ukikopa kwa ajili ya elimu unapata riba ndogo sana na ukikopa kwa ajili ya kununua ndege unapata riba ya kibiashara!
Malengo yako unataka kuboresha elimu na hapo hapo unataka kufufua shirika la ndege. Kwa busara yako utafanyaje ili malengo yako yote yatimie kwa wakati mmoja?
Utaenda kukopa kwa ajili ya kununua ndege ambapo mkopo wake una riba kubwa au utaenda kukopa kwa ajili ya elimu ambapo mkopo wake una riba ndogo?
Utatumia hekima ipi katika kufanikisha malengo yako yote kwa pamoja?
Ni opinion tu.....!!Wewe nae. unataka kila analoongelea likupendeze wewe? Mengine jifunze tu afu fanya yako.
Its about time he changed the word ishi for isha.Mzee anasema, " watu wa aina hiyo hawawezi isha duniani "
Hivi unaelewa maana ya mkopo mkuu.?Hivi Tanzania sio tajiri tena? Nilitegemea Mh Rais aseme hatutegemei misaada kwa sababu sisi ni matajiri.
Angalia deni la Kenya hahahahahKukopa kukopa mpaka mtatuweka dhamana watanzania siku sifa ya kukopesheka itakapo isha."
Hata USA wana kopa au hujuiRais anatuchanganya tu. Mara atuambie sisi ni matajiri. Tunajenga miradi kwa kodi za watanzania. Inakuwaje tena anasema kuhusu benki ya dunia tena ?
Akili za kuambiwa changanya na zako.
Mkuu huo ni mkopo, mikopo hata nchi tajiri kama Marekani zinachukua mikopo, zina deni.Hushangai kuwa kwa nini nchi tajiri inaomba Msaada ?
Akili za kuku izoKuwaamini wanasiasa lzm uwe umelewa.Ndege tunanunua cash elimu tunataka mkopo si tuuze dimulaina moja tu
Hivi Tanzania sio tajiri tena? Nilitegemea Mh Rais aseme hatutegemei misaada kwa sababu sisi ni matajiri.
Sisi ni matajiri tulitakiwa tuwakopeshe hata hao USA. Au utajiri wetu ni wa mdomoni tu ?