Rais Magufuli: Benki ya Dunia wanatoa pesa wakijua Tanzania tuna msimamo gani na tunafanya nini, wapiga kelele wapuuzwe

Mimi nashangaa sana waandamizi serikalini kwa kurumbana na wanaharakati wakati wanachotakiwa ni kufanya mawasiliano ya karibu na watoa pesa ambao ni Benki ya Dunia!

Kazi ya msingi ya waandamizi serikalini ni kuhakikisha wanafanya linalowezekana ili maombi ya mkopo yakubaliwe. Kukubaliwa kwa maombi yao ya mkopo itakuwa ni jibu lao kwa wanaharakati na sio kupigizana kelele!

Please, focus on the World Bank and the rest will take care of itself!

..lakini kununua ndege cash halafu kwenda kukopa kwa ajili ya elimu siyo busara hata kidogo.
 
Nimeisikiliza hotuba yake yote .... 90 % ya aliyoyaongea wala hakutakiwa kuyaongelea hadharani unless kama anafanya hivyo kwa ajili ya show off!!
Wewe nae. unataka kila analoongelea likupendeze wewe? Mengine jifunze tu afu fanya yako.
 
Hivi Tanzania sio tajiri tena? Nilitegemea Mh Rais aseme hatutegemei misaada kwa sababu sisi ni matajiri.
Wewe una akili ndogo ndiyo maana unatafsili aliyoyasema kihivyo! Ungekuwa na akili za kutosha ungejiongeza ukajua Rais alisema hivyo kuwa "Tanzania ni tajiri" kwa maana gani, wapi aliposemea hivyo na sababu iliyo msukuma kusema hivyo! Rais hakuyatamka maneno hayo tu bila kufafanua.
Kudhihaki na kusema usitegemee misaada au usikope haitamaanisha vingine. Nchi zote tajiri zinakopa pia. Zinapata hela kutoka WB.
Kama elimu yako haikuwezeshi kufuatilia watu wanasema nini, basi nenda shule. Uongeze maarifa.
 
..lakini kununua ndege cash halafu kwenda kukopa kwa ajili ya elimu siyo busara hata kidogo.
Ukikopa kwa ajili ya elimu unapata riba ndogo sana na ukikopa kwa ajili ya kununua ndege unapata riba ya kibiashara!

Malengo yako unataka kuboresha elimu na hapo hapo unataka kufufua shirika la ndege. Kwa busara yako utafanyaje ili malengo yako yote yatimie kwa wakati mmoja?

Utaenda kukopa kwa ajili ya kununua ndege ambapo mkopo wake una riba kubwa au utaenda kukopa kwa ajili ya elimu ambapo mkopo wake una riba ndogo?

Utatumia hekima ipi katika kufanikisha malengo yako yote kwa pamoja?
 
Wewe una akili ndogo ndiyo maana unatafsili aliyoyasema kihivyo! Ungekuwa na akili za kutosha ungejiongeza ukajua Rais alisema hivyo kuwa "Tanzania ni tajiri" kwa maana gani, wapi aliposemea hivyo na sababu iliyo msukuma kusema hivyo! Rais hakuyatamka maneno hayo tu bila kufafanua.
Kudhihaki na kusema usitegemee misaada au usikope haitamaanisha vingine. Nchi zote tajiri zinakopa pia. Zinapata hela kutoka WB.
Kama elimu yako haikuwezeshi kufuatilia watu wanasema nini, basi nenda shule. Uongeze maarifa.
Mkuu;
Nadhani jamaa amekukera sana!

Mvumilie na kumuelimisha!

Tatizo hapa jukwaani kuna baadhi ya watu ni wajinga lakini hawajui kama ni wajinga!
 
Ukikopa kwa ajili ya elimu unapata riba ndogo sana na ukikopa kwa ajili ya kununua ndege unapata riba ya kibiashara!

Malengo yako unataka kuboresha elimu na hapo hapo unataka kufufua shirika la ndege. Kwa busara yako utafanyaje ili malengo yako yote yatimie kwa wakati mmoja?

Utaenda kukopa kwa ajili ya kununua ndege ambapo mkopo wake una riba kubwa au utaenda kukopa kwa ajili ya elimu ambapo mkopo wake una riba ndogo?

Utatumia hekima ipi katika kufanikisha malengo yako yote kwa pamoja?

..siwezi kuweka elimu na shirika la ndege ktk mzani mmoja.

..kwangu mimi elimu ni kipaumbele kuliko ndege.

..afya pia ni kipaumbele kuliko ndege.

..lakini zaidi, ndege ni mradi ambao HASARA is almost guaranteed.

..hekima kwangu mimi ni kuepuka kununua ndege iwe kwa cash au mkopo.
 
Hivi Tanzania sio tajiri tena? Nilitegemea Mh Rais aseme hatutegemei misaada kwa sababu sisi ni matajiri.

kuna tajiri hajakopa dunia hii? USA wenyewe deni linakaribia $100 TRILLION , kwahio kwakua wamekopa tusaiwaite super nation?
 
Back
Top Bottom