Fursa Pesa
JF-Expert Member
- May 30, 2012
- 4,631
- 3,527
Hii inaweza ikawa ni turufu nzuri kwa Cecil Mwambe kuwania Urais 2020 kupitia Chadema.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa........bwashee mabadiliko ni muhimu!Mleta uzi we mkuda tu
Ova
Baada ya makachero wabobezi wa chadema kufichua nia yake ovu ya kugombea ienyekiti CDM,Ni suala la Muda. Kama mwaka 2020 Cecil Mwambe atagombea Upinzani mimi ntatembea bila shati mwezi mzima na mwezi huo mzima naomba nipigwe Ban.
Tayari indicator imeshaonesha yeye kurudi CCM anachosubiri ni kuanzisha mgogoro na Chama alichopo sasa ili apate sababu ya kishujaa ya kuondoka kurudi CCM.
Yangu Macho na Masikio. Aliyekuwa akilitaka jimbo hilo kwa ticket ya CCM tayari ameshaanza kukosa amani baada ya Rais Magufuli kunena aliyonena leo juu ya Cecil Mwambe.
Kajiandikisheni muwape Kula wenzenu.
Wewe ni nyoooko sanaNi suala la Muda. Kama mwaka 2020 Cecil Mwambe atagombea Upinzani mimi ntatembea bila shati mwezi mzima na mwezi huo mzima naomba nipigwe Ban.
Tayari indicator imeshaonesha yeye kurudi CCM anachosubiri ni kuanzisha mgogoro na Chama alichopo sasa ili apate sababu ya kishujaa ya kuondoka kurudi CCM.
Yangu Macho na Masikio. Aliyekuwa akilitaka jimbo hilo kwa ticket ya CCM tayari ameshaanza kukosa amani baada ya Rais Magufuli kunena aliyonena leo juu ya Cecil Mwambe.
Kajiandikisheni muwape Kula wenzenu.
kweli mkuuNi suala la Muda. Kama mwaka 2020 Cecil Mwambe atagombea Upinzani mimi ntatembea bila shati mwezi mzima na mwezi huo mzima naomba nipigwe Ban.
Tayari indicator imeshaonesha yeye kurudi CCM anachosubiri ni kuanzisha mgogoro na Chama alichopo sasa ili apate sababu ya kishujaa ya kuondoka kurudi CCM.
Yangu Macho na Masikio. Aliyekuwa akilitaka jimbo hilo kwa ticket ya CCM tayari ameshaanza kukosa amani baada ya Rais Magufuli kunena aliyonena leo juu ya Cecil Mwambe.
Kajiandikisheni muwape Kula wenzenu.
You have nailled it hard,only a fool can buy this."Mimi niligombea CCM nikasindikizwa na watu 41, na kiukweli mimi ndiye nilikuwa nakubalika, niwaombe WanaCCM msiwabanie watu ambao wanakubalika kwa wananchi, kwa sababu hata mimi sikubaniwa" - Rais Magufuli.
Source: East Africa Tv
Napata wakati mgumu kutofautisha, na kuelewa uhalisia wa kukubalika na matumizi ya ubabe.
Mabavu, kununua wapinzani na kuiba kura hakuwezi kuwa sawa na kukubalika.
We Jamaa ni Qouma Sana ujueNa ataupata.......sisi wajumbe tutamchagua!
Hahahaaa........ Naona bado mbege haijakutoka kichwani na huna hata jero ya kula supu ya mapupu ya nguruwe hapo Ufipa.We Jamaa ni Qouma Sana ujue