Rais Magufuli: Cecil Mwambe moyo wake uko CCM, Chama kilifanya makosa makubwa kumfanyia figisu 2015

Hii inaweza ikawa ni turufu nzuri kwa Cecil Mwambe kuwania Urais 2020 kupitia Chadema.
 
Ni suala la Muda. Kama mwaka 2020 Cecil Mwambe atagombea Upinzani mimi ntatembea bila shati mwezi mzima na mwezi huo mzima naomba nipigwe Ban.

Tayari indicator imeshaonesha yeye kurudi CCM anachosubiri ni kuanzisha mgogoro na Chama alichopo sasa ili apate sababu ya kishujaa ya kuondoka kurudi CCM.

Yangu Macho na Masikio. Aliyekuwa akilitaka jimbo hilo kwa ticket ya CCM tayari ameshaanza kukosa amani baada ya Rais Magufuli kunena aliyonena leo juu ya Cecil Mwambe.

Kajiandikisheni muwape Kula wenzenu.
 
Hakuna linaloshindikana kwa wanasiasa wetu! Maana wengi wao wanaichukulia siasa kama ajira. Wanaweza kufanya jambo lolote lile ili tu maisha yaendelee.
 
Kwani asipo ondoka au akiondoka wewe na Familia yako utapata faida gani?au wewe ni mtoto wa Mama/kula kulala?
 
Ni suala la Muda. Kama mwaka 2020 Cecil Mwambe atagombea Upinzani mimi ntatembea bila shati mwezi mzima na mwezi huo mzima naomba nipigwe Ban.

Tayari indicator imeshaonesha yeye kurudi CCM anachosubiri ni kuanzisha mgogoro na Chama alichopo sasa ili apate sababu ya kishujaa ya kuondoka kurudi CCM.

Yangu Macho na Masikio. Aliyekuwa akilitaka jimbo hilo kwa ticket ya CCM tayari ameshaanza kukosa amani baada ya Rais Magufuli kunena aliyonena leo juu ya Cecil Mwambe.

Kajiandikisheni muwape Kula wenzenu.
Baada ya makachero wabobezi wa chadema kufichua nia yake ovu ya kugombea ienyekiti CDM,
Nilikuwa namwamini selasini kumbe naye bogus
 
Taifa halijegwi kwa sauti ya mtu mmoja!! Haturudi kamwe tulikotoka miaka ya 70 ya zidumu fikra!!

Upinzani upo ndani ya mioyo ya watanzania!!
 
Ni suala la Muda. Kama mwaka 2020 Cecil Mwambe atagombea Upinzani mimi ntatembea bila shati mwezi mzima na mwezi huo mzima naomba nipigwe Ban.

Tayari indicator imeshaonesha yeye kurudi CCM anachosubiri ni kuanzisha mgogoro na Chama alichopo sasa ili apate sababu ya kishujaa ya kuondoka kurudi CCM.

Yangu Macho na Masikio. Aliyekuwa akilitaka jimbo hilo kwa ticket ya CCM tayari ameshaanza kukosa amani baada ya Rais Magufuli kunena aliyonena leo juu ya Cecil Mwambe.

Kajiandikisheni muwape Kula wenzenu.
Wewe ni nyoooko sana
 
kweli mkuu
 
"Mimi niligombea CCM nikasindikizwa na watu 41, na kiukweli mimi ndiye nilikuwa nakubalika, niwaombe WanaCCM msiwabanie watu ambao wanakubalika kwa wananchi, kwa sababu hata mimi sikubaniwa" - Rais Magufuli.

Source: East Africa Tv

Napata wakati mgumu kutofautisha, na kuelewa uhalisia wa kukubalika na matumizi ya ubabe.

Mabavu, kununua wapinzani na kuiba kura hakuwezi kuwa sawa na kukubalika.
 
Sasa kama alikua anakubalika kwanini hajiamini..
 
Option aliyo baki nayo ni UMWAMBA UMWAMBA, UNDAVA UNDAVA, UBABE UBABE, UKUDA UKUDA, NGUNGURI NGANGARI, UTAKE USITAKE.....
 
Anapoona ana uwezo wa kupiga rungu mawazo anajiona anakubalika!
But any idiot can do what he is doing!
 
"Mimi niligombea CCM nikasindikizwa na watu 41, na kiukweli mimi ndiye nilikuwa nakubalika, niwaombe WanaCCM msiwabanie watu ambao wanakubalika kwa wananchi, kwa sababu hata mimi sikubaniwa" - Rais Magufuli.

Source: East Africa Tv

Napata wakati mgumu kutofautisha, na kuelewa uhalisia wa kukubalika na matumizi ya ubabe.

Mabavu, kununua wapinzani na kuiba kura hakuwezi kuwa sawa na kukubalika.
You have nailled it hard,only a fool can buy this.
 
Sasa kwa hali hii, hayo madaftari ya kujiandikisha yana umuhimu gani tena?!!

Yaani huku unalia watu wajiandikishe, kule unasisitiza ushirikiano wa kimaendeleo.....kipaumbele cha kwanza, mtu atoke migombani!!

Tutafika kweli mkulu?!!
 
Back
Top Bottom