Rais Magufuli chonde chonde muite Stephen Masele akupe wazo lake

USA wakiwekeza mradi mkubwa hivyo tujue maamuzi mengine ya nchi watupangia. Sharti la ushoga hatutaliepuka.

Tujiridhishe kwa nini wachague eneo hilo? Mahusiano yetu na USA lazima tuyachukulie kwa tahadhari kubwa sana. Mali wameshaumizwa tayari. Angalia wanavyo mshadadia Lissu. Walimchagua Nyalandu kipindi cha nyuma kuwa ndiye wanamtaka awe rais.
 
Harafu ujiko atachunua Nani?any way nasikitika Kama Kuna watu bado Wana Imani na magu
 
unashadadia ushoga !! wewe ni shoga??

Hapa tunaongelea BUSEGA YETU mijitu mingine sihasa tuuuu
 
Wazo lake ni zuri na nafikiri alilliwakilisha sehemu husika ,assume Masele ni marehemu ,je ingekuaje ?,kama anaipenda nchi yake na ni mzalendo wa kweli akabidhi mpango kazi serikalini
 
Honestly hata Mimi nilishngaa
But hata kama sio Simiyu basi popote wachague..Arusha au selous..au Dar popote
Idea hii tukiweza tutakua mbali sana..

Naona South Africa Wana advantage juu yetu
Nilishangaa kusikia Dubai wali shindwana na Disneyland..

Mkuu $10b au ulisikia/kusoma vibaya? Nadhani hatujawahi kuwa na mradi wa pesa hizo hapa nchini, labda bandari ya bagamoyo kama ingefanikiwa. Na ilikuwa iwe mradi wa nini? Nahisi zilikuwa story za kitapeli. Mradi wa pesa kama hiyo hapa kwetu unaweza kutekelezwa tu iwapo mwenye hilo wazo ni rais.
 
unashadadia ushoga !! wewe ni shoga??

Hapa tunaongelea BUSEGA YETU mijitu mingine sihasa tuuuu

Tunazunguzia mambo ya msingi acha kuleta mizaha. Mradi ambao karibia ni mara mbili ya akiba ya fedha za kigeni uwekezwe na Wamarekani Watu ambao haki za bibadsmu kwao ni pamoja na ushoga, uhuru usio na mipaka wala staha wala heshima, kwa jina la liberty,. Kumbuka Wanajeshi waliofanya mapinduzi Mali asilimia kubwa wamepewa mafunzo USA. Nchi ambayo inawashwa washwa na mambo yetu ya ndani, ina mamluki tayari humu yuko mmoja anaandamana na huyu mgombea wao anaitwa Daudi Mjumbe sijui.

Such a huge investiment needs a proper government scrutinize. Sasa wewe unaingiza matusi kwenye mambo ya msingi kwa Taifa.
If you are not part of solution you are part of problem. Kazi yenu ni kubeza kila kitu serikali inachofanya.
 

Huyo mkuu @earhtmover anaujua vizuri
Upo wizarani mkuu
Au pitia IPP media uone wameandika mradi WA TSH trillion 6...
So huu mradi upo kabisa RC Mtaka anaujua..
So swala hapa wala sio porojo..umekwama wizarani
.
 
Huyo mkuu @earhtmover anaujua vizuri
Upo wizarani mkuu
Au pitia IPP media uone wameandika mradi WA TSH trillion 6...
So huu mradi upo kabisa RC Mtaka anaujua..
So swala hapa wala sio porojo..umekwama wizarani
.

$10b ni trilioni 22 na sio trillioni 6 kaka. Hapa ndio nikawa na shaka na hiyo figure. Maana nakumbuka Greece uchumi wake ulikwama wakati fulani, na wakawa wanasaka $8b ili kuusisimua. Hivyo hiyo figure ikanitisha.
 
Wazo la Masele ni la kijinga sana Magufuli hana muda wa mwekezaji kuja kuwekeza mabembea

Watanzania wanatakiwa wachape kazi kama kauli mbiu inavyosema

Ujinga ni mzigo mzito sana. Sijui hata unafahamu kiasi cha uwekezaji na mapato ya disneyland. Ungeujua usingeona ni mabembea tu.

Ubaya ni kuamini kuwa entertainment sio kazi. Unaona kazi ni kulima, kubeba mizigo kichwani, bodaboda, mamantilie nk. Entertainment ni industry kubwa sana!!! Sana!! Unajua film festival ya Zanzibar huleta fedha kiasi gani??

Wonders shall never end! Duh!!
 
Unajua film festival ya Zanzibar huleta fedha kiasi gani??
Inaigiza fedha za wali maharage ili wale mashekhe walioko gerezani wasife na njaa ili waendelee kulawitiwa
 
Mawazo mengine ni hadithi za Bulicheka, labda wajenge kwa ajili ya wabongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…