Rais Magufuli chonde chonde muite Stephen Masele akupe wazo lake

Wakenya wakiona mchango wako huu WANASHANGILIA ... tell them we are moving
 
Mkuu mhurumie
 
Kwa hiyo?
Vitu vingine uitaji kufikiria sana hawa watu marketing research ni sehemu kubwa ya investment decisions zao hakuna segment ya kuwekeza Disney Africa sio Tanzania tu.

Hata huko kwao uwezi kukuta ‘Ralph Lauren’ anafungua duka maeneo ambayo watu mishahara yao below 30K. Hayo maduka utakuta posh areas.

Disney yenyewe asilimia kubwa ya wateja wake ni middle class families za Europe na US sio walalahoi wakizungu.
 

Unaamini watakuja kujenga Kwa Ku target watanzania?
Kwahiyo Disneyland Paris target ni wafaransa?..

Why mnapenda ongea vitu hamvijui vizuri?
 
Unaamini watakuja kujenga Kwa Ku target watanzania?
Kwahiyo Disneyland Paris target ni wafaransa?..

Why mnapenda ongea vitu hamvijui vizuri?
Paris inawakazi 2.5 million na inapokea 30 million tourist. Ipo karibu na Germany, Italy, UK, Switzerland; raia wa nchi zote hizo kwenda na kurudi Paris on a day business trip ni jambo la kawaida.

Achilia mbali swala la kwenda kula wknd na kurudi jumatatu asubuhi straight to work.

In other words Paris strategically is Europe epicentre kwa segment wanayoitaka na aina ya wateja wenye uwezo.

Watu awakurupuki asubuhi tu na kujifanyia mambo, kama unavyofikiria.
 

I beg to differ Chief!!

Jamani tusijidharau!!

Nakumbuka kauli pendwa ya Mwalimu JKN “Uwezo tunao, Nia tunayo, Nguvu kazi tunayo!”

Tujitoe kimasomaso tusonge mbele!! Inawezekana!
 

Wewe mbona unakurupuka?
Umeambiwa hili wazo ni ni langu?
Why uko bize kunijibu?Wakati hadi link zimetolewa humu?.

Why unaongea vitu hujui? Aliekwambia hao
Disney watakuja bila kufanya research nani?
Aliekwambia wao wana target watanzania nani?
Aliekwambia Tanzania haiwezi kupokea watalii zaidi ya waliopo sasa nani?

Punguza ujuaji
 
Huyo mkuu @earhtmover anaujua vizuri
Upo wizarani mkuu
Au pitia IPP media uone wameandika mradi WA TSH trillion 6...
So huu mradi upo kabisa RC Mtaka anaujua..
So swala hapa wala sio porojo..umekwama wizarani
.
Ukitaka ukweli wa kitu kama hiki hutaukuta IPP Media au Wizarani. Nenda kaangalie kwenye tovuti ya Walt Disney Company ambako bila shaka wangeiweka kama ipo kwenye mipango yao. Hamna kitu kama hicho. Aidha, inabidi ujiulize kwa nini mtalii atoke Marekani kuja kumuangalia Mickey Mouse na Donald Duck? Aje kute huku na familia yake na apoteze siku kama mbili kutembelea kitu ambacho amekiacha kwao badala ya kutumia muda huo kwenda Serengeti au Ngorongoro?
Huu mradi ni wa kitapeli kama ule ambao jamaa waliokuwa na kikampuni cha kufua nguo Marekani walivyotuuzia mitambo ya kufua umeme!

Hamna kitu hapa.

Amandla...
 

Nakunukuu Chief;...

“Such a huge investment needs a ‘proper’ government scrutinization “ (nimesahihisha hapo mwisho)

Sasa Chief, tunarudi pale pale,......

Serikali haina budi kutengeza mifumo na misingi sahihi ya uwekezaji ikiwa ni pamoja na kuweka sheria rasmi na muhimu (non avoidable facts) kwa ajili ya wawekezaji bila kujali wanatoka wapi na masharti yao ni Yapi katika kuteka uwekezaji wao!

As a Citizen of the World, kila taifa lisimamie Sheria na kanuni za nchi yake (Taifa lake) bila kuyumba ama bila “kugawa” upendeleo!
 
Ndizo athari za utawala wa sheria kutofuatwa. Mwanzoni mliona zinawafeva ila leo zinawakaba
 

Hawawezi weka tangazo Kwa project ambayo iko Kwenye drawing boards
 
Wewe ndio umeanza kuni quote sio mimi.

Mie nimechangia post tu

Angalia kwanza annnual visitors wa Paris Disneyland on average ni karibu laki nane kwa mwezi.

Hawa watu wanataka outside dining many expect to find Michelin Star restaurants.
Kutembelea culture attraction
Theatres
Kwa sababu ni middle class wanategemea kulala at least 3 stars hotels
Wanategemea robust transportation system from point A to B
You got to understand your customers taste.

Ndio maana unaona huko mbugani hotel zao ni za hadhi kwa sababu mzungu anaekuja Tanzania most likely ana kazi nzuri huko kwao.

To name a few sio kwamba najifanya mjuaji it’s a reality check.
 

Chief! Are you really serious??

Yani una quote bei za America na kuzifananisha na mradi unaoombwa kuwepo Simiyu??

Hebu google search Japan entrance into their “Japan Disney World””!

Halafu turudi hapa! Hivi kweli you think that these “Walt Disney” pips wamekurupuka kwamba they really want this area(Simiyu) for investments??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…