Uchaguzi 2020 Rais Magufuli: Gambo sikumfukuza Ukuu wa Mkoa bali aliniomba akagombee Ubunge baada ya kuona Arusha inakwama

Mwenyewe alisema khs suala la kuwakata watu ITATEGEMEA NIMEAMKAJE siku hio.
 
Magufuli sio muongo. Anachokifanya ni kujiona yeye ana akili nyingi kuliko watu wote na anaweza kuwaambia kitu chochote wakati wowote na watu wakamuamini na kumshangilia.

Anachofanya hiki ni zaidi ya uongo na wala sio usahaurifu. Huu ni ugonjwa
 
Magufuli sio muongo. Anachokifanya ni kujiona yeye ana akili nyingi kuliko watu wote na anaweza kuwaambia kitu chochote wakati wowote na watu wakamuamini na kumshangilia.

Anachofanya hiki ni zaidi ya uongo na wala sio usahaurifu. Huu ni ugonjwa
Mimi naona ni dharau tu hakuna kitu kingine.

Halafu watu tunapiga kura miaka yote leo anatufundisha namna ya kupiga kura sidhani kama nj mzima huyu.
 
Bwashee3 naomba unisaidie

Mbona bwana mkubwa amekua anasema mara kwa mara kwamba amewakata watu

Hivi ilikua inapitisha kamati kuu au alikua anapitisha yeye? Mpaka akamkata hata mtoto wake(dada yake) Furaha
Unaijua nguvu ya Mwenyekiti wa CCM lakini?

Kama huijui kamuulize Lowassa ilikuwaje 2015!
 
Kwa hulka yake, hakupaswa kuwa rais. Na kwa bahati mbaya hakuwahi kuwa na ndoto ya urais hadi pale Jakaya alipolikoroga na hivyo huyu akasukumizwa. Kwa hivyo aliingia kwa nafasi hiyo bila kuwa hata na chembe ya vision. Ndio maana tumeshuhudia vituko lakini vituko ambavyo vinamtesa na kumyanyasa mwananchi wa kawaida.

Njiani amelewa pombe ya madaraka kufikia kuona pesa za serikali ni zake na waTz ni vijakazi wake anaweza akawafanyia cho chote na wasimfanye kitu, asubuhi anaweza kutoa kauli hii, jioni akasema hajaisema. Hii yote ni kuamini waTz, yaani vijakazi wake, ni wajinga na mwenye akili na busara ni yeye peke yake. Ulevi wa madaraka. Jakaya na vizazi wako mlaaniwe milele!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…