Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Uko sahihi. Huu si uongo tu. Hii ni qina fulani ya narcissism inayomfanya ajione anaweza kuhadaa watu nchi nzima.Magufuli sio muongo. Anachokifanya ni kujiona yeye ana akili nyingi kuliko watu wote na anaweza kuwaambia kitu chochote wakati wowote na watu wakamuamini na kumshangilia.
Anachofanya hiki ni zaidi ya uongo na wala sio usahaurifu. Huu ni ugonjwa
Lakini pia, Kitu kinaweza kuwa zaidi ya uongo, lakini kikawa ni uongo pia.
Kwa mfano, Magufuli ni zaidi ya raia tu wa Tanzania. Ni rais wa Tanzania.
Lakini yeye kuwa rais wa Tanzania hakuondoi ukweli kwamba ni raia wa Tanzania.