Uko sahihi. Huu si uongo tu. Hii ni qina fulani ya narcissism inayomfanya ajione anaweza kuhadaa watu nchi nzima.Magufuli sio muongo. Anachokifanya ni kujiona yeye ana akili nyingi kuliko watu wote na anaweza kuwaambia kitu chochote wakati wowote na watu wakamuamini na kumshangilia.
Anachofanya hiki ni zaidi ya uongo na wala sio usahaurifu. Huu ni ugonjwa
Unakwama wapi ndugu yangu?!🤣 hatusemagi kumeza maneno, tunasemaga ‘amekula na kumeza matapishi yake’!!Mzee kameza maneno yake.
anasahau fasta kama kukuMagufuli muongo halafu hana kumbukumbu.
Leo anaweza kukuambia maendeleo hayajali vyama, halafu kesho akakwambia nileteeni Gwajima msiponiletea siwaletei maendeleo.
Ugonjwa wa malukanga umechachamaa vibaya bila air conditioner mtu anaweza kufa , sasa kumbukumbu ndio itakuwepo ?Hili li ubongo likoje. Si alisema yeye mwenyewe amemfukuza kwa vile wanatunishiana misuli na DC
Msema uongo uongo na kujikontradikiti mwenyewe, ni mpenzi wa shuatani!"Msema ukweli ni mpenzi wa Mungu"
Hayo siyo mambo ya CCM,huyo Gambo alikuwa mtumishi wa kuhudumia umma na sio CCM!Akatumbuliwa na sababu zikawekwa wazi na Rais,wakati huu wa kuomba kura mtu huyo huyo anakana yale aliyosema awali!Halafu mnataka wananchi tusihoji ukweli?Eti ni mambo ya CCM?Una akili kweli?Tatizo lenu akili zenu mmekabidhi wengine,mmebaki mabox matupu,mnapelekwa na kwenda kama misukule tu!ShameEti pole tz! Pole wewe tz iache hivi hivi.
Kwa akili yako ulifikiri kinx Gambo wamefukuzwa?
Ndio maana tukiwaambia acheni kushobokoea mambo yanayotokea ccm hamsikii. Matokeo yake kama hivi kina Membe wanawachezesha kwata.
Kuweka kumbukumbu sawa, siku anafukuzwa Gambo,alifukuzwa DC wa Arusha, na kuwahamisha DED wa Arusha,takukuru mkoa wa Arusha, RPC sahana wa Arusha, tiss Arusha.
Tuna Rais muongo kuliko Uongo wenyewe. Kichwani ni zero kabisa. Sasa anafikiri watu wote wana ubongo kama wake. Aache kutufananisha na wale Vilaza wake Polepole na yule Murundi mwenziye.Mzee ameongea uongo. Gambo alifukuzwa.
Kwa hiyo anatuaminisha kuwa kauli zake zoote alizowahi toa ni uwongo? tuanze kujikumbusha moja baada ya nyingine:
1. Mimi ni Rais wa vyamaa vyoote na sibagui chama chochote- Kumbe uwongo
2.Mwanangu pia nae alipata Corona - Kumbe Uwongo
3.Nchi yetu ni tajirii, we are supposed to a donor country - Uwongo Mtupu
4. Nimeguswa saana na shambulio alilofanyiwa Lissu - Uwongo mtupu
5.
Kashakula matapishi yake yaan uyu jamaa ata MBWA afadhaliKwa hiyo anatuaminisha kuwa kauli zake zoote alizowahi toa ni uwongo? tuanze kujikumbusha moja baada ya nyingine:
1. Mimi ni Rais wa vyamaa vyoote na sibagui chama chochote- Kumbe uwongo
2.Mwanangu pia nae alipata Corona - Kumbe Uwongo
3.Nchi yetu ni tajirii, we are supposed to a donor country - Uwongo Mtupu
4. Nimeguswa saana na shambulio alilofanyiwa Lissu - Uwongo mtupu
5.